Mashirika na Miradi inayofadhiliwa na serikali ya Marekani itayoathirika na maamuzi ya Donald Trump

Mashirika na Miradi inayofadhiliwa na serikali ya Marekani itayoathirika na maamuzi ya Donald Trump

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Kifupi DJ Trump ni disaster.
Jobless people wanakwenda kuongezeka.

Hivi serikali ikisitisha ununuzi wa mashangingi tu, haiwezi fidia hilo gap?

Kama shangingi moja linafika mpaka milioni 500 au miloni 600, hizo fedha haziwezi kugharamia ununuzi wa ARV na gharama zingine zinazohusiana na miradi ya aina hii?
 
Tuorodheshe hapa mashirika na taasisi pamoja na miradi inayofadhilwa na serikali ya Marekani ambayo itaathirika moja kwa moja na uamuzi wa serikali ya Marekani chini ya Donald Trump wa kusitisha ufafhili iwe ni kupitia shirika la misaada la Marekani (USAID Tanzania) au vinginenyo
That’s just a wake-up call. Tuna sababu gani ya kuwa taifa ombaomba kwa zaidi ya miaka 60?
 
That’s just a wake-up call. Tuna sababu gani ya kuwa taifa ombaomba kwa zaidi ya miaka 60?
Nimeingia website ya USAID nimekuta ni miradi mingi hasa ya afya(UKIMWI, KIFUA KIKUU, MALARIA, n.k) lakini pia kuna miradi ya mazingira, mambo ya haki za binadamu, utawala bora na demokrasia na miradi mingine mingi.

Kwa hakika hili litakuwa ni pigo kubwa labda tu watuhurumie waisiifute miradi mingi.

Sisi ni tegemezi mpaka aibu.
 
And Chief Hangaya goes begging shamelessly!
 
Wacha Trump atuoneshe umuhimu wa USA kwenye hii dunia kwa kujitoa maana mmezidi kushoboka na MRUSI ambae hana mambo ya Humanitarian
Kabisa.Watufundishe umuhimu wao hapa duniani.Unakuta mtu mzima amechachamaza misuli anawasifia wachina na warusi halafu matusi anaporomosha kwa USA na wazungu wa Europe.Waminye kitufe hadi heshima itangulie mbele kama matiti ya msichana.
 
Back
Top Bottom