Papa Benedict XVI akiri kusema uongo katika kumtetea Padri aliekua analawiti wavulana

Papa Benedict XVI akiri kusema uongo katika kumtetea Padri aliekua analawiti wavulana

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2014
Posts
4,051
Reaction score
12,954
Papa mstaafu Benedict XVI amekiri kwamba aliwahi kusema uongo kwa wachunguzi na wapelelezi wa kesi ya kuwalawiti watoto kuhusu padri aliekua anachunguzwa kwa kuwalawiti wavulana.

Papa Benedict ameomba asamehewe kwa kusema uongo na kuficha ukweli kwa wachunguzi.

Soma mwenyewe hapa

Ingawa atasemwa na kutukanwa lakini angalau amesema ukweli wa moyowake na dhamira imemuongoza kukiri dhambi hiyo ya kusema uongo waziwazi.

Kabla hatuja mshambulia na sisi tuweke wazi makosayetu hadharani bila kificho ili tujadiliwe.
 
Ndiyo maana ninalipenda hili kanisa.Hii ndiyo dhamira ya kweli na falsafa ya kanisa katoliki.Kujishusha daima na unyenyekevu wa hali ya juu! Kama Yesu alivyosema akupigae Kofi upande mmoja mgeuzie na lingine! Kanisa limeonyesha mfano huo kwa kuomba radhi mara kwa mara pale linapotuhumiwa mfano wa mwanakondoo mnyenyekevu!.Hii ni sifa ya pekee sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Papa mstaafu Benedict XVI amekiri kwamba aliwahi kusema uongo kwa wachunguzi na wapelelezi wa kesi ya kuwalawiti watoto kuhusu padri aliekua anachunguzwa kwa kuwalawiti wavulana.

Papa Benedict ameomba asamehewe kwa kusema uongo na kuficha ukweli kwa wachunguzi.

Soma mwenyewe hapa

Mathayo 24:15
Basi hapo mtakapoliona chukizo la uharibifu, lile lililonenwa na nabii Danieli, limesimama katika patakatifu (asomaye na afahamu),

Mathayo 24:16
ndipo walio katika Uyahudi na wakimbilie milimani;

Mathayo 24:17
naye aliye juu ya dari asishuke kuvichukua vitu vilivyomo nyumbani mwake;
 
Hzi kashfa zilishakuwepo na kutolewa ufafanuzi na waliokiri waliokiri,tatizo zinaendelezwa na kurudiwa rudiwa kila siku hasa na vyombo vya habari flani Kwa maslahi binafsi.All in all Kanisa Katoliki ni kanisa imara sana kuanzia kiimani,kiongozi,kiuchumi nk.Sio kanisa la mtu ni taasisi iliyo imara huenda kuliko taasisi yoyote duniani
 
Back
Top Bottom