Mr Devil
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 12,445
- 27,920
Kama yule Mtume msanii alie baka vitotoWAKATOLIKI bana [emoji2][emoji2][emoji2]
Dini usanii, viongozi wasanii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama yule Mtume msanii alie baka vitotoWAKATOLIKI bana [emoji2][emoji2][emoji2]
Dini usanii, viongozi wasanii
Hzi kashfa zilishakuwepo na kutolewa ufafanuzi na waliokiri waliokiri,tatizo zinaendelezwa na kurudiwa rudiwa kila siku hasa na vyombo vya habari flani Kwa maslahi binafsi.All in all Kanisa Katoliki ni kanisa imara sana kuanzia kiimani,kiongozi,kiuchumi nk.Sio kanisa la mtu ni taasisi iliyo imara huenda kuliko taasisi yoyote duniani
Ndiyo maana ninalipenda hili kanisa.Hii ndiyo dhamira ya kweli na falsafa ya kanisa katoliki.Kujishusha daima na unyenyekevu wa hali ya juu! Kama Yesu alivyosema akupigae Kofi upande mmoja mgeuzie na lingine! Kanisa limeonyesha mfano huo kwa kuomba radhi mara kwa mara pale linapotuhumiwa mfano wa mwanakondoo mnyenyekevu!.Hii ni sifa ya pekee sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama yule Mtume msanii alie baka vitoto
Sio mwanae ndo maana Hana uchungu nae
Papa mstaafu Benedict XVI amekiri kwamba aliwahi kusema uongo kwa wachunguzi na wapelelezi wa kesi ya kuwalawiti watoto kuhusu padri aliekua anachunguzwa kwa kuwalawiti wavulana.
Papa Benedict ameomba asamehewe kwa kusema uongo na kuficha ukweli kwa wachunguzi.
Soma mwenyewe hapa
Lichafuke mara ngapi tena kanisa letu? Hilo ni zaidi ya dampo la uchafu na ndimo hutoka mauchafu mengine yote makubwa kwa madogo. Nikipata kanisa la kuaminika, siwezi kushea paa moja na hawa wadanganyifu! Hawafai hata nukta kukaa nao karibu wala kuwavumilia!Hizi kashfa zinalichafua kanisa katoliki sana
Papa mstaafu Benedict XVI amekiri kwamba aliwahi kusema uongo kwa wachunguzi na wapelelezi wa kesi ya kuwalawiti watoto kuhusu padri aliekua anachunguzwa kwa kuwalawiti wavulana.
Papa Benedict ameomba asamehewe kwa kusema uongo na kuficha ukweli kwa wachunguzi.
Soma mwenyewe hapa
Kama jinsi Yesu alivyokubali kuteswa na kunyenyekea pale alipotukanwa ndivyo kanisa linavyopaswa liwe! Utatukana sana lakini daima falsafa ya kanisa hairuhusu kubishana au kukataa! Kama jinsi Kristu alivyokuwa mnyenyekevu na kukubali msalaba ndivyo kanisa lilivyo!Unyenyekevu wa kulawiti wavulana [emoji848]
Papa mstaafu Benedict XVI amekiri kwamba aliwahi kusema uongo kwa wachunguzi na wapelelezi wa kesi ya kuwalawiti watoto kuhusu padri aliekua anachunguzwa kwa kuwalawiti wavulana.
Papa Benedict ameomba asamehewe kwa kusema uongo na kuficha ukweli kwa wachunguzi.
Soma mwenyewe hapa
Sasa mbona unalazimisha awe mwanae?
Nampongeza Papa Mstaafu kwa kusema ukweli. Ni wakati sasa kwa Masheikh, Mautaadh, Maaskofu feki, Manabii feki, Mitume feki na Wachungaji wa madhehebu mengine kujitokeza hadharani na kukiri udhaifu wao!
Maana hata wao pia tunatambua fika siyo watakatifu na waadilifu! Zaidi tu ya kuishi maisha ya kinafiki.
Papa mstaafu Benedict XVI amekiri kwamba aliwahi kusema uongo kwa wachunguzi na wapelelezi wa kesi ya kuwalawiti watoto kuhusu padri aliekua anachunguzwa kwa kuwalawiti wavulana.
Papa Benedict ameomba asamehewe kwa kusema uongo na kuficha ukweli kwa wachunguzi.
Soma mwenyewe hapa

Wewe ni mmoja ya viumbe hai wasio jitambua kabisa. Hivi kuna mtu aliwahi kukulazimisha kweli kwenda kusali Kanisa Katoliki?Lichafuke mara ngapi tena kanisa letu? Hilo ni zaidi ya dampo la uchafu na ndimo hutoka mauchafu mengine yote makubwa kwa madogo. Nikipata kanisa la kuaminika, siwezi kushea paa moja na hawa wadanganyifu! Hawafai hata nukta kukaa nao karibu wala kuwavumilia!
Kwa hiyo ulitaka afiche? Yeye amechagua kujutia uongo wake kama mwandamu! Mimi sioni tatizo.kusema ukweli wakati Jambo limefanyika kweli?
hauoni Kama amewadhulumu hao watoto ?
Je padri aliyelawiti kaomba msamaha.kajishusha ama bado sijapata hiyo habari?!Ndiyo maana ninalipenda hili kanisa.Hii ndiyo dhamira ya kweli na falsafa ya kanisa katoliki.Kujishusha daima na unyenyekevu wa hali ya juu! Kama Yesu alivyosema akupigae Kofi upande mmoja mgeuzie na lingine! Kanisa limeonyesha mfano huo kwa kuomba radhi mara kwa mara pale linapotuhumiwa mfano wa mwanakondoo mnyenyekevu!.Hii ni sifa ya pekee sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo kanisa halina tofauti na sisiemu,liko imara kwenye kujichamba by any means ili litakasikeHzi kashfa zilishakuwepo na kutolewa ufafanuzi na waliokiri waliokiri,tatizo zinaendelezwa na kurudiwa rudiwa kila siku hasa na vyombo vya habari flani Kwa maslahi binafsi.All in all Kanisa Katoliki ni kanisa imara sana kuanzia kiimani,kiongozi,kiuchumi nk.Sio kanisa la mtu ni taasisi iliyo imara huenda kuliko taasisi yoyote duniani
Kwa hiyo ulitaka afiche? Yeye amechagua kujutia uongo wake kama mwandamu! Mimi sioni tatizo.
Kukiri kwake kumronyesha uongo wa miaka mingi wa kanisa katoliki kuwa pope is infallable kuwa akiwa papa kwenye kazi zake za kipapa hawezi kukoseaNampongeza Papa Mstaafu kwa kusema ukweli. Ni wakati sasa kwa Masheikh, Mautaadh, Maaskofu feki, Manabii feki, Mitume feki na Wachungaji wa madhehebu mengine kujitokeza hadharani na kukiri udhaifu wao!
Maana hata wao pia tunatambua fika siyo watakatifu na waadilifu! Zaidi tu ya kuishi maisha ya kinafiki.