Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vile vya azam si vipo..muda umefika sasa,Kivukoni wapewe sekta BINAFSI,Serikali ya CCM ,kama kawaida yenu ,MMESHINDWA
Ni kweli ila ni vidogo,kwa maana ya ujazo,sidhani hata kama vinabeba watu zaidi ya 50...watangaze zabuni ,Vile vya azam si vipo
Ova
Mkuu watu wana mambo na kuna mwingine anakuambia hana nauli ya machinga maisha yana siri zakeKwanini utembee kutoka Kariakoo mpaka Kivukoni,Kg na kuna daladala kutoka Machinga complex kwenda Kg?