Panama yaruhusu jeshi la Marekani kulinda na kuendesha mfereji wa Panama, Wachina watimuliwa

Wenye shirika wanasema us aid ni shirika la kihalifu ..Kwa hio izo zilikua pesa haramu
 
Hahaha Mbona Wachina wanainunua Majumba Mikocheni na Kariakoo, au ndio wao hawanunui ardhi wananunua Majumba tu?
Kiwanja cha Milioni Tano kiko wapi? Hata Buza Hakipo.
Viwanja vya milion 5 kibao Kigamboni, Chanika n.k
 
ngoja tuone ,ukiona nchi kubwa inaraia wana Anza kuwa na frame kariakoo

Juaga ,nchi hiyo sio tajiri bali serikali ndo tajiri
Na huu ndo ukweli ambao watu hawaujui...mchina yoyote alieko abroad kwa kazi ama kivingine "ni kwa kutumwa na utawala wao'
Chura kiziwi ana tuuxa kavu kavu
 
Nimeipenda hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…