Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,600
- 59,760
CCMSisi tunafungia raia wetu, halafu hatuna technologia hata ya kutengeneza kijiko, tutajifunza wapi ikiwa wote ndani tunataka siasa?
CCMSisi tunafungia raia wetu, halafu hatuna technologia hata ya kutengeneza kijiko, tutajifunza wapi ikiwa wote ndani tunataka siasa?
Mboni wanasema ni uongoYaani video ya mfereji ilikuwa muhimu kuliko hayo maongez
Surengoja tuone ,ukiona nchi kubwa inaraia wana Anza kuwa na frame kariakoo
Juaga ,nchi hiyo sio tajiri bali serikali ndo tajiri
UongoSure
Trump anatekeleza yale aliyowaahidi wamarekani. Alikuwa anauwaza sana mfereji wa Panama kama swhemu ya kujiimarisha kibiashara na risasi ya moto kwa China ukanda ule. Mzee hakika ni rais mwenye maono na utekelezaji juu ya yale anayoona yanafaida kwa Marekani. Dunia imefikia kwenye ushindani mkubwa wa kibiashara miongoni mwa mataifa makubwa, mwenye nguvu ndiye anayemilikiIpo siku Mgermany naye atasema anakuja kuchukua vitu vyake alivyovijenga hapa TZ.
Panama hawakuwa na option maana ni kama hata kuvamiwa wangevamiwa. Ngoja nione Greenland kama itasalimika.
Huyu kilaza wa kibaigwa sijui ametoa wapi ushabiki mandaazi kwa trumpHizi propaganda huwa mnazitoa wapi?
China haijawahi kumiliki Panama Canal ila Panama ni member wa BRI, project ya China ya kufadhili ujenzi wa infrastructure
Iko hivi; kampuni binafsi ya Hong Kong inayoitwa CK Hutchnisons inamiliki bandari 2 eneo la Panama canal
Bandari hizi zimekaa eneo zuri sana kimkakati (strategic infrastructure) kwa sababu ni kama gateway kati ya bahari ya Atlantic na Pacific kibiashara na kiusalama.
Na ziko "one at each end of canal" unapoingia na kutoka. Ni moja ya checkpoint muhimu sana kwenye global maritime trade (5% of global container trade volume hupita hapo)Uongozi wa Trump ulichofanya ni kuishinikiza kampuni ya Hong Kong CK Hutchinson inayomiliki Container Terminal hizo 2 karibu na Panama Canal iziuze kwa kampuni ya Marekani ya BlackRock kwa USD 23 Billion.
Ilikuwa Hutchnisons na BlackRock wasaini mkataba wa mauziano April 02, 2025.
Serikali ya China iliingilia kati na kuizuia CK Hutchinson kuuza bandari hizo, biashara haijafanyika tena mpaka leo ni wiki 2 zimepita.
Mpaka sasa BlackRock na Washington wako kimya na CK Hutchinson haitasaini tena mkataba huo.
Kati ya Marekani na China nani mshindi hapo?
Marekani ingekuwa ni mshindi kama ingeweza kununua hizo bandari au kuishinikiza Panama ijitoe BRI lakini imeshindwa.
Muwe mnajitahidi kufuatilia mambo sio mnaokoteza vihabari uchwara mnavileta jukwaa la kimataifa kuwadanganya watu
Halafu Donald Trump akiulizwa kuhusu USAID anawajibu mwambieni China away saidie maana ni rafki wa Africa na kimbilio la viongozi wa Africa wasio mafisadi na wasiopenda demokrasia. SASA TUJIULIZE ZILE LAND CRUISER HARD TOP ZILIZOZAGAA TANZANIA NZIMA ZENYE PLATE NUMBER NYEKUNDU ZA DFP NA UBAVUNI ZINA NEMBO YA USAID MCHINA ANAWEZA KUFADHILI HIYO MIRADI YA AFYA( UKIMWI MARALIA,TOHARA ZA BURE,MAJI) NA HIYO NIKWA AFRICA NZIMA HADI KWA KAKA YETU SOUTH AFRICA AMBAYE NAYE KAPIGWA PIN NA ANALALAMIKAMarekani imedhamiria kuwaumiza China, hebu fikiria soko kubwa dunia nzima lipo Marekani lakini China wanafungiwa kwa kupigwa ushuru mrefu halafu nchi nyingine zimepewa ruhusa ya kulipa 10% tu, hawajakaa sawa wanatimuliwa Panama Canal
Umeelewa ulicho andika?Mboni wanasema ni uongo
CCM wezi wa kuraUmeelewa ulicho andika?
Ngoja yaje ma xjinpin ya Manyoni yawatete wachina humuTatizo mchina hajui diplomasia, alipopata controll akaanza kuonyesha ubabe wa "nafanya chochote na hamtanifanya chochote" kile kiburi cha kutaka kuonekana unaweza kuionea Marekani dunia ikusifie, akaanza kwa maksudi kuzichelewesha meli za Marekani hadi za kijeshi ila anazipa kipaumbele meli za China, kuzitoza ushuru mkubwa meli za Marekani, n.k.
