Panama yaruhusu jeshi la Marekani kulinda na kuendesha mfereji wa Panama, Wachina watimuliwa

Ipo siku Mgermany naye atasema anakuja kuchukua vitu vyake alivyovijenga hapa TZ.
Panama hawakuwa na option maana ni kama hata kuvamiwa wangevamiwa. Ngoja nione Greenland kama itasalimika.
Trump anatekeleza yale aliyowaahidi wamarekani. Alikuwa anauwaza sana mfereji wa Panama kama swhemu ya kujiimarisha kibiashara na risasi ya moto kwa China ukanda ule. Mzee hakika ni rais mwenye maono na utekelezaji juu ya yale anayoona yanafaida kwa Marekani. Dunia imefikia kwenye ushindani mkubwa wa kibiashara miongoni mwa mataifa makubwa, mwenye nguvu ndiye anayemiliki
 
Huyu kilaza wa kibaigwa sijui ametoa wapi ushabiki mandaazi kwa trump
Mtu akilala anazima kibatari, halafu kutwa kuchwa ni mtoa taarifa wa trump.....
 
Marekani imedhamiria kuwaumiza China, hebu fikiria soko kubwa dunia nzima lipo Marekani lakini China wanafungiwa kwa kupigwa ushuru mrefu halafu nchi nyingine zimepewa ruhusa ya kulipa 10% tu, hawajakaa sawa wanatimuliwa Panama Canal
Halafu Donald Trump akiulizwa kuhusu USAID anawajibu mwambieni China away saidie maana ni rafki wa Africa na kimbilio la viongozi wa Africa wasio mafisadi na wasiopenda demokrasia. SASA TUJIULIZE ZILE LAND CRUISER HARD TOP ZILIZOZAGAA TANZANIA NZIMA ZENYE PLATE NUMBER NYEKUNDU ZA DFP NA UBAVUNI ZINA NEMBO YA USAID MCHINA ANAWEZA KUFADHILI HIYO MIRADI YA AFYA( UKIMWI MARALIA,TOHARA ZA BURE,MAJI) NA HIYO NIKWA AFRICA NZIMA HADI KWA KAKA YETU SOUTH AFRICA AMBAYE NAYE KAPIGWA PIN NA ANALALAMIKA
 
Ngoja yaje ma xjinpin ya Manyoni yawatete wachina humu
 
hebu fikiria soko kubwa dunia nzima lipo Marekani
Wewe kilaza, Huu upupu na tope , ndio unatoka kichwani kwako?
Leta takwimu sio mbaaambaa za vijiweni...

Hizi hapa takwimu...
Biashara ya China kwenda US ni $595 billion

Haya jumlisha hizi ...

Biashara ya China kwenda European Union ni $696.4 billion,
Biashara ya China kwenda Africa ni $295 billion
Biashara ya China kwenda ASEAN (the Association of Southeast Asian Nations) exceeded $1.15 trillion
Biashara ya China kwenda Latin America and the Caribbean (LAC) reached US$315 billion
Biashara ya China kwenda Arab League reached $400 billion
 
Hiyo miradi ya kipuuzi ambayo hata almashauri inaweza Fanya, hivi tohara ambayo tokea mababu wanafanya, Kwa Sasa mchina ni muhimu na hakwepeki kuliko huyo bepari
Hata hao marekani wanaijua nguvu ya ushawishi wa machina ndio maana wanapambana nae
Bila mchina nchi nyingi hasa masikini Hali ingekuwa mbaya sana, mradi anaofanya mchina kwa bilioni moja bepari angetaka mara mbili au zaidi
 
Changamoto ya wengi hapa jukwaa la kimataifa wanaendeshwa na ushabiki.

Ukiangalia nyuzi na comments zao unagundua ni weupe sana kwenye masuala ya geopolitcs na geoeconomics
​
Hemu tusaidie Mchina anaweza akavaa viatu vya Marekani vikamuenea vzr kwenye mchango wa shirika la afya duniani( WHO)?
 
Tohara ni mfano tu ndugu yangu... MAREKANI ni dude kubwa MNOO MNOO. Jakaya Kikwete Foundation anachota mabilion huko USAID, Benjamin Mpaka Foundation anachota mabilion huko USAID angalia miradi inayotekelezwa. Angalia mashirika ya MDH angalia JPIEGO mchina anawezaaaaaa!!!!!????
 
Sasa kiuhalisia mchina huku Africa mchina miradi mingi ni ya ujenzi miundo mbinu barabara viwanja majengo na sio kwenye afya ambao tayari nchi nyingine zimekuwa zinasaidia africa ila sio kama hawezi nadhani ni ile ukiwa na shida ya chai huwezi kutaka viatu .mfano kwa Tanzania utataja ujenzi wa vitu kama Nyerere ukumbi wa kimataifa wa mikutano ,bunge dodoma ,tazara na vingine ambavyo gharama zake kubwa hata kama ni soft loan.
 
Miradi ya USAID kwenye afya ni buree NIELEWE ni bure hata kama ikafanywa propaganda kuwa hakuna cha bure. Hiyo miundo mbinu ya China ya 10% nayo ni bure? Marekani kajitoa WHO( world health organization) Mchina atavaa viatu vya Marekani!!!!!!????. Weka mahaba pembeni halafu nijibu accordingly!Kule Lesotho na Botswana na South Africa wanaongoza kwa Ukimwi he China atafadhili mbolea za kufubaza bure!!!!??? THINK TWICE.
 
Weka link
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…