Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,051
- 12,954
Popoma GENTAMYCINE njoo uone huku kanisa lako lilivyo na viongozi maboya
Uboya unaofanywa na Kanisa lako haupo?Popoma GENTAMYCINE njoo uone huku kanisa lako lilivyo na viongozi maboya
Ingawa atasemwa na kutukanwa lakini angalau amesema ukweli wa moyowake na dhamira imemuongoza kukiri dhambi hiyo ya kusema uongo waziwazi.
Kabla hatuja mshambulia na sisi tuweke wazi makosayetu hadharani bila kificho ili tujadiliwe.
Vipi angekuwa mtoto wako aliyefanyiwa hivyo alafu papa akamtetea muhalifu
Kwa iyo unataka sema ni mtoto wa jamaa ndio alifanyiwa hivyo au?
Huyo mdau anamtetea papa.bdo ninemuuliza vipi angekuwa mtoto wako aliyefanyiwa hivyo
Mathayo 24:15Papa mstaafu Benedict XVI amekiri kwamba aliwahi kusema uongo kwa wachunguzi na wapelelezi wa kesi ya kuwalawiti watoto kuhusu padri aliekua anachunguzwa kwa kuwalawiti wavulana.
Papa Benedict ameomba asamehewe kwa kusema uongo na kuficha ukweli kwa wachunguzi.
Soma mwenyewe hapa
Ndio nauliza kwani huyo ni mtoto wake?