Panya Magawa astaafu kazi ya kufichua mabomu kimataifa

Nimesoma comments za wadau kwenye huu uzi...dah!!

Ni kama vile Vijana wengi wa Tz wamevurugwa aisee.
CCM iondoke tu...imeua kwa kiwango kikubwa uwezo wa wananchi wa kufikiri mambo kwa uzito wake.
 
Arudi Bongo apewe nafasi serikalini tu. Hawezi haribu (zaidi).
 
Vibaya mno aisee....yaan hata kwa tv huwa naruka..argh
Mi nko nao sana huku uswahilini.wanapenda sana vichaka ndo maana hawaishi
Kuna mwenzangu anao huko kwake wakubwa halafu wanakula katikati tu,yani kama NI shati au gauni wanakula mgongoni,begi au pochi wanakula chini kwenye kitako.namkuta mwenyewe analalamika "ohh nani hawa panya niwafanye nini blauzi yangu mpya kabisa nimeivaa Mara moja nakuta imetobolewa mgongoni" hahaa
 
Life it's not fear,, yani panya kalikwea pipa wakati watu wengine ye na mwakaleli, mwakaleli na yeye, akibadilika kidogo ireje.
 
Hahahahah...!apunguze misongamano...naskia panya wanpenda misongamano
 
Arudi bongo huku, afukuzane na mapaka ya kichawi
Ila achunge pesa za penshen kunapanya madanga huku watamfilisi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aaahhhh this is JF

Mwanangu umenichekesha sanaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Magawa?huyu panya atakuwa ni mbondei wa Tanga maana ndiyo haya majina nayaonaga huko
 
Bila shaka sasa ni muda wake wa kula bia na totozzz, maana kuna muda alibaki peke yake uwanja wa vita akinusa maguruneti na kuuza roho.
 
Kama panya magawa amevalishwa nishani na kupewa promo namna hii. Inamaana siku panya magawa akifa watatangaza siku ya mazishi, kuaga mwili na mahala atapozikwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…