Panya Road achomwa moto Manzese

Nakazia hapa ,panya road watakuja kuteteana hapa na mtqa
Kumbe Mahakama ni za nini? Huyu ni mshukiwa tu hadi ithibitike vinginevyo Mahakamani. Kwa mtaji huu nini tofauti yenu na panya road wenyewe?
Kaka usijitoe akili, kasoro ya kimalezi kwa mwanao itakugharimu
 
Kumbe Mahakama ni za nini? Huyu ni mshukiwa tu hadi ithibitike vinginevyo Mahakamani. Kwa mtaji huu nini tofauti yenu na panya road wenyewe?
Vyombo vya dola ndivyo vya kulaumiwa. Ukiona raia wanaanza chukua sheria mkononi, jua wenye dhamana ya kuhakikiaha kuna haki wameshindwa. Raia wamechoka sana kuhusu panya road maana inaelekea serikali inajifanya haioni sijui kwakuwa mara nyingi hawaendi huko masaki, osterbay
 
Kama ni panya rod kweli ni sawa tu japo wazazi matumbo ya uchungu yanauma mfano wa kupaka kidonda pilipili sasa tufanye nini?

Nyie watoto mtatuua na presha mjue, acheni ubaya
 
Tayari wameanza kuweweseka kutaka huruma ya serikali wakati wanaua kikatili hivi, na bado.
Mtu hawezi kuhisiwa tu hivyo bila proof yoyote. Rafiki mnaeishi nae geto moja si rahis kumuitia watu wamshambulie otherwise umetunga maana watu wawili hawawezi kuwa pamoja isipokuwa wamepatana.
Panya road ni kama waasi ktk nchi, huwafanya watu wakose amani kabs nyakati za usiku. Natamani Saladin angekuwa real na kuwakomesha washenzi hawa.
 
Panya road wanapofanya uhalifu husikii habari za haki za binadamu ila wakishughulikiwa ndo story za haki za binadamu zinaanza.
Hao ndo watetezi wao. Na sababu yaweza kuwa ni walewale au wanufaika.
 

Kwanini ziwepo mahakama? Futeni mahakama.

Lisemwalo lipo? Hukuwahi kusikia watu wana bambikiwa kesi? Huwa kubambikiwa hakuanzi na unalolisema kuwa ndiyo lisemwalo?
 
Sasa watu wa dar wameanza kuamka.
Hii ndio dawa pekee ya kuwatokomeza hao panya road.
Habar za mkono wa sheria ni kuwapa jeuri tu, wakinaliza vifungo wanarudi na nguvu mpya.
 
Kwanini ziwepo mahakama? Futeni mahakama.

Lisemwalo lipo? Hukuwahi kusikia watu wana bambikiwa kesi? Huwa kubambikiwa hakuanzi na unalolisema kuwa ndiyo lisemwalo?
Kimsingi wewe mkanye mwanao .... Ukiona Hela tamu utampoteza.
 
Mwenzio hapo amesema huyo Panya road amemkwapua mtu kwa kutumia silaha, bado unauliza wamejuaje??? Huyo sio suspect tena ni muhusika

Hata Mbowe mwenzako alisema amefadhili ugaidi. Luger A5340 ikaletwa kama ushadi. Mbona hukusema alikuwa mhusika siyo suspect?

NInakazia; Aliyesema kakwapua kwa kutumia silaha ni mahakama?
 
Kwa akili hizi hakuna katiba mpya karibuni. Tuna magenge ya wajinga sugu.
Kama ulivyo mpumbavu kutetea panya road Bora Mimi mjinga nikieleweshwa ntaelewa wewe ni MPUMBAVU ndio mnafanya hii nchi tukwame hapa tulipo
 
Wewe kama cyo panya road basi ni mkuu wa genge la panya road. Na tunafanya utaratibu wa kutafuta tairi la katapila la kukuchomea.
 
Rai yangu kwa wale wamiliki halali wa bastola,tembeza pipe kwa hawa panyaroad.

Ningelikuwa nina pipe,mwendo wa kuwafunua ubongo vibaka.
 
Sijawahi kuonea huruma hawa Panya road! hawana huruma hata kidogo! dawa yao ni hii kutoa fundisho kwa wengine.

Watoto wanatumia mapanga na visu kujeruhi binadamu wenzao mwilini kama wanakata miti!?
 
Kama ulivyo mpumbavu kutetea panya road Bora Mimi mjinga nikieleweshwa ntaelewa wewe ni MPUMBAVU ndio mnafanya hii nchi tukwame hapa tulipo

Upumbavu ni kipaji alisema Nyerere



Pole. Tiba ukaipate wapi? Ndiyo maana huwezi kuelewa tofauti ya panya road na mshukiwa.
 
'Kijana huyo ambaye alimpora mtu kwa kutumia silaha amepigwa na kuchomwa moto'

HUYO KIJANA YEYE ALIFUATA SHERIA GANI KUPORA MTU KWA KUTUMIA SIRAHA?
JE NI HAKI YAKE YA MSINGI KUPORA KWA KUTUMIA SIRAHA?


UKIVUNJA SHERIA JUU YA WENGINE, WENGINE WATAVUNJA SHERIA JUU YAKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…