Panya Road achomwa moto Manzese

Panya Road achomwa moto Manzese

Ni kweli ila watu watatumia mwaya wa kuchukua sheria mkononi hata kwa wasio na hatia
Thats how it goes.
Ndugu kuna watu wanajionaga watakatifu sana bila kujua huo utakatifu wao unalindwa na sheria.siku kukiwa hakuna hizo sheria yoyote anaweza kuhukimiwa bila kupata muda wakusikilizwa au kuthibitishwa.
 
Acha ujinga wewe.walioweka sheria hawakua pumbavu kama wewe.kusipokua na utawala wa sheria iko siku ata wewe unaweza kugeuzwa panya road kinaz
dharia na ukauwawa.usijione msafi sana wakati siku hiyo ikitokea hutapata muda wakujitetea ili uthibitishe usafi wako.
Sikia yaan wewe km upo kwenye hilo kundi utadakwa tu na ukidakwa hatutaki kusikia habari za sheria uliposhika panga na kuwacharanja watu haukujua km kuna sheria?
 
huyu jamaa kuna mawili either ni panya road au wale wanufaika wa panya road, wale madalali wanaoletewa vitu vya wizi na ni wazi hapa anahuzunika kwa kupoteza kijana wake.
kama umeshuhudia akipora tena kwa silaha unaweaje kuandika utopolo kama huu kama si mmojawao?
chunga sana kijana, watu wana maumivu mioyoni miongoni mwao ni mimi binafsi itakuja kula kwako.
 
JF imepoteza watu wenye akili sasa kuna watu upepo kabisa kichwani
Very sad
Hao no wale wajinga wanaojionaga wako salama bila kujua panya road hana alama.mtu yoyote yanaweza kumkuta.iwe msafi au mchafu.
 
Naomba usitafute sifa kwa kunivunjia heshima
Wizi ni laana na sina kizazi cha laana
Nitake radhi, umenikosea sana. .
namshangaa mtu kutetea mtu ambae unasema alikuwa kweny process za uporaji
 
Ni kweli ila watu watatumia mwaya wa kuchukua sheria mkononi hata kwa wasio na hatia
Thats how it goes.
kuua ndo solution , ukiisiwa maana yake ww ni mbaya tu , jiheshimu uone km utahisiwa vibaya
 
Ni kweli ila watu watatumia mwaya wa kuchukua sheria mkononi hata kwa wasio na hatia
Thats how it goes.
Wewe kaa kimya.... Hivi hujui kinachoendelea mjini na hao Panya road....!?

Unajua Madhara wanayoyafanya!?
 
Ndio maana kuna utawala wa sheria
Kwa hiyo wewe unashauri kama mtu kakuibia auliwe
Kuna mtu kanidhulumu elfu 20 nikamuue?
Ingetakiwa afikishwe kwenye sheria
sheria ilikuwa wap yule mwanachuo alipouawa
 
Hadi yatakapokukuta wewe au nduguyo kwa kuhisiwa kuwa na macho juu juu ndipo utatambua nini maana ya utawala wa sheria.
huyo ndugu ni mwizi tu , watu hawawez kuhis uongo
 
Hao panya road wanakua na alama gani?
Wewe jitoe ufahamu tukikudaka ndio utajua alama waliyonayo, unajifanya mchizi au sio? Kesho beba panga alafu fanya km alochofanya jamaa yako aliepigwa kiberiti alafu utajua panyaroad mna alama gani
 
Panya road wanapofanya uhalifu husikii habari za haki za binadamu ila wakishughulikiwa ndo story za haki za binadamu zikaanza.
Punguza ujinga ndugu.haki za binadamu zinahusu wale wenye dhamana na mamlaka yakulinda usalama wa binadamu.sasa panya road ana mamlaka gani.inasemwa hivyo ili kusiwe na matumizi mabaya ya mamlaka kwasababu mamlaka ikiamua inaweza kuswaga wananchi wote kama mbuzi na msihoji chochote.vibaka wakifanya uhuni kuna vyombo vyenye mamlaka vyakuwachukulia hatua je siku ikitokea mamlaka ndio iliyovunja sheria ni nani wakuiwajibisha?.Ndo maana wenye akili wanaweka hizo haki na maangalizo.
 
Ilitokea SAUT Mwanza mtu kagombana na demu wake alivyoenda kumtembelea hostel yule demu akamuitia mwizi. Wakampiga mpaka anakata roho ndio sauti za jamani msimpige sio mwizi zinasikika kutoka kwa huyo mdada
Kuna wajinga hawajui haya mambo yanaweza kuwakuta ata wao.kisa tu anajiona ni msafi wanadhani wamemaliza au wanatembea na alama ya utakatifu.
 
Huoni mtoa maada kasema kijana huyo kampora mtu kwa kutumia silaha Sasa hapo unataka ushaidi gani
Sio mazingira yote yanaweza kua hivyo.Kuna kijiji kibaka aliiba gunia la maindi akakimbizwa ilikua usiku akaingia kwenye nyumba ya mtu akajificha mwenye nyumba akahisi kuna mtu kaingia wakati anajipanga kuangalia ni nini wanakijiji wakafika wakidai mwizi wao mzee wawatu kutoka ili awaambie sio yeye na mwizi yuko ndani kajificha wakampiga mapanga.mambo mengine tusiyachukulie kirahisi kwakua halijakukuta.
 
Hakuna sheria ndani ya uwanja wa vita.
Kama unaanzisha vita basi unatakiwa ulitambue hilo.
 
Sio mazingira yote yanaweza kua hivyo.Kuna kijiji kibaka aliiba gunia la maindi akakimbizwa ilikua usiku akaingia kwenye nyumba ya mtu akajificha mwenye nyumba akahisi kuna mtu kaingia wakati anajipanga kuangalia ni nini wanakijiji wakafika wakidai mwizi wao mzee wawatu kutoka ili awaambie sio yeye na mwizi yuko ndani kajificha wakampiga mapanga.mambo mengine tusiyachukulie kirahisi kwakua halijakukuta.
Wewe leete tu hizi story zako za kijijini ila jua huku mjini kushachafuka ukidakwa kwenye kundi la panyaroad utaeleza kwanini ulibeba panga na kuwacharanja watu, usituletee upuuzi wako hapa unatetea wahalifu?
 
Kuna wajinga hawajui haya mambo yanaweza kuwakuta ata wao.kisa tu anajiona ni msafi wanadhani wamemaliza au wanatembea na alama ya utakatifu.


Jichanganye na weww mtaani kwetu uone tutakavyokufanya mishikaki. Tumeshawachoka wezi nyie.

Wewe jishaue Tu
 
Back
Top Bottom