Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Nimezaliwa na kukulia kaskazini sijawahi kuona huo upuuzi. Sio zamani na wala sio sasa.Unasema kuhusu zamani kaka watu hawakuelimika na kustaarabika vya kutosha.
Japo mie mnyamwezi wa Ndevelwa sio mtu wa pwani ila hayo mambo sio ya kusema ya kabila fulani.
Yamesambaa kila kabila hata kanda ya ziwa unayakuta kwa wingi kwasasa.
Aliyekwambia Zanzibar ukatoliki hamna nani? ZANZIBAR CATHOLIC CHURCHLakini Zbar na mikoa ya pwani ambacho hamna Ukatoliki Kwa wingi ndio kunaongoza Kwa matendo ya laana.
Sawa ila Zbar asilimia 99.9999999 ni wa dini ya haqiAliyekwambia Zanzibar ukatoliki hamna nani? ZANZIBAR CATHOLIC CHURCH
Unasemea kaskazini ya Arusha,Manyara ama kilimanjaro kaka??Nimezaliwa na kukulia kaskazini sijawahi kuona huo upuuzi. Sio zamani na wala sio sasa.
Mbona Mombasa, Tanga, Dsm na Zanzibar, waislam mnakula hadi kutembea na viberiti vya mavy mkinusa au mnaona RC wanawaingilia anga zenu?“ lakini polepole wataelewa tu” = ni suala la muda wataliwa tu.
Zanzibar wengi wahamiaji kule kutoka bara wapo pia. Arusha, Kilimanjaro na sehemu nyinginezo kesi za ushoga zipo kibao. Huko mikoani watu wanawaingilia hadi kuku.Sawa ila Zbar asilimia 99.9999999 ni wa dini ya haqi
Hakuna dini inayoruhusu hilo suala.Mbona Mombasa, Tanga, Dsm na Zanzibar, waislam mnakula hadi kutembea na viberiti vya mavy mkinusa au mnaona RC wanawaingilia anga zenu?
Mtajuana wenyewe mie dini yangu hairuhusu Firrhaji
Ushoga upo kabla hata waafrika hawajaacha tamaduni zao sio kitu kipya.Asante papa kwa kuwaambia ukweli waafrika kwamba ni suala la muda wataelewa tu na kuukumbatia ushoga kama walivyoacha tamaduni zao na mila zao na kuukumbatia ukristo na uislam.
Kwa maana hiyo, kama watu wa afrika waliweza kuacha mambo yao na kuukumbatia uyahudi, uroma na umedi hawatokuwa na akili ya kuukataa ushoga
😅😅Yule aliyejibadili jinsia ndio maelekezo ya papa? Yule aliyeolewa kule Arusha ndio maelekezo ya papa😳Yule afande wa Zbar alikua James Delicious, vipi wale mahabusi waliofanya laana kwenye kituo cha polisi.
Sikiliza wimbo wa solo thang mambo ya pwani.😅😅Yule aliyejibadili jinsia ndio maelekezo ya papa? Yule aliyeolewa kule Arusha ndio maelekezo ya papa😳
Ukiona kaskazini kumeshaanza kuharibika basi pwani kumeozaUnasemea kaskazini ya Arusha,Manyara ama kilimanjaro kaka??
Mie nimefika njiro pia nimefika karibia na maeneo ya Arusha boys islamic kuna wadada wa kimeru na KiArusha wanatoa nyuma kama hawana akili nzuri.
Tena wengine nimesoma nao nawajua.
Tabora kuna chuo sikitaji nimekutana na toto za Manyara zinatoka umburuni zinatoa kimba kufuru ya rahmani.
Kilimanjaro rombo watoto wa kirombo na Siha wanatoa nnyaa ile balaa.
Mie nimetembea bro hunidanganyi.
Haya mambo hayahusiani na dini wala kabila ni utashi wa mtu tu.
UBAYA HAUNA KWAO karne hii.
Acha kukariri toa ushahidiLakini Zbar na mikoa ya pwani ambacho hamna Ukatoliki Kwa wingi ndio kunaongoza Kwa matendo ya laana.
Fictional ..Kaangalie BBC leo 😅😅uone ,chuki na pwani hazikuanza leo.Sikiliza wimbo wa solo thang mambo ya pwani.
Nimetoa tahadhari tu kwamba usichekelee Kwa mwenzio kunafuka moshi wakati kwako kunateketea 🤔Fictional ..Kaangalie BBC leo 😅😅uone ,chuki na pwani hazikuanza leo.
Ile video ya askari polisiAcha kukariri toa ushahidi
Ujinga wenu mnafuata mtu ,baada ya mtu ni kufuata dini sio watu..Nimetoa tahadhari tu kwamba usichekelee Kwa mwenzio kunafuka moshi wakati kwako kunateketea 🤔
Wala sio chuki