Ndio shida ilipo hajui yupo pale kwa shughuli gani.
Alisha tuonyana lakini ni ‘kudra za mwenyezi mungu’.
Inabidi aelezwe kudra za mwenyezi mungu mwisho 2025.
Hizo chuki zenu kwa raia namba mmoja zitawaua.Haha,ukiangalia kwa umakini ni systems, mifumo yetu inaruhusu huu upuuzi.
Huyu mama angebaki kuwa mke mwenza wa nne. Ingetosha na kuliokoa Taifa.
Ndio shida ilipo hajui yupo pale kwa shughuli gani.
Alisha tuonyana lakini ni ‘kudra za mwenyezi mungu’.
Inabidi aelezwe kudra za mwenyezi mungu mwisho 2025.
Hizo chuki zenu kwa raia namba moja zitawaua.Haha,ukiangalia kwa umakini ni systems, mifumo yetu inaruhusu huu upuuzi.
Huyu mama angebaki kuwa mke mwenza wa nne. Ingetosha na kuliokoa Taifa.
Keyboard warriorKwa hii nchi ilivyo na hawa polisi wetu wa mchongo inawezekana kabisa ikawa panya wa mchongo.!
Ila huwa naomba siku moja nikienda Dar kupeleka biashara yangu ya majeneza then hivi vipanya viingie kwenye 18 zangu mtakuta nimevinyonga vyote shubmit..!!!
Unaota wewe, amka kumesha kucha.Magufuli hatakufa
Si miaka mingi tutamuona tena
Kwahiyo? Labda sijakuelewa mantiki Yako!!! Usalama wa raia na Mali zao nijukumu la nani hapo? Jwtz au hao polisi??Hapo si ni jirani kabisa na kambi ya jeshi ya lugalo? Haifiki hata 5km
Hiyo sio policy ya kiutawala mzee! Nchi yetu inahitaji taasisi imara ambapo kila mmoja atatambua wajibu wake na sio mpaka ubabe, kama ni kodi kuwe na sheria kali, ufisad iwepo sheria kali, ukiukwaj wa haki za binadam iwepo sheria kali, matumiz mabaya ya madaraka iwepo sheria kali!! Uongoz hautaji mwenye nguvu au mbabe.Mswahili bila fimbo haiendi,magu alichapa fimbo watendaji wake nao wakaenda.
Mwafrika bado sana ajawa civilized wa kuweza kujiongozaHiyo sio policy ya kiutawala mzee! Nchi yetu inahitaji taasisi imara ambapo kila mmoja atatambua wajibu wake na sio mpaka ubabe, kama ni kodi kuwe na sheria kali, ufisad iwepo sheria kali, ukiukwaj wa haki za binadam iwepo sheria kali, matumiz mabaya ya madaraka iwepo sheria kali!! Uongoz hautaji mwenye nguvu au mbabe.
Ya kumkumbuka yapo mengi kwanini tunachaguliana?Wewe mganga tapeli hata kama humpendi JPM ila alitokomeza hili kundi. Kwa nini watu wasimkumbuke?
Toka lini mkurya akapewa amri na mwanamke?Hao ndio wamemdharau raisi.
Swali bado ni lile lile..kwanini wanamdharau??
That's why tukubaliane kua, tu tegemezi kwa mabeberu kwa kila kitu! And Donald trump was right about African continent to be colonised again!!Mwafrika bado sana ajawa civilized wa kuweza kujiongoza
Ina maana hujui kwanini dola ipo? Kwa hiyo kwa vile hao vijana ni masikini waachwe wafanye uhalifi?Magufuli alitumia maguvu ya DOLA akaonekana kama vile kafanikiwa kupambana na hao Panya road na vikundi vingine.
Lakini alicho kifanya ni kulifukia (suppress) tu hilo tatizo, tena kwa muda. Tatizo lililopo hapa linaloongezeka kwa kasi ni ukosefu wa ajira hasa kwa vijana. Vijana wanazidi kuandamwa na umasikini wa kipato.
Kwa utetezi huu jamii haiwezi kustaarabika. Wewe lazima ni panya road tuu.Ukweli ni kwamba hawa mnaowaita Panya Road are sending a signal showing the shortcomings in our society!! Kwani kuwa funga ndio suluhisho la njaa yao na familia zao? Kufanya hizo doria za Polisi is just postponing the problem!
Hivi nyie watawala hamuoni kuwa kuna uhusiano kati ya mfumuko wa bei( inflation) na ongezeko la uhalifu wakiwemo hawa mnaowaita panyaroad katika jamii?
Huo unaouita uongozi strong na hao watoto hakuna tofauti wote waporaji.Pamoja na Rais wa nchi kusimama na kutoa kalipio kali kwa vijana wahalifu wa Panya Road.
Wameendeleza harakati zao za kujeruhi watu na kuiba mali.
Inabidi Rais sasa aonyeshe uongozi hii ni dalili mpaka watoto kama hawa ambao hata Makonda aliweza kuwafuta kwenye mitaa hawamuogopi na wanampuuza.
Kipindi hiki ndio uwa wananchi wanalia machozi kumisss uongozi strong wa Magufuli.
Soma: Panya Road wajeruhi 19, Mtongani
Hao panya road ni wateja wa mzee wa msoga waguse kinuke ..wewe ujiulizi chadema wakisubutu kujikusanya sekunde polisi 400 wanakuwa wamefika ila hao panya road wana shambulia watu masaa 4 na zaidi huoni polisi hata mmoja wala simu za polisi awapokei , tumia akili kujua iliRais amuagize IGP kiraza kuwatemesha kazi marpc wa kanda zinazosumbuliwa na hao panya road uone kama wataendelea kufanya hayo matukio ya kingese
Kagame kafanikiwaje?, Dola lazima itishe, mbona Rwanda husikii huo ujingaMagufuli alitumia maguvu ya DOLA akaonekana kama vile kafanikiwa kupambana na hao Panya road na vikundi vingine.
Lakini alicho kifanya ni kulifukia (suppress) tu hilo tatizo, tena kwa muda. Tatizo lililopo hapa linaloongezeka kwa kasi ni ukosefu wa ajira hasa kwa vijana. Vijana wanazidi kuandamwa na umasikini wa kipato.
Huu sio utetezi ni mchanganuo wa tatizo na kujaribu kuonesha jinsi ya kupata suluhisho la kudumu. Usiwe mvivu wa kufikiri!!Kwa utetezi huu jamii haiwezi kustaarabika. Wewe lazima ni panya road tuu.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app