Panama yaruhusu jeshi la Marekani kulinda na kuendesha mfereji wa Panama, Wachina watimuliwa

Panama yaruhusu jeshi la Marekani kulinda na kuendesha mfereji wa Panama, Wachina watimuliwa

Tohara ni mfano tu ndugu yangu... MAREKANI ni dude kubwa MNOO MNOO. Jakaya Kikwete Foundation anachota mabilion huko USAID, Benjamin Mpaka Foundation anachota mabilion huko USAID angalia miradi inayotekelezwa. Angalia mashirika ya MDH angalia JPIEGO mchina anawezaaaaaa!!!!!????
Wenye shirika wanasema us aid ni shirika la kihalifu ..Kwa hio izo zilikua pesa haramu
 
Hahaha Mbona Wachina wanainunua Majumba Mikocheni na Kariakoo, au ndio wao hawanunui ardhi wananunua Majumba tu?
Kiwanja cha Milioni Tano kiko wapi? Hata Buza Hakipo.
Viwanja vya milion 5 kibao Kigamboni, Chanika n.k
 
ngoja tuone ,ukiona nchi kubwa inaraia wana Anza kuwa na frame kariakoo

Juaga ,nchi hiyo sio tajiri bali serikali ndo tajiri
Na huu ndo ukweli ambao watu hawaujui...mchina yoyote alieko abroad kwa kazi ama kivingine "ni kwa kutumwa na utawala wao'
Chura kiziwi ana tuuxa kavu kavu
 
Hizi propaganda huwa mnazitoa wapi?

China haijawahi kumiliki Panama Canal ila Panama ni member wa BRI, project ya China ya kufadhili ujenzi wa infrastructure

Iko hivi; kampuni binafsi ya Hong Kong inayoitwa CK Hutchnisons inamiliki bandari 2 eneo la Panama canal
​

  • Bandari hizi zimekaa eneo zuri sana kimkakati (strategic infrastructure) kwa sababu ni kama gateway kati ya bahari ya Atlantic na Pacific kibiashara na kiusalama. ​
​
  • Na ziko "one at each end of canal" unapoingia na kutoka. Ni moja ya checkpoint muhimu sana kwenye global maritime trade (5% of global container trade volume hupita hapo)​
Uongozi wa Trump ulichofanya ni kuishinikiza kampuni ya Hong Kong CK Hutchinson inayomiliki Container Terminal hizo 2 karibu na Panama Canal iziuze kwa kampuni ya Marekani ya BlackRock kwa USD 23 Billion.

Ilikuwa Hutchnisons na BlackRock wasaini mkataba wa mauziano April 02, 2025.

Serikali ya China iliingilia kati na kuizuia CK Hutchinson kuuza bandari hizo, biashara haijafanyika tena mpaka leo ni wiki 2 zimepita.

Mpaka sasa BlackRock na Washington wako kimya na CK Hutchinson haitasaini tena mkataba huo.

Kati ya Marekani na China nani mshindi hapo?

Marekani ingekuwa ni mshindi kama ingeweza kununua hizo bandari au kuishinikiza Panama ijitoe BRI lakini imeshindwa.

Muwe mnajitahidi kufuatilia mambo sio mnaokoteza vihabari uchwara mnavileta jukwaa la kimataifa kuwadanganya watu

​
Nimeipenda hii
 
Back
Top Bottom