Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,483
- 11,691
Kwa hiyo hiyo video ya Waziri akitoa feedback kwa Trump ni maluweluwe auHizi propaganda huwa mnazitoa wapi?
China haijawahi kumiliki Panama Canal ila Panama ni member wa BRI, project ya China ya kufadhili ujenzi wa infrastructure
Iko hivi; kampuni binafsi ya Hong Kong inayoitwa CK Hutchnisons inamiliki bandari 2 eneo la Panama canal
Bandari hizi zimekaa eneo zuri sana kimkakati (strategic infrastructure) kwa sababu ni kama gateway kati ya bahari ya Atlantic na Pacific kibiashara na kiusalama.
Na ziko "one at each end of canal" unapoingia na kutoka. Ni moja ya checkpoint muhimu sana kwenye global maritime trade (5% of global container trade volume hupita hapo)Uongozi wa Trump ulichofanya ni kuishinikiza kampuni ya Hong Kong CK Hutchinson inayomiliki Container Terminal hizo 2 karibu na Panama Canal iziuze kwa kampuni ya Marekani ya BlackRock kwa USD 23 Billion.
Ilikuwa Hutchnisons na BlackRock wasaini mkataba wa mauziano April 02, 2025.
Serikali ya China iliingilia kati na kuizuia CK Hutchinson kuuza bandari hizo, biashara haijafanyika tena mpaka leo ni wiki 2 zimepita.
Mpaka sasa BlackRock na Washington wako kimya na CK Hutchinson haitasaini tena mkataba huo.
Kati ya Marekani na China nani mshindi hapo?
Marekani ingekuwa ni mshindi kama ingeweza kununua hizo bandari au kuishinikiza Panama ijitoe BRI lakini imeshindwa.
Muwe mnajitahidi kufuatilia mambo sio mnaokoteza vihabari uchwara mnavileta jukwaa la kimataifa kuwadanganya watu
Akifanya china na urusi ni wavamizi akifanya marekani ni maonoTrump anatekeleza yale aliyowaahidi wamarekani. Alikuwa anauwaza sana mfereji wa Panama kama swhemu ya kujiimarisha kibiashara na risasi ya moto kwa China ukanda ule. Mzee hakika ni rais mwenye maono na utekelezaji juu ya yale anayoona yanafaida kwa Marekani. Dunia imefikia kwenye ushindani mkubwa wa kibiashara miongoni mwa mataifa makubwa, mwenye nguvu ndiye anayemiliki
Wote ni wale wale tu coz nia yao ni moja ingawa wanatumia approach tofauti tofautiAkifanya china na urusi ni wavamizi akifanya marekani ni maono
Hizi ndio akili za kiafrika inasikitishaHemu tusaidie Mchina anaweza akavaa viatu vya Marekani vikamuenea vzr kwenye mchango wa shirika la afya duniani( WHO)?
Hizi propaganda huwa mnazitoa wapi?
China haijawahi kumiliki Panama Canal ila Panama ni member wa BRI, project ya China ya kufadhili ujenzi wa infrastructure
Iko hivi; kampuni binafsi ya Hong Kong inayoitwa CK Hutchnisons inamiliki bandari 2 eneo la Panama canal
Bandari hizi zimekaa eneo zuri sana kimkakati (strategic infrastructure) kwa sababu ni kama gateway kati ya bahari ya Atlantic na Pacific kibiashara na kiusalama.
Na ziko "one at each end of canal" unapoingia na kutoka. Ni moja ya checkpoint muhimu sana kwenye global maritime trade (5% of global container trade volume hupita hapo)Uongozi wa Trump ulichofanya ni kuishinikiza kampuni ya Hong Kong CK Hutchinson inayomiliki Container Terminal hizo 2 karibu na Panama Canal iziuze kwa kampuni ya Marekani ya BlackRock kwa USD 23 Billion.
Ilikuwa Hutchnisons na BlackRock wasaini mkataba wa mauziano April 02, 2025.
Serikali ya China iliingilia kati na kuizuia CK Hutchinson kuuza bandari hizo, biashara haijafanyika tena mpaka leo ni wiki 2 zimepita.
Mpaka sasa BlackRock na Washington wako kimya na CK Hutchinson haitasaini tena mkataba huo.
Kati ya Marekani na China nani mshindi hapo?
Marekani ingekuwa ni mshindi kama ingeweza kununua hizo bandari au kuishinikiza Panama ijitoe BRI lakini imeshindwa.
Muwe mnajitahidi kufuatilia mambo sio mnaokoteza vihabari uchwara mnavileta jukwaa la kimataifa kuwadanganya watu
.marekan aje atusaidie kuwaondoa kariakoooMarekani imedhamiria kuwaumiza China, hebu fikiria soko kubwa dunia nzima lipo Marekani lakini China wanafungiwa kwa kupigwa ushuru mrefu halafu nchi nyingine zimepewa ruhusa ya kulipa 10% tu, hawajakaa sawa wanatimuliwa Panama Canal
Jibu ulicho ulizwa huyo mchina hana madhara makubwa. Hizo international instutution mchina hana utoaji mkubwaHizi ndio akili za kiafrika inasikitisha
na huo ndo ukweli wa china, muangalie aliko jack ma alipo ssa hivi, na hii ni baada tu ya kupishana na serikali ya china,....ngoja tuone ,ukiona nchi kubwa inaraia wana Anza kuwa na frame kariakoo
Juaga ,nchi hiyo sio tajiri bali serikali ndo tajiri
Inashangaza sana mkuuHuyu kilaza wa kibaigwa sijui ametoa wapi ushabiki mandaazi kwa trump
Mtu akilala anazima kibatari, halafu kutwa kuchwa ni mtoa taarifa wa trump.....