Hayo mambo yalivumiliwa na kina Biden, hii njemba iliyoingia white house haina mzaha ni vitendo tu
Wewe kilaza, Huu upupu na tope , ndio unatoka kichwani kwako?hebu fikiria soko kubwa dunia nzima lipo Marekani
Hiyo miradi ya kipuuzi ambayo hata almashauri inaweza Fanya, hivi tohara ambayo tokea mababu wanafanya, Kwa Sasa mchina ni muhimu na hakwepeki kuliko huyo bepariHalafu Donald Trump akiulizwa kuhusu USAID anawajibu mwambieni China away saidie maana ni rafki wa Africa na kimbilio la viongozi wa Africa wasio mafisadi na wasiopenda demokrasia. SASA TUJIULIZE ZILE LAND CRUISER HARD TOP ZILIZOZAGAA TANZANIA NZIMA ZENYE PLATE NUMBER NYEKUNDU ZA DFP NA UBAVUNI ZINA NEMBO YA USAID MCHINA ANAWEZA KUFADHILI HIYO MIRADI YA AFYA( UKIMWI MARALIA,TOHARA ZA BURE,MAJI) NA HIYO NIKWA AFRICA NZIMA HADI KWA KAKA YETU SOUTH AFRICA AMBAYE NAYE KAPIGWA PIN NA ANALALAMIKA
Hemu tusaidie Mchina anaweza akavaa viatu vya Marekani vikamuenea vzr kwenye mchango wa shirika la afya duniani( WHO)?Changamoto ya wengi hapa jukwaa la kimataifa wanaendeshwa na ushabiki.
Ukiangalia nyuzi na comments zao unagundua ni weupe sana kwenye masuala ya geopolitcs na geoeconomics
Tohara ni mfano tu ndugu yangu... MAREKANI ni dude kubwa MNOO MNOO. Jakaya Kikwete Foundation anachota mabilion huko USAID, Benjamin Mpaka Foundation anachota mabilion huko USAID angalia miradi inayotekelezwa. Angalia mashirika ya MDH angalia JPIEGO mchina anawezaaaaaa!!!!!????Hiyo miradi ya kipuuzi ambayo hata almashauri inaweza Fanya, hivi tohara ambayo tokea mababu wanafanya, Kwa Sasa mchina ni muhimu na hakwepeki kuliko huyo bepari
Hata hao marekani wanaijua nguvu ya ushawishi wa machina ndio maana wanapambana nae
Bila mchina nchi nyingi hasa masikini Hali ingekuwa mbaya sana, mradi anaofanya mchina kwa bilioni moja bepari angetaka mara mbili au zaidi
Sasa kiuhalisia mchina huku Africa mchina miradi mingi ni ya ujenzi miundo mbinu barabara viwanja majengo na sio kwenye afya ambao tayari nchi nyingine zimekuwa zinasaidia africa ila sio kama hawezi nadhani ni ile ukiwa na shida ya chai huwezi kutaka viatu .mfano kwa Tanzania utataja ujenzi wa vitu kama Nyerere ukumbi wa kimataifa wa mikutano ,bunge dodoma ,tazara na vingine ambavyo gharama zake kubwa hata kama ni soft loan.Halafu Donald Trump akiulizwa kuhusu USAID anawajibu mwambieni China away saidie maana ni rafki wa Africa na kimbilio la viongozi wa Africa wasio mafisadi na wasiopenda demokrasia. SASA TUJIULIZE ZILE LAND CRUISER HARD TOP ZILIZOZAGAA TANZANIA NZIMA ZENYE PLATE NUMBER NYEKUNDU ZA DFP NA UBAVUNI ZINA NEMBO YA USAID MCHINA ANAWEZA KUFADHILI HIYO MIRADI YA AFYA( UKIMWI MARALIA,TOHARA ZA BURE,MAJI) NA HIYO NIKWA AFRICA NZIMA HADI KWA KAKA YETU SOUTH AFRICA AMBAYE NAYE KAPIGWA PIN NA ANALALAMIKA
Miradi ya USAID kwenye afya ni buree NIELEWE ni bure hata kama ikafanywa propaganda kuwa hakuna cha bure. Hiyo miundo mbinu ya China ya 10% nayo ni bure? Marekani kajitoa WHO( world health organization) Mchina atavaa viatu vya Marekani!!!!!!????. Weka mahaba pembeni halafu nijibu accordingly!Kule Lesotho na Botswana na South Africa wanaongoza kwa Ukimwi he China atafadhili mbolea za kufubaza bure!!!!??? THINK TWICE.Sasa kiuhalisia mchina huku Africa mchina miradi mingi ni ya ujenzi miundo mbinu barabara viwanja majengo na sio kwenye afya ambao tayari nchi nyingine zimekuwa zinasaidia africa ila sio kama hawezi nadhani ni ile ukiwa na shida ya chai huwezi kutaka viatu .
Weka linkWewe kilaza, Huu upupu na tope , ndio unatoka kichwani kwako?
Leta takwimu sio mbaaambaa za vijiweni...
Hizi hapa takwimu...
Biashara ya China kwenda US ni $595 billion
Haya jumlisha hizi ...
Biashara ya China kwenda European Union ni $696.4 billion,
Biashara ya China kwenda Africa ni $295 billion
Biashara ya China kwenda ASEAN (the Association of Southeast Asian Nations) exceeded $1.15 trillion
Biashara ya China kwenda Latin America and the Caribbean (LAC) reached US$315 billion
Biashara ya China kwenda Arab League reached $400 billion