Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,321
- 18,574
NakaziaMambo ya panya road ni mpaka raisi?.. OCD RPC wanafanya nini.
kama ktk taasisi kuna waajiriwa wanao report ktk mamlaka, wakiongozwa na mwenyekiti hapa una zani kuna nini?Inashangaza sana Panya road vijana zaid ya 20 wanapanga na kujeruhi raia bila polisi kua na taarifa ila vikao vyote vya CHADEMA polisi wana intelejensia ya kuvijua na kuzuia visitokee.
Jeshi lishakua la kisiasa, limepuuza jukumu lake la msingi la kulinda raia na mali zao.
Hao kuna maeneo wanaenda kuvamiaRaisi aliongea kiwepesi sana na kwa sauti ya kike nzuri ila watakaoshughulika nao ni wengine si yeye.
Jamani, Tuwaonye hawa watoto, Pay back itakapoanza katoto kako kakawa mbele ya chatu mwenye njaa huku kapakawa unga na mafuta ya kuteleza hatakuwepo wa kumsaidia.
ATAOGOPA SANA LAKINI HATOPONA.
Wazazi na jamii mnaowafahamu hawa vijana nafasi ni hii ya kumsikiliza raisi na kuwaonya. Hii nchi ina raisi mwenye sauti nzuri ila ina watu katili wanaoilinda.
Unajua kule tuna mapandikizi huwa yanatoa taarifa mapema ila kwa PR hamna untarajia mnara ya intelijensia usome japo E?Inashangaza sana Panya road vijana zaid ya 20 wanapanga na kujeruhi raia bila polisi kua na taarifa ila vikao vyote vya CHADEMA polisi wana intelejensia ya kuvijua na kuzuia visitokee.
Jeshi lishakua la kisiasa, limepuuza jukumu lake la msingi la kulinda raia na mali zao.
Magufuli alitumia maguvu ya DOLA akaonekana kama vile kafanikiwa kupambana na hao Panya road na vikundi vingine.Magufuli aliwakuta wanatamba akawafuta kabisa.
Enzi za JK awa watoto walikuwa wanafunga mtaa na ikasemekana walishindikana.
Wameambiwa JK amerudi nao sasa wamerudi!Magufuli aliwakuta wanatamba akawafuta kabisa.
Enzi za JK awa watoto walikuwa wanafunga mtaa na ikasemekana walishindikana.
WAKULA KWA UREFU WA KAMBA ZAOPamoja na Rais wa nchi kusimama na kutoa kalipio kali kwa vijana wahalifu wa Panya Road.
Wameendeleza harakati zao za kujeruhi watu na kuiba mali.
Inabidi Rais sasa aonyeshe uongozi hii ni dalili mpaka watoto kama hawa ambao hata Makonda aliweza kuwafuta kwenye mitaa hawamuogopi na wanampuuza.
Kipindi hiki ndio uwa wananchi wanalia machozi kumisss uongozi strong wa Magufuli.
Soma: Panya Road wajeruhi 19, Mtongani
Ukweli ni kwamba hawa mnaowaita Panya Road are sending a signal showing the shortcomings in our society!! Kwani kuwa funga ndio suluhisho la njaa yao na familia zao? Kufanya hizo doria za Polisi is just postponing the problem!Wameambiwa JK amerudi nao sasa wamerudi!
Mfano ungozeko la madada magogo kitandani na wimbi la wakaka wanaojichubuaItafika mahali hata mambo binafsi atahusishwa marehemu
Huko kote mbali sanaHapo si ni jirani kabisa na kambi ya jeshi ya lugalo? Haifiki hata 5km
Ndugu,Kwa hiyo wewe kwa akili zako unafikiri panya road unaweza mpa ajira gani?
Bila shaka na wewe ni mkabili panya road na panya bukuSuala la panya road liliwahi kuibuka ndani ya tawala zilizopita ikiwemo serikali ya Kikwete, Magufuli na sasa ya SAMIA.
Naomba msilichukulie hili jambo kama failure ya uongozi wa Samia.
Hebu nendeni Zingiziwa- Chanika muulizie habari za wale vijana panya road mtaambiwa wanaendeleaje , au nenda Tabata ule mtaa waliotia fujo muulizie habari za wale vijana.
Kama haitoshi nendeni central mtapata majibu.
Polisi wapo tu, na ndio walewale waliokuwepo kipindi cha Magufuli.
Kijana ukirogwa kujiingiza kwenye upanya road nakuhakikishia mtaani kwako hawatakuona na watakusahau.
Wanayofanyiwa hawa panya road na vyombo vya Dola mngeona mngeanza kuvilaani vyombo vya Dola.
Muviache vifanye kazi yake
Panya road JPM zinalink vp ss hapoPamoja na Rais wa nchi kusimama na kutoa kalipio kali kwa vijana wahalifu wa Panya Road.
Wameendeleza harakati zao za kujeruhi watu na kuiba mali.
Inabidi Rais sasa aonyeshe uongozi hii ni dalili mpaka watoto kama hawa ambao hata Makonda aliweza kuwafuta kwenye mitaa hawamuogopi na wanampuuza.
Kipindi hiki ndio uwa wananchi wanalia machozi kumisss uongozi strong wa Magufuli.
Soma: Panya Road wajeruhi 19, Mtongani
Kwani kwa akili yako unadhani aliyetia fujo Tabata ndiye huyohuyo aliyetia fujo Zingiziwa au Kunduchi?Yaani leo watu sijui 19 wamekatwa mapanga ndiyo kushughulikia?
Mpuuzi wewe ingekuwa mumeo amekatwa panga usingeleta hizi blabla zakoKwani kwa akili yako unadhani aliyetia fujo Tabata ndiye huyohuyo aliyetia fujo Zingiziwa au Kunduchi?
Hawa vijana wakisikia huko wenzao wanefanya hivi nao huhamasika kufanya bila kujua nini wenzao kimewakuta.