Panya road wanauawa kwa risas. Je, wezi wa mabilioni ya kodi za Watanzania wanabakije salama?

Sasa HV Niko keko Happ hkn bar iko was sasahv kila mtu Yuko kwake mtaa umetiluliaa kimya

Vijina wamekuwa tishio naogopa kutok nnje kukojoa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Vijisenti! Hela ya mboga! Ccm ni laana!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Acha siasa za kipumbavu,
 
Acheni jeshi la polisi lifanye kazi yake, kama nikuonywa hao panya walishaonywa sana lakini wanapuuza na kuendeleza uharifu.

Naomba jeshi la polisi kwenye operation yenu hii ya shaba muwaongeze na hawa wanao lawiti watoto. Hawa nao inaonekana sheria wameizoea kama panya road wahamishieni kwenye SHABA.
 
Wapumbavu nyie hamueleweki mnataka Nini siku zote, mwanzo mlikuwa mnawalaumu polisi wazembe,sasaivi wamehamua kudilinao hao panyarodi, mnaanza kuwa watetezi wa panyarodi wajinga nyie
 
Mbali na kuwakamata, wengine wamekuwa wakipigwa risasi na kufa papo hapo, adhabu hii ndiyo inayopelekea kuuliza juu ya wezi wa Mabilion ya fedha za kodi za wananchi
Hivi nyie wazima kweli kichwani?????


Kwahiyo leo mnawatetea panyarodi?

Nimehamini hii Nchi Ina matahira wengi Sana,

Kutwa mlikuwa mnasema jeshi la polisi Ni dhaifu ndiomaana panyarodi wanasumbua, sasa police wamehamua kudilinao hao panyarodi mnaanza kuwa watetezi wa panyarodi
 
Hivi nyie wazima kweli kichwani?????


Kwahiyo leo mnawatetea panyarodi?

Nimehamini hii Nchi Ina matahira wengi Sana,

Kutwa mlikuwa mnasema jeshi la polisi Ni dhaifu ndiomaana panyarodi wanasumbua, sasa police wamehamua kudilinao hao panyarodi mnaanza kuwa watetezi wa panyarodi wapuuz nyie
 
Nimeamini nchi hii ina wajinga wwngi mmoja wao ndio wewe. Kwa hio unataka panya road waachiwe tu ee?
Nchi Ina matahira wengi Sana hii mkuu, yaani mbwa hawa kutwa wao kulaumu polisi hawadili vizuri na wahalifu, leo tena wamekuwa watetezi wa hao vibaka wavunja amani
 
Kwasababu wananchi (wewe mmojawapo) ni wapumbavu.
Hivi nyie wazima kweli kichwani?????


Kwahiyo leo mnawatetea panyarodi?

Nimehamini hii Nchi Ina matahira wengi Sana,

Kutwa mlikuwa mnasema jeshi la polisi Ni dhaifu ndiomaana panyarodi wanasumbua, sasa police wamehamua kudilinao hao panyarodi mnaanza kuwa watetezi wa panyarodi,

Nchi Ina mazuzu Sana hii
 
Bado jeshi la polisi ni dhaifu
Lingekuwa imara lisingetumiwa na wanasiasa kujiimarisha.
Pia lisingewaua vijana mamia kwa mamia wasio na hatia kwa maagizo ya wanasiasa.
Imagine Jokate anawaamuru waue nao wanaua.
Nje ya mada kidogo: Kajifunze matumizi ya irabu
 

Ficha upumbavu wako
 
Mwizi mmoja amegiza mabasi 60 kwa mkupuo na bado anaendeshwa kwenye v8 na kiyoyozi
 
Bilionea hawezi kuuliwa kizembe
Mbali na kuwakamata, wengine wamekuwa wakipigwa risasi na kufa papo hapo, adhabu hii ndiyo inayopelekea kuuliza juu ya wezi wa Mabilion ya fedha za kodi za wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…