Panya Road wapuuza karipio la Rais Samia, waendeleza uhalifu kama kawaida

Panya Road wapuuza karipio la Rais Samia, waendeleza uhalifu kama kawaida

Ndio shida ilipo hajui yupo pale kwa shughuli gani.

Alisha tuonyana lakini ni ‘kudra za mwenyezi mungu’.

Inabidi aelezwe kudra za mwenyezi mungu mwisho 2025.
Haha,ukiangalia kwa umakini ni systems, mifumo yetu inaruhusu huu upuuzi.

Huyu mama angebaki kuwa mke mwenza wa nne. Ingetosha na kuliokoa Taifa.
Hizo chuki zenu kwa raia namba mmoja zitawaua.
 
Ndio shida ilipo hajui yupo pale kwa shughuli gani.

Alisha tuonyana lakini ni ‘kudra za mwenyezi mungu’.

Inabidi aelezwe kudra za mwenyezi mungu mwisho 2025.
Haha,ukiangalia kwa umakini ni systems, mifumo yetu inaruhusu huu upuuzi.

Huyu mama angebaki kuwa mke mwenza wa nne. Ingetosha na kuliokoa Taifa.
Hizo chuki zenu kwa raia namba moja zitawaua.
 
Kwa hii nchi ilivyo na hawa polisi wetu wa mchongo inawezekana kabisa ikawa panya wa mchongo.!
Ila huwa naomba siku moja nikienda Dar kupeleka biashara yangu ya majeneza then hivi vipanya viingie kwenye 18 zangu mtakuta nimevinyonga vyote shubmit..!!!
Keyboard warrior
 
Hapo si ni jirani kabisa na kambi ya jeshi ya lugalo? Haifiki hata 5km
Kwahiyo? Labda sijakuelewa mantiki Yako!!! Usalama wa raia na Mali zao nijukumu la nani hapo? Jwtz au hao polisi??
 
Mswahili bila fimbo haiendi,magu alichapa fimbo watendaji wake nao wakaenda.
Hiyo sio policy ya kiutawala mzee! Nchi yetu inahitaji taasisi imara ambapo kila mmoja atatambua wajibu wake na sio mpaka ubabe, kama ni kodi kuwe na sheria kali, ufisad iwepo sheria kali, ukiukwaj wa haki za binadam iwepo sheria kali, matumiz mabaya ya madaraka iwepo sheria kali!! Uongoz hautaji mwenye nguvu au mbabe.
 
Mwafrika bado sana ajawa civilized wa kuweza kujiongoza
 
Magufuli alitumia maguvu ya DOLA akaonekana kama vile kafanikiwa kupambana na hao Panya road na vikundi vingine.
Lakini alicho kifanya ni kulifukia (suppress) tu hilo tatizo, tena kwa muda. Tatizo lililopo hapa linaloongezeka kwa kasi ni ukosefu wa ajira hasa kwa vijana. Vijana wanazidi kuandamwa na umasikini wa kipato.
Ina maana hujui kwanini dola ipo? Kwa hiyo kwa vile hao vijana ni masikini waachwe wafanye uhalifi?
Nyumbu hovyo kabisa kisa limetajwa jina la Magufuli kwamba alitokomeza panya road basi mmehamishia chuki kwa Magufuli na kutetea panya road.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Ukweli ni kwamba hawa mnaowaita Panya Road are sending a signal showing the shortcomings in our society!! Kwani kuwa funga ndio suluhisho la njaa yao na familia zao? Kufanya hizo doria za Polisi is just postponing the problem!

Hivi nyie watawala hamuoni kuwa kuna uhusiano kati ya mfumuko wa bei( inflation) na ongezeko la uhalifu wakiwemo hawa mnaowaita panyaroad katika jamii?
Kwa utetezi huu jamii haiwezi kustaarabika. Wewe lazima ni panya road tuu.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
UHALIFU ni tabia ambayo inajengeka kutokana na mazingira, malezi, makuzi, maadili nk. Huwezi kuhalalisha uhalifu sababu ya wewe kuwa na njaa kali au ugumu wa maisha. Muhimu hapa ni kupewa elimu na kama itashindikana ni sheria kuchukua mkondo wake bila huruma.
Ugumu wa maisha ni kipimo cha akili. Pambana kuitafutia riziki ya halali kea kufanya KAZI ya HALALI nausisubiri kupora kwa kuumiza/kuua kutoka kwa aliyekitafuta kwa jasho lake.
"Kusikia kwa Kenge mpaka damu zimtoke masikioni". Ngoja hapo vijana wa IGP Sirro watakapoamua kufanya kweli ndipo hapo mtakapojua kuwa hamjui.
 
Pamoja na Rais wa nchi kusimama na kutoa kalipio kali kwa vijana wahalifu wa Panya Road.

Wameendeleza harakati zao za kujeruhi watu na kuiba mali.

Inabidi Rais sasa aonyeshe uongozi hii ni dalili mpaka watoto kama hawa ambao hata Makonda aliweza kuwafuta kwenye mitaa hawamuogopi na wanampuuza.

Kipindi hiki ndio uwa wananchi wanalia machozi kumisss uongozi strong wa Magufuli.

Soma: Panya Road wajeruhi 19, Mtongani
Huo unaouita uongozi strong na hao watoto hakuna tofauti wote waporaji.
 
Hivi ni nani aliwaaita jina la panya road?, shida ndo ilianzia hapo, maana usumbufu wa panya hata akiwa mmoja ndani utadhani wako 100
 
Rais amuagize IGP kiraza kuwatemesha kazi marpc wa kanda zinazosumbuliwa na hao panya road uone kama wataendelea kufanya hayo matukio ya kingese
Hao panya road ni wateja wa mzee wa msoga waguse kinuke ..wewe ujiulizi chadema wakisubutu kujikusanya sekunde polisi 400 wanakuwa wamefika ila hao panya road wana shambulia watu masaa 4 na zaidi huoni polisi hata mmoja wala simu za polisi awapokei , tumia akili kujua ili
 
Magufuli alitumia maguvu ya DOLA akaonekana kama vile kafanikiwa kupambana na hao Panya road na vikundi vingine.
Lakini alicho kifanya ni kulifukia (suppress) tu hilo tatizo, tena kwa muda. Tatizo lililopo hapa linaloongezeka kwa kasi ni ukosefu wa ajira hasa kwa vijana. Vijana wanazidi kuandamwa na umasikini wa kipato.
Kagame kafanikiwaje?, Dola lazima itishe, mbona Rwanda husikii huo ujinga
 
Apewe makonda paul awe waziri wa mambo ya ndani wiki tu itakuwa historia
 
Kwa utetezi huu jamii haiwezi kustaarabika. Wewe lazima ni panya road tuu.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Huu sio utetezi ni mchanganuo wa tatizo na kujaribu kuonesha jinsi ya kupata suluhisho la kudumu. Usiwe mvivu wa kufikiri!!
Uharifu hushamiri pale mgawanyo wa mali ya Taifa unawapendelea wachache katika jamii wakati walio wengi wanaumizwa na lindi la umaskini!
 
Back
Top Bottom