TANZIA Papa Benedict XVI afariki akiwana umri wa miaka 95

TANZIA Papa Benedict XVI afariki akiwana umri wa miaka 95

kifo ni fundisho kubwa kwetu sisi tulio hai tuishi maisha ya kumpendeza mungu, tupendane, tuheshimiane, tuache kuwaonea walio chini yetu.
kifo hakikwepeki sote tutakufa.
Hata yule Shemeji ya Bashiru Ally atakufa, na ndipo atalala pahala ambapo hatatoka tena labda pajengwe barabara ndipo mifupa yake itasafirishwa kupelekwa Tanga!

Naye ataandikiwa Pumzika kwa amani, bahati mbaya akimkuta bwana yule kiongozi wa Malaika, aisee atafikia marungu na kuruka kifrog-frog huku kende zikijipelengua chini maana huko Juu hakuna nguo viwanda vyote vipo duniani!
 
imekuwaje tena mkuu!!!,
hapa tunaomboleza kifo cha papa Benedict, sasa hayo mengine ya nini tena?!
 
bbc news​

Aliyekuwa Papa, Benedict XVI afariki akiwa na miaka 95​

papa

CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES

Papa wa zamani Benedict XVI amefariki dunia katika makazi yake Vatican, akiwa na umri wa miaka 95, karibu muongo mmoja baada ya kujiuzulu kwa sababu za kiafya.
Papa Benedict aliongoza Kanisa Katoliki kwa muda usiozidi miaka minane hadi mwaka 2013, akawa Papa wa kwanza kujiuzulu tangu Gregory XII mnamo mwaka 1415.

Benedict alitumia miaka yake ya mwisho katika monasteri ya Mater Ecclesiae ndani ya kuta za Vatican.

Mrithi wake Papa Francis alisema alikuwa anamtembelea huko mara kwa mara. Licha ya kwamba papa huyo wa zamani alikuwa mgonjwa kwa muda, Baraza Kuu lilisema kumekuwa na hali mbaya katika hali yake kwa sababu ya uzee.
 
Back
Top Bottom