Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakina nani hao.Sawa, Lakini hawanaga utakatifu wanaotudanganya kuwa nao?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimeamini kweli dogo unakula kwa shkamoo, umepata wapi muda wa kupekenyua account yangu [emoji23][emoji23].
Okay sio kesi, ndio nimepata mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimeamini kweli dogo unakula kwa shkamoo, umepata wapi muda wa kupekenyua account yangu [emoji23][emoji23].
Okay sio kesi, ndio nimepata mkuu
Mbna nimejibu kua nilipata ndgu.[emoji23][emoji23] na ungejua nipo wapi? Ungekuwa unaniamkia kila ukiniona nipo active.. kipara [emoji23][emoji23] jibu kwanza kitanda ulipataga [emoji23][emoji23][emoji23]
Asante kwa msaada wako mkuu nilishakipata.Ok kumbe umeshanijibu maana nilitaka nikupe diretion ukachukue pahala kama umepata poa
Mbna nimejibu kua nilipata ndgu.
kashfazinalichafua au inalipa sifa zake MKUU
Pole sana! Yaani ukidanganywa kidogo tu na watesi wa Kanisa Katoliki unaamini wanachokisema. Hii habari chanzo chake ni CNA Ujerumani na ilitoka kwa Kijerumani. Al Jazeera wameitoa huko. Ukisoma original story inavyosema ni tofauti na inavyoripotiwa na vyombo vingine. Hata mleta mada hii hapa haelewi tofauti kati ya "to tell a lie or to lie" na "to give a false statement". "To tell a lie or to lie" ni kusema uwongo/kudanganya. "To give a false statement" ni kusema kauli ambayo siyo sahihi au iliyokosewa. Na kwa mujibu wa CNA papa "mistakenly..." na yeye mwenyewe anasema "didn't say in bad faith...but it was an editing error in the statement...to which I will clarify later..." baada ya kusoma ripoti yenye kurasa 1,000 ambayo anasema kutokana na uzee na afya yake itamchukua muda kidogo. Hivyo, anaomba uvumilivu na asamehewe kwa hiyo "error" iliyofanyika maana siyo makusudi. Sasa tafsili yetu kwa sababu ya kupigwa mweleka na Kiingereza tunasema "papa kakiri kudanganya". Jambo ambalo silo maana hajasema hivyo. Ukitaka kusoma habari yenyewe ikoje soma kutoka CNA maana ndio walioripoti alichosema. Full stop!tuache kijifariji kanisa letu katolic limekua waongosana nahovyo Sana natamani kuokoka Mana Hilo jumba limeshadondoka kitambosana
Kwa upande mwengine nawasifia hawa jamaa ni wakweli sana,haya yote hatusikii Africa, kama vile yalikuwa hayafanyiki na Mapadiri...Ila wamefanywa sana na hawasemi..ni mmoja tu,anaitwa Malidodama Patrice Some ktk kitabu chake Of water and the Spirit, ameongelea hili namna hawa mapadiri walivokuwa wakifanya ushenzi..So just for your inform it happens in Africa tu.Hizi kashfa zinalichafua kanisa katoliki sana
Wewe akili yako ndogo sana. To give false statement while you know it is a false si ndio kudanganya huko?Pole sana! Yaani ukidanganywa kidogo tu na watesi wa Kanisa Katoliki unaamini wanachokisema. Hii habari chanzo chake ni CNA Ujerumani na ilitoka kwa Kijerumani. Al Jazeera wameitoa huko. Ukisoma original story inavyosema ni tofauti na inavyoripotiwa na vyombo vingine. Hata mleta mada hii hapa haelewi tofauti kati ya "to tell a lie or to lie" na "to give a false statement". "To tell a lie or to lie" ni kusema uwongo/kudanganya. "To give a false statement" ni kusema kauli ambayo siyo sahihi au iliyokosewa. Na kwa mujibu wa CNA papa "mistakenly..." na yeye mwenyewe anasema "didn't say in bad faith...but it was an editing error in the statement...to which I will clarify later..." baada ya kusoma ripoti yenye kurasa 1,000 ambayo anasema kutokana na uzee na afya yake itamchukua muda kidogo. Hivyo, anaomba uvumilivu na asamehewe kwa hiyo "error" iliyofanyika maana siyo makusudi. Sasa tafsili yetu kwa sababu ya kupigwa mweleka na Kiingereza tunasema "papa kakiri kudanganya". Jambo ambalo silo maana hajasema hivyo. Ukitaka kusoma habari yenyewe ikoje soma kutoka CNA maana ndio walioripoti alichosema. Full stop!
Hapo ndipo akili yako ilivyo ndogo kuliko zaidi. Hivi kwa unajua kwa nini kwenye article imeandikwa To give a "false statement" (kutoa taarifa isiyo sahihi) na siyo "to lie" (kusema uwongo). To give a false statement ina maana kusema jambo ambalo hata kama unaamini ni sahihi kwa kweli siyo sahihi. Na papa alisema statement aliyoitoa (kwa mujibu wa CNA, walioandika alichosema Ujerumani) ilikuwa "error in editing and I didn't do it in bad faith". Kwa maneno mengine hakukusudia kutoa kauli isiyo sahihi. Hivyo, hakudanganya au hakusema uwongo kwa makusudi.Wewe akili yako ndogo sana. To give false statement while you know it is a false si ndio kudanganya huko?
Yaani unajua kabisa kwamba capital city ya Tanzania ni Dodoma, halafu mtu anakuuliza what is the capital city of Tanzania ukasema Iringa ama Mtwara hapo umedanganya, huo ni uongo.
Mtakatifu wako unaemuomba kila siku papa alijua huyo askofu anachunguzwa na anatuhumiwa kwa kulawiti watoto lakini papa wako anatoa taarifa ya uongo kwa kujifanya hajui kama huyo askofu alihamishwa. Unataka kujifanya kwamba wewe umeelewa kuliko kuliko watu wengine wote.
Watakatifu wenu hawatetewi, hata ufanyeje hawasafishiki.
Papa kumlinda mtu analawiti watoto na yeye ni mlawiti.