Papa Benedict XVI akiri kusema uongo katika kumtetea Padri aliekua analawiti wavulana

Ndiyo maana ninalipenda hili kanisa.Hii ndiyo dhamira ya kweli na falsafa ya kanisa katoliki.Kujishusha daima na unyenyekevu wa hali ya juu! Kama Yesu alivyosema akupigae Kofi upande mmoja mgeuzie na lingine! Kanisa limeonyesha mfano huo kwa kuomba radhi mara kwa mara pale linapotuhumiwa mfano wa mwanakondoo mnyenyekevu!.Hii ni sifa ya pekee sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
Swali la msingi, kwanini aseme uongo na kwa maslahi ya nani ?
 
Mathayo 24:15
Basi hapo mtakapoliona chukizo la uharibifu, lile lililonenwa na nabii Danieli, limesimama katika patakatifu (asomaye na afahamu),

Mathayo 24:16
ndipo walio katika Uyahudi na wakimbilie milimani;

Mathayo 24:17
naye aliye juu ya dari asishuke kuvichukua vitu vilivyomo nyumbani mwake;
Out of context
 
Kukiri kwake kumronyesha uongo wa miaka mingi wa kanisa katoliki kuwa pope is infallable kuwa akiwa papa kwenye kazi zake za kipapa hawezi kukosea

Huyu alikuwa papa kwenye kiti cha upapa na akatetea uovu akiwa kitini

Kukiri kwake kumebomolea mbali ile theory ya uwongo

Nampongeza Papa Benedict kwa kuanika hadharani uongo wa kanisa katoliki
CCM na ujinga ni pipa na mfuniko, wakati alipotoa hizo habari ambazo hakuwa anaziamini ukweli wake hakuwa Pope. Hivyo bado infallibility ya Pope iko pale pale.
 
Papa mstaafu Benedict XVI amekiri kwamba aliwahi kusema uongo kwa wachunguzi na wapelelezi wa kesi ya kuwalawiti watoto kuhusu padri aliekua anachunguzwa kwa kuwalawiti wavulana.

Papa Benedict ameomba asamehewe kwa kusema uongo na kuficha ukweli kwa wachunguzi.

Soma mwenyewe hapa

Ingekuwa kwenye sheria hii inaitwa 'wrong citation of the law' na 'reliance on hearsay source' both of which have no legal effect. Huwezi kuzungumzia pope kwa "kutegemea" habari zilizoripotiwa na chombo cha habari kuhusu alichokisema yeye. Ungeleta source inayo'quote direct' alichosema pope. Huku kutegemea secondary sources na wewe kuripoti as if una uhakika kunakuondoa kwenye kundi la 'great thinkers' na kukuweka kwenye kundi la wapiga ramli. Pole sana. Nakushauri pata primary source ya jambo hili inaitwa CNA walio'quote' alichosema pope. Pole sana kwa kupiga ramli, hujafanikiwa!
 
Oooh muwakilishi wa sir god duniani............sijui alikabidhiwa funguo za mbinguni na wakina petro...............chant down babylon
 
Ingekuwa kwenye sheria hii inaitwa 'wrong citation of the law' na 'reliance on hearsay source' both of which have no legal effect. Huwezi kuzungumzia pope kwa "kutegemea" habari zilizoripotiwa na chombo cha habari kuhusu alichokisema yeye. Ungeleta source inayo'quote direct' alichosema pope. Huku kutegemea secondary sources na wewe kuripoti as if una uhakika kunakuondoa kwenye kundi la 'great thinkers' na kukuweka kwenye kundi la wapiga ramli. Pole sana. Nakushauri pata primary source ya jambo hili inaitwa CNA walio'quote' alichosema pope. Pole sana kwa kupiga ramli, hujafanikiwa!
Endelea kutetea wanaowafira.

Unataka sources gani wakati vyombo vyote vya habari vimeandika hivyo, ulitaka chombo cha EWTN cha katoliki kitoe ndio uamini? Mbona hakijawahi kusema mapadri wanawalawiti na kuwafira mkiwa kanisani?
 
