Panya Road achomwa moto Manzese

Panya Road achomwa moto Manzese

Habari za Jioni
Kuna jambo la kusikitisha sana ambalo limenifanya niwaze sana mda huu. Jioni hii saa moja kuna kijana ambaye ni panya road amechomwa moto barabara ya kutokea sweet corner kuelekea Manzese darajani (karibu na machine za kusaga). Kijana huyo ambaye alimpora mtu kwa kutumia silaha amepigwa na kuchomwa moto. .

Kilichonisikitisha ni kuwa sikutegemea kama kuna watu wenye hulka za kuchukua sheria mkononi. Hii nchi ina mfumo wa sheria na hakuna mtu ambaye yuko juu ya sheria, leoo hii wamemuua kijana wa watu inakuwaje kesho wakamuua mtu mwingine ambaye anashukiwa tu kuwa ni mwizi. Serikali, wadau wa haki za binadamu na jeshi la polisi linatakiwa liangalie hili swala kwa jicho la tatu. .

Nakumbuka kuna kijana nilisoma nae form two alikiwa anaitwa James Nyoni, huyu kijana alikuwa anapenda maisha mazuri tu ya kujionyesha onyesha. Nakumbuka alichukua pamba za mtu gheto akazitinga jamaa mwenye pamba zake akakutana nae mitaa ya Ubungo. Ilikuwa mwaka 2010, yule mwenye pamba akamwitia rafiki yake mwizi na watu walimpiga na kumchoma James Nyoni moto. Hili ni moja ya tukio ambalo liliniachia simanzi kubwa sana kwa sababu ya nguo jamaa akachomwa moto. .

Am very sad about this. We are not savages we are really people and we should be civilized. People should take law at their own hands, and tonight I believe Panya Roads will retaliate. My house being in street of Manzese no one will be safe, begging the Police and the street watchmen to guard the innocent people and their families. .
Jinga kabisa wewe, yani hakuna sehemu uliyoonyesha umesikitishwa kuumizwa/kuuliwa kwa raia na hao vibaka unaowatetea
 
Futa huu Uzi. Ni irrelevant Kwa Sasa. Na nakuahidi ni vile tu JF tunapiga anonymity otherwise na wewe ungechomwa
Mambo hot katika jamii kipindi hiki ndio tunayaongelea hapa. Ufutwe uzi huu ubaki upi, jifute mwenyewe, tunaongelea mambo ya kitaani bongo, kama mmejikoroga yakatokea kufuta uzi sio dawa ya kuondoa tatizo la panya roads.
 
Tatizo Hawa wezi sheria ikiwakamata baadaye inawaachia, watauawa sana Hawa.
 
Mambo hot katika jamii kipindi hiki ndio tunayaongelea hapa. Ufutwe uzi huu ubaki upi, jifute mwenyewe, tunaongelea mambo ya kitaani bongo, kama mmejikoroga yakatokea kufuta uzi sio dawa ya kuondoa tatizo la panya roads.
Tumia akili wewe acha kudandia mada.

Aliyekwambia natetea nani. Kama hujui kusoma ukaelewa Rudi sekondari ukarisiti
 
Watu wameshapata misiba wengi tu, kurudishwa nyuma kiuchumi na wengine hadi dakika hizi ni VILEMA wa kudumu hata kuendesha familia zao hawawezi tena ilihali kabla ya kupatwa na hao panya roads hawakuwa hivyo afu mnaleta ujinga kwa vimifano vyenu viwili hivi vya kijinga jinga...[emoji57]

I wish I could be nearest to you at right now physically, I could have already showed you how the world is driven to lunatic people like you by any beat means to quit double standards on difinitely definitions of human rights...[emoji34]

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Ujinga wenu ni tatizo kubwa sana. Jenerali Ulimwengu anasomeka:

IMG_20220914_180443_804.jpg
 
Habari za Jioni
Kuna jambo la kusikitisha sana ambalo limenifanya niwaze sana mda huu. Jioni hii saa moja kuna kijana ambaye ni panya road amechomwa moto barabara ya kutokea sweet corner kuelekea Manzese darajani (karibu na machine za kusaga). Kijana huyo ambaye alimpora mtu kwa kutumia silaha amepigwa na kuchomwa moto. .

Kilichonisikitisha ni kuwa sikutegemea kama kuna watu wenye hulka za kuchukua sheria mkononi. Hii nchi ina mfumo wa sheria na hakuna mtu ambaye yuko juu ya sheria, leoo hii wamemuua kijana wa watu inakuwaje kesho wakamuua mtu mwingine ambaye anashukiwa tu kuwa ni mwizi. Serikali, wadau wa haki za binadamu na jeshi la polisi linatakiwa liangalie hili swala kwa jicho la tatu. .

