Papa Benedict XVI akiri kusema uongo katika kumtetea Padri aliekua analawiti wavulana

Papa Benedict XVI akiri kusema uongo katika kumtetea Padri aliekua analawiti wavulana

Kukiri kwake kumronyesha uongo wa miaka mingi wa kanisa katoliki kuwa pope is infallable kuwa akiwa papa kwenye kazi zake za kipapa hawezi kukosea
Huyu alikuwa papa kwenye kiti cha upapa na akatetea uovu akiwa kitini

Kukiri kwake kumebomolea mbali ile theory ya uwongo

Nampongeza Papa Benedict kwa kuanika hadharani uongo wa kanisa katoliki

Kosa lilifanyika mwaka 80, sijui kama alikuwa tayari na cheo hicho.
 
Hiz
Al Jazeera, CNN, Washington Post, Newyork Times, BBC na other Western medias hawajawahi kuwa reliable sources kwenye habari zihusuzo Kanisa.

Reliable sources ni Catholic Herald, Catholic Online, EWTN, na nyinginezo kama hizi. Seek right information from the right sources.

Note: Ushoga ni dhambi. Kanisa Katoliki linapinga ushoga na kamwe haliwezi kuruhusu ushoga wala kuchangamana na dhambi nyingine iwayo yote.
Hizo reliable sources mbona hazijawahi kutamka kwamba mapadri wanafira watoto hadi wengine wanafungwa, uliwahi kuona hizo sources zako zinatangaza padri kafungwa kwa kushikwa analawiti watoto?

Ni sawa na uniambie Uhuru Media waandike kwamba CCM wnaakura rushwa, CCM imejaa mafisadi, umewahi kuona hivyo? Basi ni sawa na EWTN kutangaza kwamba mashoga wamejaa kanisa katoliki, huwezi kusikia kitu kama hicho.
 
Usije kuwalawiti watoto na wewe huko.. utahadhibiwa tu MKUU na hatutokubali masamaha wako wa kinafki.. si uache huo uasisi uoe Nani? Atakufunga jela.. mnatuharibia watoto tu.. wewe assume mtoto afanyiwe hivyo vitendo kwa miaka yote hiyo ambayo yupo mafunzoni alaf aje kuwa PADRI mnataka mje mtutengenezee kizazi gani! Cha MAPADRI.. kipara tu
Ashakuomba msamaha acha kuleta makuu, mbona una uswahili mwingi.

Alokwambia wanaolawiti watoto ni mapadri pekee ni nani?? Huendi kwa mpalange wewe??

Acheni unafki enyi kizazi cha nyoka, akikosea mwenzio unamnyooshea kidole kama ww una dhambi vile.
Unadhani kuomba msamaha hadharani ni jambo dogo eeh??
Wewe na hii id yako feki huwezi kuomba msamaha japo hatukujui.

Mimi binafsi nampongeza ni jambo la kishujaa sana.
 
Kipara.. umeng’ang’ania sana hii ID na una wasi wasi nayo hilo ni jina langu tatzo sijaweka ubini ndio inakusumbua.. kipara unazingua ..basi tushasamehe.. piga nae story hasirudie basi atatuzalishia MAPADRI miyayusho
 
Sio hasirudie ni asirudie.
Sina shida na ID yako, huo ulikua ni mfano tu kuonesha kwamba yeye ni muwajibikaji, ameona kosa, kakiri na kaomba msamaha bila shuruti. Ni jambo jema na kusifiwa na kuigwa na wenye akili kama mimi.
Niishie kusema,
Una mbongo ndogo sana dogo.
 
Kipara ..wakiendelea kuwalawiti watoto watatuzalishia MAPADRI sio ridhiki na huu utakuwa mchezo tena na sio makatazo.. kipara haelewi au ndio akili nywele
 
Huyo Pope anapaswa kushtakiwa kwa sababu udanganyifu wake huwenda ulichangia kuharibu Taarifa za uchunguzi ,
 
Kipara ..wakiendelea kuwalawiti watoto watatuzalishia MAPADRI sio ridhiki na huu utakuwa mchezo tena na sio makatazo.. kipara haelewi au ndio akili nywele
Pale mwanzo nikakuuliza, je wanaolawiti watoto ni mapdri pekee!!? Ajabu kabisa hujajibu.

Hizi habari zinakuzwa ni kwasababu ya ukubwa wa hii taasisi. Na si ajabu hao mapadri wanaofanya hivyo sio wengi kama ambavyo watu baki wanafanya..

Vitendo hivyo vinapingwa na wakibainika hupewa adhabu.

