Pantoni moja tu ndio linafanyakazi Kigamboni leo, nyingine ziko wapi? Kashikashi ya kusukumana kuwahi kuingia ni balaa!

Pantoni moja tu ndio linafanyakazi Kigamboni leo, nyingine ziko wapi? Kashikashi ya kusukumana kuwahi kuingia ni balaa!

Wangempa kivuko cha Dar Azam kwa majaribio...maana temesa imeshindwa
 
hii ni mbinu ya azam kutaka kuichukua kivuko cha kigamboni sababu ina pesa nyingi kuliko kupeleka abiria zanzibar, ina lipa kuliko kazi zote
 
..muda umefika sasa,Kivukoni wapewe sekta BINAFSI,Serikali ya CCM ,kama kawaida yenu ,MMESHINDWA
 
Alafu abiria wakitoka au kwenda panda pantoni wanakuwga kama mangombe wanaotoka zizini aise
Wanabanana kukanyagana vuluvulu
[emoji1]

Ova
 
Sijui mapato ya pale yanaenda wapi huduma mbovuuu wahudum wa pale ustaarabu ziro yaan hawajali mda wa abiria kasheshe linaanza kadi haina hela unataka kuweka pesa unakutana na msululu wa watu kibao mtoa huduma ya kujaza pesa ni mmoja unakaa hata dakika 30 ndo unahudumiwa bado unaenda kusubiri boti yaaan unaweza kuta saa moja linapotea hapo.Kuna kipindi unajuta kwa nn ulijenga kigamboni.
 
Vile vya azam si vipo

Ova
Ni kweli ila ni vidogo,kwa maana ya ujazo,sidhani hata kama vinabeba watu zaidi ya 50...watangaze zabuni ,

Watu binafsi washindanishwe,achaguliwe mwenye UWEZO,uone pantoni za KISASA zitakavyoshushwa hapo..Serikali ibaki kukusanya kodi na kuboresha hiyo gati+ hapo wanapokaa abiria ,period
 
Bora zam moja magari tupu nyingine watu tupu
Zam ya magari waigie watu wachache
 
Kwanini utembee kutoka Kariakoo mpaka Kivukoni,Kg na kuna daladala kutoka Machinga complex kwenda Kg?
Mkuu watu wana mambo na kuna mwingine anakuambia hana nauli ya machinga maisha yana siri zake
 
Back
Top Bottom