Panya Road achomwa moto Manzese

Panya Road achomwa moto Manzese

We have different views. Let's agree to disagree.

Msimamo wangu ni panyaroad wawaishwe akhera.

I agree to disagree.

Msimamo wangu panya road wawahishwe akhera Lakini si watuhumiwa.

Vivyo hivyo kwa magaidi lakini si watuhumiwa wa ugaidi.

"Wako wapi kina Lijenje, Ben, Azory nk? Nani walikuwa kwenye viroba?"
 
Bad very bad
Kuna mwamba aliweka uzi hapa kuwa alimkopesha demu elfu 50, kwenda kudai yule demu akamwitia mwizi. Jamaa alikimbia kuokoa maisha yake, inakuwaje kama watu wangejichukulia sheria mkononi. Angeweza poteza maisha na hakuwa na hatia. WE HAVE TO OBSERVE RULE OF LAW, WE ARE NOT ANIMALS. .

Apigwe Shaba tuu hakuna namna.

Asisumbue watu, watu waache kujenga nchi washughulike na mpuuzi.

Kama hutaki watu wachukue sheria mkononi nenda vijiwe vya panyaroad wape semina ya kuacha uhalifu. Vinginevyo watachomwa Moto.

Mbona hawaendi OSTERBAY Kule wakafanye huo uhalifu, si wanajua nini kitatokea.

Panyaroad Kama hujawahi kukutana nao ndio unaweza kuwatetea. Wako very unprofessional yaani Bora ukutane na jambazi
Ukifuata maelekezo yake hupati madhara zaidi ya kuibiwa tuu.
Wao wanakuumiza, wanakukatakata, wanakuchomachoma na bisibisi wengine wanabaka kabisa wanawake.

Watu wa hivyo namna Bora ya ku-deal nao ndio hiyo hapo.
Ni Kama magaidi tuu.
 
Inawezekana unasoma unavyotaka wewe
SIWEZI kukulazimisha
Soma vizuri, nimeandika sheria ifuate mkondo wake
Sijamtetea yeyote yule

Upumbavu ni kipaji. Hawawezi kukuelewa
 
ukiona watu wanajichukulia sheria mikononi ujue mifumo rasmi kuna sehemu ina changamoto
Bad very bad
Kuna mwamba aliweka uzi hapa kuwa alimkopesha demu elfu 50, kwenda kudai yule demu akamwitia mwizi. Jamaa alikimbia kuokoa maisha yake, inakuwaje kama watu wangejichukulia sheria mkononi. Angeweza poteza maisha na hakuwa na hatia. WE HAVE TO OBSERVE RULE OF LAW, WE ARE NOT ANIMALS. .
 
Overpopulation itakuwa tatizo kubwa sana siku zijazo, hatuwezi kutegemea bodaboda na umchanga kama nchi kuwawezesha vijana wa taifa hili kupata maisha mazuri .
 
Mkuu utakua hujawahi kuibiwa mathalani hapa mtaani kwetu tulishajiwekea akikamatwa tapeli, kibaka, panya road au mwizi na kuua tu tunapigiaga polisi kuja kubeba maiti tu na hakika imesaidia usalama na utulivu kwa miaka mitatu sasa kuko shwari na hatuna polisi jamii wala ulinzi shirikishi.
 
Ndio tunaenda kumzika Yule mtoto WA kawe alieuawa na panya road majuzi usiku.

Msiba upo Mwenge . Halafu kuna wajinga humu wanatetea panya road. Jinga kabisa.
 
Habari za Jioni,
Kuna jambo la kusikitisha sana ambalo limenifanya niwaze sana mda huu. Jioni hii saa moja kuna kijana ambaye ni panya road amechomwa moto barabara ya kutokea sweet corner kuelekea Manzese darajani (karibu na machine za kusaga). Kijana huyo ambaye alimpora mtu kwa kutumia silaha amepigwa na kuchomwa moto.

Kilichonisikitisha ni kuwa sikutegemea kama kuna watu wenye hulka za kuchukua sheria mkononi. Hii nchi ina mfumo wa sheria na hakuna mtu ambaye yuko juu ya sheria, leo hii wamemuua kijana wa watu inakuwaje kesho wakamuua mtu mwingine ambaye anashukiwa tu kuwa ni mwizi. Serikali, wadau wa haki za binadamu na jeshi la polisi linatakiwa liangalie hili swala kwa jicho la tatu.

Nakumbuka kuna kijana nilisoma nae form two alikiwa anaitwa James Nyoni, huyu kijana alikuwa anapenda maisha mazuri tu ya kujionyesha onyesha. Nakumbuka alichukua pamba za mtu gheto akazitinga jamaa mwenye pamba zake akakutana nae mitaa ya Ubungo. Ilikuwa mwaka 2010, yule mwenye pamba akamwitia rafiki yake mwizi na watu walimpiga na kumchoma James Nyoni moto. Hili ni moja ya tukio ambalo liliniachia simanzi kubwa sana kwa sababu ya nguo jamaa akachomwa moto.

