TANZIA Papa Benedict XVI afariki akiwana umri wa miaka 95

TANZIA Papa Benedict XVI afariki akiwana umri wa miaka 95

Moja kati ya viongozi bora kabisa kuwahi kutokea kanisa katoliki karibu kuliko kiongozi yeyote, mengi ya kumzungumzia tunayo lakini hayata faa kitu zaidi ya kumuombea Rehema kwa mwenyezi Mungu aliemkirimia ndani yake utumishi katika kanisa na jamii kwa ujumla, ajaliwe pumziko la milele, na ikimpendeza Mungu awe miongoni mwa watakatifu katika kundi kubwa la watakatifu, kristo akampokee katika kao lake alilomuamdalia kabla ya kuzaliwa kwake.
 
Nani wengine

Shinzo Abe (PM wa Japan)
James Caan (moja kati ya actors bora alikuwepo pia kwenye The Godfathers)
Ray Liotta (Actor pia, movies nyingi kaigiza kama villan)
Madeleine Albright
Pelè
Queen Elizabeth II
Coolio
Bill Russell (sisi watu wa kikapu tunamjua huyu)
Scott Hall (wrestler wa zamani sijui wewe ni wa kizazi gani ila kama ulikuwa mpenzi wa WCW, members wa nWo utakuwa unawakumbuka mmojawapo ni huyu)
Papa Benedict XVI

Pia wapo celebrities wengi haswa wa TV shows...
 
Back
Top Bottom