Atutengenezi viongozi wazuri, aelewi ata tone sahihi kwenye kuonyesha you mean business.
Thatcher alipoingia madarakani akakuta serikali imekaa kijamaa sana agenda yake ikawa kupunguza government spending kwa kutoa matumizi yasiyo ya lazima.
Mziki wake aukuwa mdogo kila kona huku unions, wafanyakazi wenyewe, wanasiasa wa upinzani, asasi za kiraia na ata baadhi ya wanasiasa wa conservative walijaribu kupindua meza kutokana na pressure ya jamii.
Thatcher akawajia na famous speech yake ya ya mwaka 1981 ‘The lady is not for turning’ mimi ndio waziri mkuu na nimeamua tunapunguza matumizi ya serikali; waliokuwa wanamchukulia poa au ambao walidhani hana hiyo jeuri mziki wake waliuona mpaka anatoka.
Maza hana qualities yupo tu kama pambo la wahuni kufanya yao, ata kuongea tu afananii na raisi wa nchi.