Nakumbuka kuna kijana nilisoma nae form two alikiwa anaitwa James Nyoni, huyu kijana alikuwa anapenda maisha mazuri tu ya kujionyesha onyesha. Nakumbuka alichukua pamba za mtu gheto akazitinga jamaa mwenye pamba zake akakutana nae mitaa ya Ubungo. Ilikuwa mwaka 2010, yule mwenye pamba akamwitia rafiki yake mwizi na watu walimpiga na kumchoma James Nyoni moto. Hili ni moja ya tukio ambalo liliniachia simanzi kubwa sana kwa sababu ya nguo jamaa akachomwa moto. .

Am very sad about this. We are not savages we are really people and we should be civilized. People should take law at their own hands, and tonight I believe Panya Roads will retaliate. My house being in street of Manzese no one will be safe, begging the Police and the street watchmen to guard the innocent people and their families. .
Wewe Jamaa utakuwa taahira wewe sio bure unakiri huyo ni panya road harafu unalaani kuuwawa[emoji34] hivi wazazi wa yule mtoto wa UDSM aliyeuwawa na panya road wakisoma si watakuua hata wewe?[emoji34]
 
Kijana huyo ambaye alimpora mtu kwa kutumia silaha
Huyu kijana hata kama hakuwa panya road hiki kifo alikitafuta mwenyewe.

Kwa kipindi hiki watu wa Dar wako kwenye uchungu wa kuporwa, kujeruhiwa na kuuawa na panya road kwa mtindo kama huu alioutumia huyu kijana.
Mbaya zaidi ni kama serikali imewapa mgongo....hakika ukijichanganya lolote linaweza kutokea.

Lawama zote ni kws serikali iliyoshindwa kuwadhibiti hawa watoto matokeo yake ndio haya....kuua na kuawa.
 
Wewe Jamaa utakuwa taahira wewe sio bure unakiri huyo ni panya road harafu unalaani kuuwawa[emoji34] hivi wazazi wa yule mtoto wa UDSM aliyeuwawa na panya road wakisoma si watakuua hata wewe?[emoji34]

Aliyeuwawa ni mshukiwa, labda tu kama unasema mleta mada ni mahakama.
 
Huyu kijana hata kama hakuwa panya road hiki kifo alikitafuta mwenyewe.

Kwa kipindi hiki watu wa Dar wako kwenye uchungu wa kuporwa, kujeruhiwa na kuuawa na panya road kwa mtindo kama huu alioutumia huyu kijana.
Mbaya zaidi ni kama serikali imewapa mgongo....hakika ukijichanganya lolote linaweza kutokea.

Lawama zote ni kws serikali iliyoshindwa kuwadhibiti hawa watoto matokeo yake ndio haya....kuua na kuawa.

NInakazia:

"Lawama zote ni kws serikali iliyoshindwa kuwadhibiti hawa watoto matokeo yake ndio haya....kuua na kuawa."
 
Ujinga wenu ni tatizo kubwa sana. Jenerali Ulimwengu anasomeka:

View attachment 2359150
na bado tutawachoma sana moto wapumbavu ninyi.

Mnazidiwa akili hata na wamama ambao hutengeneza Busta kwa vipande vya mihogo, karoti, nazi na karanga mbichi kujitafutia vipato mnataka kujipatia mali kwa njia haramu ilihali hujui aliyepata kajinyima kwa kiasi gani hadi kumiliki alichonacho?

Tena Wananchi wanatakiwa wachome moto hata 100 kwa siku 1 ili twende sawa[emoji19]

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Habari za Jioni
Kuna jambo la kusikitisha sana ambalo limenifanya niwaze sana mda huu. Jioni hii saa moja kuna kijana ambaye ni panya road amechomwa moto barabara ya kutokea sweet corner kuelekea Manzese darajani (karibu na machine za kusaga). Kijana huyo ambaye alimpora mtu kwa kutumia silaha amepigwa na kuchomwa moto. .

Kilichonisikitisha ni kuwa sikutegemea kama kuna watu wenye hulka za kuchukua sheria mkononi. Hii nchi ina mfumo wa sheria na hakuna mtu ambaye yuko juu ya sheria, leoo hii wamemuua kijana wa watu inakuwaje kesho wakamuua mtu mwingine ambaye anashukiwa tu kuwa ni mwizi. Serikali, wadau wa haki za binadamu na jeshi la polisi linatakiwa liangalie hili swala kwa jicho la tatu. .