Kama hii ID ni jina lako nakushauri ubadili uweke jina feki walau kuficha ujinga wako mkuu hii forum hupitiwa na wengi, wanao wakija kuona uhoro unaotapika hapa ni aibu.
 
Kipara ..acha habari za ID zipo personal sana na usiofu na hao watakuja kunijua au kwa uozo wangu ninaouchapisha (najiweza sana) mimi mwenyewe natosha sana na hao ambao unawaofia.. kipara ongeza utulivu ufanikiwe maeneo yote sio kwenye ku comments kumtetea PAPA ipo wazi PAPA hakustahili UPAPA kwa kipindi chote alipokuwa anawaongoza raia wake.. sema tumeshamsamehe
 
Ingawa atasemwa na kutukanwa lakini angalau amesema ukweli wa moyowake na dhamira imemuongoza kukiri dhambi hiyo ya kusema uongo waziwazi.

Kabla hatuja mshambulia na sisi tuweke wazi makosayetu hadharani bila kificho ili tujadiliwe.
Kosa lake ni kubwa zaidi, kutetea muovu ni sawa na yeye pia kuwa muovu,,, vuta picha Kama ungekuwa muhanga wa jambo hilo, halafu jitu linamtetea aliyetenda dhambi hiyo
 
Papa mstaafu Benedict XVI amekiri kwamba aliwahi kusema uongo kwa wachunguzi na wapelelezi wa kesi ya kuwalawiti watoto kuhusu padri aliekua anachunguzwa kwa kuwalawiti wavulana.

Papa Benedict ameomba asamehewe kwa kusema uongo na kuficha ukweli kwa wachunguzi.

Soma mwenyewe hapa

Hizi dini zingine yaani kiongozi mkuu anaongea uongo kumtetea mfiraji

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Lichafuke mara ngapi tena kanisa letu? Hilo ni zaidi ya dampo la uchafu na ndimo hutoka mauchafu mengine yote makubwa kwa madogo. Nikipata kanisa la kuaminika, siwezi kushea paa moja na hawa wadanganyifu! Hawafai hata nukta kukaa nao karibu wala kuwavumilia!
inasikitisha sana kwa kweli
 
Kosa lake ni kubwa zaidi, kutetea muovu ni sawa na yeye pia kuwa muovu,,, vuta picha Kama ungekuwa muhanga wa jambo hilo, halafu jitu linamtetea aliyetenda dhambi hiyo

Kwani dhambi kubwa ndio hawaombi msamaha ama vipi.
Ama ulitaka afanyaje labda kwa mawazo yako.
 
Ingawa atasemwa na kutukanwa lakini angalau amesema ukweli wa moyowake na dhamira imemuongoza kukiri dhambi hiyo ya kusema uongo waziwazi.

Kabla hatuja mshambulia na sisi tuweke wazi makosayetu hadharani bila kificho ili tujadiliwe.
Kumbuka kinachoongelewa hapa ni Sexual abuse--- Ebu muweke yule kijana wako wa kiume kwenye hii scenario, kwamba baba padre wako ndo amefanya abuse, halafu matendo ya baba paroko wako yakasababisha wewe na kijana wako msipate haki yenu--- Halafu rudi uje uandike tena!
 
Eti anaitwa baba mtakatifu😂😂😂.

Tena wanasema baba mtakatifu utuombee, baba mtakatifu amesema hivi.

Yaani jamaa akitoka kulawiti mtoto anatoa matamko na waumini wanashangilia baba mtakatifu kasema hivi.
Thats why i stopped believing these things for years.. Dini ni aina nyingine ya siasa.. Kila kitu ni fiction tu!
 
Kituo cha luninga ambacho hata kwenye baadhi ya nchi za Waarab wenzao mfano Misri, Saudi Arabi, nk. Kimepigwa marufuku!

Kituo kinacho unga mkono wazi wazi vikundi vya kigaidi na ugaidi kwa ujumla kupitia kibuli cha dini.
Hicho kituo cha aljazeera kina mpk wakristo na wayahudi wanafanya kazi.
Na ktk vituo vya habari bora duniani ambavyo havibabaishi habari ni aljazeera.
LETA USHAHIDI KUWA ALJAZEERA IMEKAA KIDINI NA INATETEA UGAIDI.
Kuna wadada wanavaa skirt fupi na nywele wazi wanafanya kazi kituo cha aljazeera na wengi wakristo.
Utasemaje aljazeera ina udini na inafadhili ugaidi!?
 
Kwa mara ya kwanza papa nae amekiri kuwa kafanya dhambi...hii dunia mkweli Ni mungu pekee
 
Back
Top Bottom