Sultani Makenga
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 621
- 1,039
Kidogo Makonda ila Biteko hapana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe uko mkoa gani?Tafiti umeifanya mkoa upi na upi na kwa wakati gani?
Watu wa bara zama zenu zimepita atii, sahivi ni sie wa kizimkazii bwasheee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duuuh ! Eeee bhana Eeeee !!!Hakuna ubishi kanda ya ziwa bado wana kinyongo.
Uchaguzi wa 2025 kuna kisasi kikubwa watafanya by any means necessary.
Uteuzi wa Dotto Biteko ilikuwa ni mbinu ya kurudisha ushawishi wa mama kwa watu wa kanda ya ziwa ili akubalike. Lakini haukuzaa matunda.
Haya huyu mwenezi wa CCM sasa alipoteuliwa ilidhaniwa kuwa huenda akawavuta watu wa kanda ya ziwa.Lakini imeshindikana.
Kanda ya ziwa wana kinyongo gani?
Kanda ya ziwa ipi hiyo,ziwa Tanganyika au ziwa Rukwa,eleweka usaidiwe?,kama unaongelea mikoa ya Mwanza,Kagera,Shinyanga,Geita na simiyu,rudia kufanya utafiti wako,umekosea mkuu.
Kanda ya ziwa huwambii kitu kuhusu mama
Hakuna ubishi kanda ya ziwa bado wana kinyongo.
Uchaguzi wa 2025 kuna kisasi kikubwa watafanya by any means necessary.
Uteuzi wa Dotto Biteko ilikuwa ni mbinu ya kurudisha ushawishi wa mama kwa watu wa kanda ya ziwa ili akubalike. Lakini haukuzaa matunda.
Haya huyu mwenezi wa CCM sasa alipoteuliwa ilidhaniwa kuwa huenda akawavuta watu wa kanda ya ziwa.Lakini imeshindikana.
Kanda ya ziwa wana kinyongo gani?
Mbona unataka kuifanya kanda ya ziwa kuwa maalum saaaaana? Why? Umefanya utafiti gani ewe SG?
Mama atapita kwa kishindo, garagabaho.
Haa haa ,sidhani kama kuna wa kushida na samia ,hayupo na hatakuwepo
Mama Samia ni Rais wa Tanzania na mwenyekiti wa CCM.
Kwa sasa, bado wakati wa kampeni. Kazi inayotakiwa kwa sasa ni kuhakikisha chama kinakubalika ili wakati wa uchaguzi wagombea wake wachaguliwe ambapo mgombea urais yupo ndani.
Tukiwa wakweli SSH akishindana bila tume aliilyoiteua hawezi kuwashinda watu kama Majaliwa, Lissu, Slaa, Mpina, Polepole, Bashiru ally hata Hussein Mwinyi.Hivi Samiah ana nguvu gani kisiasa? Au kisa ni Rais ndio maana unakuwa na Kiburi kuwa hakuna washindana naye kwa kishindo Cha Tume. Ila yeye Kama yeye hapati hata asilimia 20. Ndio maana ameanza kampeni mapema na kutishia watu kuchukua fomu
Kama alimteua Makonda kwa ajili ya watu wa kanda ya ziwa, basi mpelekeeni salaam kwamba waliomshauri walimdanganya. Alichokifanya ni kuweka mafuta ya taa kwenye wali.Hakuna ubishi kanda ya ziwa bado wana kinyongo.
Uchaguzi wa 2025 kuna kisasi kikubwa watafanya by any means necessary.
Uteuzi wa Dotto Biteko ilikuwa ni mbinu ya kurudisha ushawishi wa mama kwa watu wa kanda ya ziwa ili akubalike. Lakini haukuzaa matunda.
Haya huyu mwenezi wa CCM sasa alipoteuliwa ilidhaniwa kuwa huenda akawavuta watu wa kanda ya ziwa.Lakini imeshindikana.
Kanda ya ziwa wana kinyongo gani?
Kipimo gani umetumia?Hakuna ubishi kanda ya ziwa bado wana kinyongo.
Uchaguzi wa 2025 kuna kisasi kikubwa watafanya by any means necessary.
Uteuzi wa Dotto Biteko ilikuwa ni mbinu ya kurudisha ushawishi wa mama kwa watu wa kanda ya ziwa ili akubalike. Lakini haukuzaa matunda.
Haya huyu mwenezi wa CCM sasa alipoteuliwa ilidhaniwa kuwa huenda akawavuta watu wa kanda ya ziwa.Lakini imeshindikana.
Kanda ya ziwa wana kinyongo gani?
Hujui nguvu ya mh.rais wewe!?Hivi Samiah ana nguvu gani kisiasa? Au kisa ni Rais ndio maana unakuwa na Kiburi kuwa hakuna wa kushindana naye.