Nakumbuka kuna kijana nilisoma nae form two alikiwa anaitwa James Nyoni, huyu kijana alikuwa anapenda maisha mazuri tu ya kujionyesha onyesha. Nakumbuka alichukua pamba za mtu gheto akazitinga jamaa mwenye pamba zake akakutana nae mitaa ya Ubungo. Ilikuwa mwaka 2010, yule mwenye pamba akamwitia rafiki yake mwizi na watu walimpiga na kumchoma James Nyoni moto. Hili ni moja ya tukio ambalo liliniachia simanzi kubwa sana kwa sababu ya nguo jamaa akachomwa moto. .

Am very sad about this. We are not savages we are really people and we should be civilized. People should not take law at their own hands, and tonight I believe Panya Roads will retaliate. My house being in street of Manzese no one will be safe, begging the Police and the street watchmen to guard the innocent people and their families. .

People should take law at their own hands
 
Punguwani wa hedi, na bado tutawachoma sana moto wapumbavu ninyi.

Mnazidiwa akili hata na wamama ambao hutengeneza Busta kwa vipande vya mihogo, karoti, nazi na karanga mbichi kujitafutia vipato mnataka kujipatia mali kwa njia haramu ilihali hujui aliyepata kajinyima kwa kiasi gani hadi kumiliki alichonacho?

Tena Wananchi wanatakiwa wachome moto hata 100 kwa siku 1 ili twende sawa, swine wewe [emoji19]

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app

ni wewe ambaye kama nyani tu huoni kund* lako. Yote unayonituhumu nayo na yule usiyokuwa na ushahidi nayo yana apply kwako hivyo hivyo na hata zaidi.

Kweli ujingq mzigo.

Bure kabisa.
 
leoo hii wamemuua kijana wa watu inakuwaje kesho wakamuua mtu mwingine
Kesho ni wewe hapo ukizingua tunaruka na wewe... Sheria unazijua sheria wewe unazijua sheria kupiga watu na mapanga ndio unazijua sheria? Watu wana hasira zao we unaleta habari za sheria? Sasa kesho ukizingua tukikudaka na wewe zamu yako utaelezea sheria unazozijua uko mbele ya safari
 
Ww jishaue tu hapo....siku waingie ndani kwako wakubake ndo utajua panya road ni kina nani
Habari za Jioni
Kuna jambo la kusikitisha sana ambalo limenifanya niwaze sana mda huu. Jioni hii saa moja kuna kijana ambaye ni panya road amechomwa moto barabara ya kutokea sweet corner kuelekea Manzese darajani (karibu na machine za kusaga). Kijana huyo ambaye alimpora mtu kwa kutumia silaha amepigwa na kuchomwa moto. .

Kilichonisikitisha ni kuwa sikutegemea kama kuna watu wenye hulka za kuchukua sheria mkononi. Hii nchi ina mfumo wa sheria na hakuna mtu ambaye yuko juu ya sheria, leoo hii wamemuua kijana wa watu inakuwaje kesho wakamuua mtu mwingine ambaye anashukiwa tu kuwa ni mwizi. Serikali, wadau wa haki za binadamu na jeshi la polisi linatakiwa liangalie hili swala kwa jicho la tatu. .

Nakumbuka kuna kijana nilisoma nae form two alikiwa anaitwa James Nyoni, huyu kijana alikuwa anapenda maisha mazuri tu ya kujionyesha onyesha. Nakumbuka alichukua pamba za mtu gheto akazitinga jamaa mwenye pamba zake akakutana nae mitaa ya Ubungo. Ilikuwa mwaka 2010, yule mwenye pamba akamwitia rafiki yake mwizi na watu walimpiga na kumchoma James Nyoni moto. Hili ni moja ya tukio ambalo liliniachia simanzi kubwa sana kwa sababu ya nguo jamaa akachomwa moto. .

Am very sad about this. We are not savages we are really people and we should be civilized. People should take law at their own hands, and tonight I believe Panya Roads will retaliate. My house being in street of Manzese no one will be safe, begging the Police and the street watchmen to guard the innocent people and their families. .
 
wewe unajua damage ya panya Road ama unakuja kuandika hapa?
Acha ujinga wewe.walioweka sheria hawakua pumbavu kama wewe.kusipokua na utawala wa sheria iko siku ata wewe unaweza kugeuzwa panya road kinaz
dharia na ukauwawa.usijione msafi sana wakati siku hiyo ikitokea hutapata muda wakujitetea ili uthibitishe usafi wako.
 
Back
Top Bottom