MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,675
- 33,583
Kuna watu wakisema mwendo wameumaliza , imani wameilinda wanastahili [emoji120]
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani suala la ushoga alikua sabb piaAcha uzushi, alijiuzulu kwa sababu za kiafya
Ata wewe utakufa tuafe tu
kifo ni fundisho kubwa kwetu sisi tulio hai tuishi maisha ya kumpendeza mungu, tupendane, tuheshimiane, tuache kuwaonea walio chini yetu.
kifo hakikwepeki sote tutakufa.
Kwahiyo papa ni mungu wenu ma RC?Kama sio mRC achana naye, komaa na mafundisho ya bwana mwamposa.
Kwa hiyo inakuuma ?Watu mnasikitika kifo chake ilihali majirani zenu, ndugu zenu mnashindwa kuwasikitikia na kuwasaidia.
Hata mkisikitika huyo alikuwa kiongozi wa DINI na sio kiongozi wa IMANI (spiritual leader) kwa hiyo hata ulie debe tatu hapo mbinguni hutaingia kama hutabadili matendo yako na kufanya kile MUNGU angependa kukuona unafanya
Ebu angalia kama ndani ya kichwa chako kama kuna ubongo ndani yake, maana unauliza maswali ya kijinga.Kwahiyo papa ni mungu wenu ma RC?
PELENani wengine
Papa Benedict XVI afariki dunia
Vatican wamesema Taarifa kamili itatolewa baadae
Source: Sky news
RIP Pope Benedict XVI
Hili halipo kwa pope hata mmoja tangu mwanzo hata mwisho wa upimwengu aende akabanikwe kwa anachostahiliRaha ya Milele apewe na apumzike kwa Amani
Acha upotoshaji ndugu.R.i.p papa Benedict,, huyu alijiuzulu baada ya kulazimishwa apitishe ushoga,, nitakukumbuka kwa kuonyesha msimamo wako dhidi ya ushoga,
Kuna watu mnakereka na bado mnazifuatilia hizo status, maajabu hayaishi.Watu kwenye status mmejaza rip Papa [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana, hilo eneo inaonekana upo mweupe chief. Endelea kujikita kwenye simulizi za maisha na mapenzi.SI ndo yule juzi kakutana na kiongozi wa Jesuits kuongelea suala la mashoga kuruhusiwa kufunga ndoa za kikatoliki?