ivanmark714
Member
- Jul 13, 2019
- 67
- 110
Sasa lile nalo ni kalipio au bembelezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vizuri sana, ila wa aina yako wanazidi kupungua tena kwa kasi kubwa, katika zama hizi za dot.com.Wengi wetu tumekulia kwenye umaskini. Hatujawahi kuwa wahalifu.
Kuheshimu haki za kuishi, mali za wenzako ni muhimu kwq nchi yoyote ili kuendelea, wewe kwenda kazini na kujua utarudi salama nyumbani.
Nimeangalia hiyo speech youtube. Huyu SSH hana hata 10% ya uwezo wa kuisimamia nchi.pp⁰
Unawambembeleza wahuni? Unawapekea moto usiku. Unawafuta duniani. Hicho ndio kitu wanachokijua na kukiheshimu.Sasa lile nalo ni kalipio au bembelezo
Wao wanadhani ukisikia mwanamke inatosha kubalance jinsia, wakati viongozi wengi wanawake ulaya ndio huwa wakali kweli ili wanaodhani utani.
Angela Merkel alikuwa akisimama na viongozi wa dunia akiongea wanakaa kimya, kama ni agenda za EU viongozi wote wa bara walikuwa wanasubiri aseme yeye kwanza.
Huyu wetu yupo yupo tu anaongea utadhani yupo sebuleni kwake anabembelezana wajukuu zake.
Hawaonei huruma watoto watakao uwawa kwa kuwa legelege. Unawaremburia macho wahuni unafikiri watakusikiliza?Anawaonea Huruma hao watoto Yeye ni mzazi pia...tumbo la udele
Ndio shida ilipo hajui yupo pale kwa shughuli gani.Ni ukweli Wanawake wengi enzi hizo
walikuwa makini sana hata kuliko wanaume. Walikuwa wana msimamo, wanasimamia misingi fulani.
SSH anasimamia nini? Upigaji, undugu, udini, ukabila, ukanda, Peleka pesa zote Zanzibar. kumchamfua kiongozi aliyokupa, kukuvumilia madaraka.
Inawezekana kabisaNdg panya rd under 15 unampa kazi gani!?
Ndio shida ilipo hajui yupo pale kwa shughuli gani.
Alisha tuonyana lakini ni ‘kudra za mwenyezi mungu’.
Inabidi aelezwe kudra za mwenyezi mungu mwisho 2025.
Wako busy kuandaa kesi na ushahidi wa mchongo kwa ajili ya ChademaMambo ya panya road ni mpaka raisi?.. OCD RPC wanafanya nini.
Wakishaanza kubinywa mbupu msije kulaumu maana hivyo ni vitoto vyenu mnavilea Lea viwe viharifu.Pamoja na Rais wa nchi kusimama na kutoa kalipio kali kwa vijana wahalifu wa Panya Road.
Wameendeleza harakati zao za kujeruhi watu na kuiba mali.
Inabidi Rais sasa aonyeshe uongozi hii ni dalili mpaka watoto kama hawa ambao hata Makonda aliweza kuwafuta kwenye mitaa hawamuogopi na wanampuuza.
Kipindi hiki ndio uwa wananchi wanalia machozi kumisss uongozi strong wa Magufuli.
Soma: Panya Road wajeruhi 19, Mtongani
Karipio kali lipi hilo ambalo ulilisikia peke yako?Pamoja na Rais wa nchi kusimama na kutoa kalipio kali kwa vijana wahalifu wa Panya Road.
Wameendeleza harakati zao za kujeruhi watu na kuiba mali.
Inabidi Rais sasa aonyeshe uongozi hii ni dalili mpaka watoto kama hawa ambao hata Makonda aliweza kuwafuta kwenye mitaa hawamuogopi na wanampuuza.
Kipindi hiki ndio uwa wananchi wanalia machozi kumisss uongozi strong wa Magufuli.
Soma: Panya Road wajeruhi 19, Mtongani
Rais akitoa tamko sitaki panya Road ndani wa mwezi mmoja, hakutawa na panya Road Tanzania nzima.Wako busy kuandaa kesi na ushahidi wa mchongo kwa ajili ya Chadema
ile jana alitakiwa kumpiga chini RPC na OCDMambo ya panya road ni mpaka raisi?.. OCD RPC wanafanya nini.
Kwa hii nchi ilivyo na hawa polisi wetu wa mchongo inawezekana kabisa ikawa panya wa mchongo.!Usikute kuna Wakuu wanapata Mgawo wao kutoka Kwa hawa Panya Road..
Kwa hii nchi ilivyo na hawa polisi wetu wa mchongo inawezekana kabisa ikawa panya wa mchongo.!
Ila huwa naomba siku moja nikienda Dar kupeleka biashara yangu ya majeneza then hivi vipanya viingie kwenye 18 zangu mtakuta nimevinyonga vyote shubmit..!!!