TANZIA Papa Benedict XVI afariki akiwana umri wa miaka 95

Hata usipo muombea huyo ni moja kwa moja kwa Mungu
Sijamuombea aingie Mbinguni wala motoni. Nimemuomba Mungu ampokee mja wake.

Hata tukifa, bado vita yetu na shetanj inaendelea hadi tunapoingia mikononi mwa Muumba.

Tusilikuze sana suala hili
 

mungu amrehemu
 
Siku wanatangaza yuko mahutiti hali yake ni mbaya aombewe ilikuwa ni ishara tosha kuwa amefariki. Ndivyo ilivyo kwa vifo vya wakubwa haitangazwi wakati huo huo anapofariki dunia mapaka maandalizi ya kutangaza msiba yakamilike
Jana alishiriki ibada halafu wewe unatuletea speculation zako hapa, mmezoa huko Tanganyika maccm huwa yanawadanganya basi unahisi kila jamii ina matapeli.
 
Huyu si mutetezi wa upinde?? Apumzike zake pamoja na mwendazake
 
95 parefu na mimi ntafika tu hapo ingawa dah huo umri sio mchezo, Jana walikua wanasema ana hali mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…