I am very sad about this. We are not savages we are real people and we should be civilized. People should not take the law at their own hands, and tonight I believe Panya Road will retaliate. My house is in the street of Manzese no one will be safe, begging the Police and the street watchmen to guard the innocent people and their families.
Mkuu binadamu uliokuwa unawajua sio,it is a complete turn around.Kama hujui ni kwamba upo mpango wa makusudi wa kuwafanya wanadamu kuwa evil,what you see in humanity is a deliberate attempt to make them evil, it is not a coincidence.It is a gradual plan to change humanity from 3D to 5D through various means.Chanjo zime-play a great part in this dirty plan na pia change in the electric charge of the lower atmosphere,upper atmosphere and space.This in essence means changing the level of Electromagnetic energy of our environment.This has disoriented our brains and hence the changes.The right level of electromagnetic energy in the brain enables neurons and other relevant areas of the brain to generate consciousness and our ability to think critically and properly.

Naomba ieleweke kwamba hii sio conspiracy theory kama watu walivyo zoea kusema,this is real and pure science.

Kuna technique nyingine wanayotumia ili watu watoke from 3D to 5D.Hii ni kuharibu the Pineal Gland.Kwenye hii gland kuna kinasaba kinachoitwa VMAT2.Hiki kinasaba ndicho kinachomfanya mtu awe spiritual.Wao walichofanya ni kuharibu kinasaba hiki kwa kutumia mbinu "mbali mbali" na na hivyo kumfanya mwanadamu kuwa katili.Ofcourse hii ni process,it is evolution.Wanadamu wengine tayari wapo 5D,and hence extremely evil,wengine bado tupo 3D,wengine wanaelekea 5D,hivyo.Lakini nia yao ni kuwafanya binadamu wote wawe 5D.

Najua kwamba hutanielewa kabisa,na najua hutaniamini,ila nimejaribu kukumegea kidogo sana yale yanayofanywa dhidi yetu nyuma ya pazia bila wengi wetu kujua.

Mwisho,naomba ifahamike kwamba binadamu ameumbiwa matendo mema,adui ndiye aliyetuingizia ubaya.
 
Kuna Mtaa ukikamatwa unahojiwa vizuri , ukigundulika wewe ndio muhusuka unapigwa Hadi utakoma.

Kwahiyo nyie mnaodhania kuna watakaobambikiwa ondoeni Shaka.

Ole wenu mkamatwe mtajua hamjui
 
Hata Mbowe mwenzako alisema amefadhili ugaidi. Luger A5340 ikaletwa kama ushadi. Mbona hukusema alikuwa mhusika siyo suspect?

NInakazia; Aliyesema kakwapua kwa kutumia silaha ni mahakama?
Anayetoa Ushahidi ni Mahakama au aliyeshuhudia?

Use your common sense, tukio limetokea mtaani probably uchochoroni huko na wapo walioshuhudia na kuthibitisha mhalifu akipora kwa kutumia silaha...what else do u want?
 
Kaka civilization inakuja na elimu, sisi Africa kufika huko itachukua karne nyingi. Tunaishi kama karne ya 13 ya wenzetu.

Kama tu kuchaguana kwa kutumia mifumo ya kisheria ambazo tumezitunga wenyewe hatuwezi iweje kumchoma mtu moto barabarani?
 
I agree to disagree.

Msimamo wangu panya road wawahishwe akhera Lakini si watuhumiwa.

Vivyo hivyo kwa magaidi lakini si watuhumiwa wa ugaidi.

"Wako wapi kina Lijenje, Ben, Azory nk? Nani walikuwa kwenye viroba?"
Hao uliwataja walikuwa ni panya road ?

Hao uliwaotaja wakipita mtaani jamii itawakimbia kuwa ni panya road ?


Jamii ndio inajua huyu ni panya road naomba utuache.
 
Watu wa Manzese wana sifa na uthubutu kama watu wa Rchuga bravo bravo.

Choma vibaka wote.
 
Watu wana hasira kwasababu wameshachoka kama mtu anajipenda aache wizi vinginevyo 40 yake ikifika hakuna jinsi.
 
Overpopulation itakuwa tatizo kubwa sana siku zijazo, hatuwezi kutegemea bodaboda na umchanga kama nchi kuwawezesha vijana wa taifa hili kupata maisha mazuri .
Tumegeukia uchuuzi Kama suluhisho la kudumu la kuukosekana ajira...

.bora kupanua fursa kwenye kilimo, ufugaji au uvuvi maana kuna mahitaji ya hizo bidhaa kila siku huko duniani.
 
Mkuu binadamu uliokuwa unawajua sio,it is a complete turn around.Kama hujui Ni kwamba upo mpango wa makusudi wa kuwafanya wanadamu kuwa evil,what you see in humanity is a deliberate attempt to make them evil, it is not a coincidence.It is a gradual plan to change humanity from 3D to 5D through various means.Chanjo zime-play a great in this dirty plan na pia change in the electric charge of the lower atmosphere and space.This in essence means changing the Electromagnetism of our environment.This has disoriented our brains and hence the changes.Hii sio conspiracy theory kama watu walivyo zoea kusema mkuu,this is real and pure science.

Kuna technique NYINGINE wanayotumia ili watu watoke from 3D to 5D.Hii Ni kuharibu the Pineal Gland.Kwenye hii gland kuna kinasaba kinachoitwa VMAT2.Hiki kinasaba ndicho kinachomfanya mtu awe spiritual.Wao walichofanya ni kuharibu kinasaba hiki na na hivyo kumfanyia mwanadamu kuwa katili.Ofcourse hii ni process.
Jinga kabisa wewe.

MTU anapiga watu mapanga na kuua halafu yeye akiuliwa unasema binadamu yupo kwenye mpango WA kuwa evil.


Idiot
 
Back
Top Bottom