Liwagu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 5,593
- 6,754
Kukiri kwake kumronyesha uongo wa miaka mingi wa kanisa katoliki kuwa pope is infallable kuwa akiwa papa kwenye kazi zake za kipapa hawezi kukosea
Huyu alikuwa papa kwenye kiti cha upapa na akatetea uovu akiwa kitini
Kukiri kwake kumebomolea mbali ile theory ya uwongo
Nampongeza Papa Benedict kwa kuanika hadharani uongo wa kanisa katoliki
Kosa lilifanyika mwaka 80, sijui kama alikuwa tayari na cheo hicho.