Wrong! Unakimbilia zaidi kutoa hukumu kuliko kuelewa nilichosema. Nikupe mfano, chukulia mauaji yametokea na vyombo vya habari vilivyoripoti ni A, B, C na D. Chombo cha habari A kilikuwa kwenye tukio na kinaeleza lilivyotokea. Chombo B kinaripoti kutoka hospitali kutokana na ripoti ya madaktari waliopokea majeruhi na waliofariki kwenye tukio. Chombo C kinaripoti kutoka chombo B (hiki chombo cha habari hakikuwa kwenye tukio wala hospitalini) na chombo cha habari D kikaripoti kutokana na habari zinazojadiliwa mtandaoni. Wewe kwa uelewa wako ni chombo gani cha habari unaweza kuona kimeripoti habari sahihi (ni authority) kuhusu tukio lililotokea? Vyombo vya habari vinavyoripoti kuhusu kulawatiwa watoto na baadhi ya viongozi wa dini wa Kanisa Katoliki ni vingi na si kila chombo cha habari kinaripoti kwa lengo la kuhabarisha umma. Baadhi ya vyombo vya habari vinaripoti kwa sababu ya kuuza (kupata faida zaidi kutokana na habari yenyewe). Mimi ninachosema ni kwamba ni vizuri kuangalia source na siyo eti 'vyombo vyote vya habari'. Hii habari chanzo chake ni chombo cha habari kinachoitwa CNA cha Kijerumani. Vyombo vingine vya habari, ama vimetafsiri ama vimeripoti kutokana na kilichoripotiwa na chombo CNA ambacho kwa habari hii ndiyo primary source. Lakini ukisoma walichoripoti CNA ambao wana'quote' ripoti inayozungumzia habari hizo za kulawiti watoto habari yake ni tofauti na ile inayoripotiwa na vyombo vingine. Hoja yangu ipo hapa. Lakini kama wewe uko interested na habari tu na siyo habari sahihi, then chukua as your primary source habari yoyote inayoripoti habari za kulawiti watoto. Lakini haitakusaidia, bali itaongeza idadi tu ya watu wanaoamini habari zisizo sahihi ali mradi habari imeripotiwa. So, kama hiyo ni hobby yako endelea, lakini mimi nilikuwa naongelea kitu tofauti kabisa.
 
Kawape mataahira wenzako hizo hadithi zako sio mimi.
 
Papa mstaafu Benedict XVI amekiri kwamba aliwahi kusema uongo kwa wachunguzi na wapelelezi wa kesi ya kuwalawiti watoto kuhusu padri aliekua anachunguzwa kwa kuwalawiti wavulana.

Papa Benedict ameomba asamehewe kwa kusema uongo na kuficha ukweli kwa wachunguzi.

Soma mwenyewe hapa

"To give a false statement" tafsiri yake siyo "kusema uwongo" isipokuwa ni kusema jambo ambalo baadaye lilionekana "siyo kweli" (ujumbe wake hauendani na kilichotokea). Google maana ya 'to give a false statement'.
 
Na bado Kuna watu wanaenda kukili makosa mbele ya mapadri ati wasamehewe na Mungu😂
Hamuwezi mkawa serious aisee binadamu ni binadamu tu I can't trust them.
 
Hii hapa CNN

Bado hutaki kuamini kwamba papa alikua anashirikiana na padri anaelawiti watoto? Kwa maana kwamba huyo papa nae amelawiti watoto.

Inawezekana vijana wengi hasa mapadri na maaskofu waliopitia kwenye mikono yake aliwatafuna.

Papa anakiri kwamba alimficha mshikaji wake aliekua analawiti watoto ili asikamatwe na polisi ili waendelee kulawiti watoto.

Hii ilikua collusion, papa aligundua iwapo huyo padri atakamatwa angeweza kusema mengi hivyo ikabidi wakubaliane kuficha ukweli ili kulindana.

Hili ni kanisa ana chama cha mashoga?
😅😅😅
 
Imani nyingine ujitoe akili sasa hilo ni kanisa au......
 
Papa mstaafu Benedict XVI amekiri kwamba aliwahi kusema uongo kwa wachunguzi na wapelelezi wa kesi ya kuwalawiti watoto kuhusu padri aliekua anachunguzwa kwa kuwalawiti wavulana.

Papa Benedict ameomba asamehewe kwa kusema uongo na kuficha ukweli kwa wachunguzi.

Soma mwenyewe hapa

Catholic must be a devilish religion, Huyu Pope alichaguliwa na Moshi, na Haya ndo matokeo?
 
Papa bwana ananifurahisha sana,Eti anatetea Wafiraji.
 
Ingawa atasemwa na kutukanwa lakini angalau amesema ukweli wa moyowake na dhamira imemuongoza kukiri dhambi hiyo ya kusema uongo waziwazi.

Kabla hatuja mshambulia na sisi tuweke wazi makosayetu hadharani bila kificho ili tujadiliwe.
Niwekewe makosa yangu hadharani ili iweje? Ntamlilia Muumba wangu anisamehe, huyo papa kaamua kulichafua kanisa
 
Kwaiyo wewe ukimkosea mtu humuombi msamaha, unalia na Mungu tu.
 
Back
Top Bottom