Akiamua anawezaHemu tusaidie Mchina anaweza akavaa viatu vya Marekani vikamuenea vzr kwenye mchango wa shirika la afya duniani( WHO)?
Kwa hiyo hiyo video ya Waziri akitoa feedback kwa Trump ni maluweluwe au
View: https://youtu.be/gHDNb2WsZao?si=XiLe6R_kzH99kLVK
Mchina wa Bongo angalia Wachina OG wanavyolia
Wew sema tu akili za kiafrika ila kaa ukielewa sector ya afya kwa akili za ki CCM CCM bila wadau wa maendeleo hatutoboi. NIAMINI NAKUAMBIA MUNGU MMOJA. Hizo dawa za Tb,ARV,chanjo zotee unapata bure sababu ya Kodi za watu na mchangiani mkubwa ni Marekani na sio macho ya panzi mchinaHizi ndio akili za kiafrika inasikitisha
HahahaUna uwezo mdogo sana wa kutofutosha kati ya propaganda na habari sahihi achana na hivyo video uchwara vya YouTube jaribu kutembelea source za uhakika
Safi sana Wachina wakora sana. Yaani hii dunia ukiondoa islamists na hawa wachina pangekua na amani teleYani mngejua tu namna China anavyoichukia Marekani ya awamu hii na jinsi walivyo na hasira acheni tu, Soko kubwa la dunia nzima lipo Marekani wao wamepigwa pin kwa ushuru mrefu halafu nchi zingine wamepunguziwa 10 % tu, Hawajakaa sawa Marekani imewashinikiza Panama kuwafukuza wachina kwenye mfereji wa Panama.
Kwa muda mrefu, Mfereji wa Panama umekuwa kitovu cha biashara ya kimataifa, lakini pia uwanja wa vita vya kiushawishi kati ya mataifa makubwa. Sasa mambo yamechukua mkondo mpya – Panama imekubali rasmi kushirikiana kijeshi na Marekani kulinda na kuendesha mfereji huo muhimu, na kudhibiti ushawishi wa China .
Hii ni video ya Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Pete Hegseth akiwa anatoa ripoti baada ya kurudi kutoka Panama
"Tumerudi tu kutoka Panama usiku wa kuamkia leo. Tulikuwa kwenye Mfereji wa Panama... na tumesaini mikataba kadhaa ya kihistoria... tunauchukua tena mfereji huo. China imekuwa na ushawishi mkubwa kupita kiasi. Obama na wengine waliwaruhusu kujiingiza polepole. Sasa, sisi pamoja na Panama, tunawapush waondoke, mheshimiwa."
We just got back from Panama last night. We were at the Panama Canal... and signed a couple of historic deals... we're taking back the canal. China's had too much influence. Obama and others let them creep in. We, along with Panama, are pushing them out, sir.
View attachment 3300490
Katika hatua nyingine Panama imeridhia kuzipa meli za Marekani kipaumbele na pupunguza au kufuta ushuru kwa meli za Marekani zilizokuwa zikitozwa ada kubwa hapo kabla, pia Panama imeridhia kuingiza jeshi la Marekani kwajili ya ulinzi na kushirikiana kuendesha mfereji wa Panama Canal, Rais wa Marekani, Donald Trump amekubali ombi hilo kwa kutuma wanajeshi na vifaa vya kijeshi kuimarisha ulinzi
Na mashoga hushangilia baba lao la mashoga US......Makobaz hushabikia China sana
Akili za kuchambia hiziMarekani ikiongozwa na Rais anaeweza kuitumia Nguvu yake kikamilikfu sioni China wala Russia wala India zikipandisha mabega, Ni kimya !
Mchina kajijaza kwenye mfumo yupo bize kujibizana na Marekani kwenye kupandishiana tozo, Marekani wamefungua soko kwa nchi nyingine kulipia ushuru wa 10 % tu, kuna nchi nyingi sana zinatamani soko la Marekani ila wanazibwa na China na huu ndio wakati wa kutumia nguvu zote kuteka masoko ya Marekani, Yani mngejua tu namna China alivyopatwa na hasira acheni tu, wenzake wamepewa visu vya kula nyama choma yeye kapewa kijiko
Kumbe China iko vibaya namna hii huku akina Xi Jin Ping wakipiga siasa, ama kweli Trump ameamua kuifirisi China.
View: https://youtu.be/gHDNb2WsZao?si=XiLe6R_kzH99kLVK
Mchina wa Bongo angalia Wachina OG wanavyolia
Kwa hio ww uko pamoja na marekani Kwa Kila wanachofanya ?Marekani ikiongozwa na Rais anaeweza kuitumia Nguvu yake kikamilikfu sioni China wala Russia wala India zikipandisha mabega, Ni kimya !