We have different views. Let's agree to disagree.
Msimamo wangu ni panyaroad wawaishwe akhera.
Bad very bad
Kuna mwamba aliweka uzi hapa kuwa alimkopesha demu elfu 50, kwenda kudai yule demu akamwitia mwizi. Jamaa alikimbia kuokoa maisha yake, inakuwaje kama watu wangejichukulia sheria mkononi. Angeweza poteza maisha na hakuwa na hatia. WE HAVE TO OBSERVE RULE OF LAW, WE ARE NOT ANIMALS. .
Inawezekana unasoma unavyotaka wewe
SIWEZI kukulazimisha
Soma vizuri, nimeandika sheria ifuate mkondo wake
Sijamtetea yeyote yule
Bad very bad
Kuna mwamba aliweka uzi hapa kuwa alimkopesha demu elfu 50, kwenda kudai yule demu akamwitia mwizi. Jamaa alikimbia kuokoa maisha yake, inakuwaje kama watu wangejichukulia sheria mkononi. Angeweza poteza maisha na hakuwa na hatia. WE HAVE TO OBSERVE RULE OF LAW, WE ARE NOT ANIMALS. .
Mshahara wa dhambi ni mautiNdio maana kuna utawala wa sheria
Kwa hiyo wewe unashauri kama mtu kakuibia auliwe
Kuna mtu kanidhulumu elfu 20 nikamuue?
Ingetakiwa afikishwe kwenye sheria
Mkuu binadamu uliokuwa unawajua sio,it is a complete turn around.Kama hujui ni kwamba upo mpango wa makusudi wa kuwafanya wanadamu kuwa evil,what you see in humanity is a deliberate attempt to make them evil, it is not a coincidence.It is a gradual plan to change humanity from 3D to 5D through various means.Chanjo zime-play a great part in this dirty plan na pia change in the electric charge of the lower atmosphere,upper atmosphere and space.This in essence means changing the level of Electromagnetic energy of our environment.This has disoriented our brains and hence the changes.The right level of electromagnetic energy in the brain enables neurons and other relevant areas of the brain to generate consciousness and our ability to think critically and properly.Habari za Jioni,
Kuna jambo la kusikitisha sana ambalo limenifanya niwaze sana mda huu. Jioni hii saa moja kuna kijana ambaye ni panya road amechomwa moto barabara ya kutokea sweet corner kuelekea Manzese darajani (karibu na machine za kusaga). Kijana huyo ambaye alimpora mtu kwa kutumia silaha amepigwa na kuchomwa moto.
Kilichonisikitisha ni kuwa sikutegemea kama kuna watu wenye hulka za kuchukua sheria mkononi. Hii nchi ina mfumo wa sheria na hakuna mtu ambaye yuko juu ya sheria, leo hii wamemuua kijana wa watu inakuwaje kesho wakamuua mtu mwingine ambaye anashukiwa tu kuwa ni mwizi. Serikali, wadau wa haki za binadamu na jeshi la polisi linatakiwa liangalie hili swala kwa jicho la tatu.
Nakumbuka kuna kijana nilisoma nae form two alikiwa anaitwa James Nyoni, huyu kijana alikuwa anapenda maisha mazuri tu ya kujionyesha onyesha. Nakumbuka alichukua pamba za mtu gheto akazitinga jamaa mwenye pamba zake akakutana nae mitaa ya Ubungo. Ilikuwa mwaka 2010, yule mwenye pamba akamwitia rafiki yake mwizi na watu walimpiga na kumchoma James Nyoni moto. Hili ni moja ya tukio ambalo liliniachia simanzi kubwa sana kwa sababu ya nguo jamaa akachomwa moto.
I am very sad about this. We are not savages we are real people and we should be civilized. People should not take the law at their own hands, and tonight I believe Panya Road will retaliate. My house is in the street of Manzese no one will be safe, begging the Police and the street watchmen to guard the innocent people and their families.
Anayetoa Ushahidi ni Mahakama au aliyeshuhudia?Hata Mbowe mwenzako alisema amefadhili ugaidi. Luger A5340 ikaletwa kama ushadi. Mbona hukusema alikuwa mhusika siyo suspect?
NInakazia; Aliyesema kakwapua kwa kutumia silaha ni mahakama?
Hao uliwataja walikuwa ni panya road ?I agree to disagree.
Msimamo wangu panya road wawahishwe akhera Lakini si watuhumiwa.
Vivyo hivyo kwa magaidi lakini si watuhumiwa wa ugaidi.
"Wako wapi kina Lijenje, Ben, Azory nk? Nani walikuwa kwenye viroba?"
Tumegeukia uchuuzi Kama suluhisho la kudumu la kuukosekana ajira...Overpopulation itakuwa tatizo kubwa sana siku zijazo, hatuwezi kutegemea bodaboda na umchanga kama nchi kuwawezesha vijana wa taifa hili kupata maisha mazuri .
Jinga kabisa wewe.Mkuu binadamu uliokuwa unawajua sio,it is a complete turn around.Kama hujui Ni kwamba upo mpango wa makusudi wa kuwafanya wanadamu kuwa evil,what you see in humanity is a deliberate attempt to make them evil, it is not a coincidence.It is a gradual plan to change humanity from 3D to 5D through various means.Chanjo zime-play a great in this dirty plan na pia change in the electric charge of the lower atmosphere and space.This in essence means changing the Electromagnetism of our environment.This has disoriented our brains and hence the changes.Hii sio conspiracy theory kama watu walivyo zoea kusema mkuu,this is real and pure science.
Kuna technique NYINGINE wanayotumia ili watu watoke from 3D to 5D.Hii Ni kuharibu the Pineal Gland.Kwenye hii gland kuna kinasaba kinachoitwa VMAT2.Hiki kinasaba ndicho kinachomfanya mtu awe spiritual.Wao walichofanya ni kuharibu kinasaba hiki na na hivyo kumfanyia mwanadamu kuwa katili.Ofcourse hii ni process.