Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Umekasirika mimi kusema ukweli? Narudia for the record: Our Roman Catholic Church is UNSURPRISINGLY rotten! Ushahidi huo hapo juu, tena mmoja mdogo tu kutoka kwa Papa mwenyewe. What else do you want?Wewe ni mmoja ya viumbe hai wasio jitambua kabisa. Hivi kuna mtu aliwahi kukulazimisha kweli kwenda kusali Kanisa Katoliki?
Eti "nikipata kanisa la kuaminika, siwezi kushea paa moja na hawa wadanganyifu" Huu ni ushahidi mwingine wa mtu mnafiki na asiye jitambua!
Wewe hapo ulipo una ukamilifu gani! Hujawahi kuiba? Hujawahi kuzini? Hujawahi kutamani chochote? Hujawahi kusema uongo? Usituchoshe bhana!
Kama vipi wewe ondoka tu. Tena ufanye haraka iwezekanavyo! Maana Kanisa Katoliki ni kama bahari! Kamwe haitokuja ikauke!
Please note kwamba, hapa hatuzungumzii maisha ya watu individuals, bali uhalisia usiopingika kwamba chombo ama taasisi inayojinasibu kwamba inasimamia maadili na mambo ya kiroho, ndiyo ya kwanza kuguyuguza integrity ya wokovu mchana kweupe bila aibu wala hofu. Wala haiingii akilini hata kidogo!
Keep watching, you will soon learn the veracity of my words! ADIOS!