Papa Francis aitaka Urusi kuacha vita vya kipuuzi na kikatili

HERY HERNHO

Senior Member
Joined
Mar 4, 2022
Posts
110
Reaction score
458
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis amerejea wito wake wa kutaka kusitishwa kile alichokiita vita vya "kipuuzi na kikatili" nchini Ukraine.

64207566_1005.jpg

Wito huo ameutoa Jumatano mjini Vatican, katika hadhara yake ya kila juma, ikiwa ni kipindi kifupi kabla ya kutimia mwaka mmoja tangu uvamizi wa Urusi.

Papa mwenye umri wa miaka 86 amesema idadi ya vifo, wanaojeruhiwa, wakimbizi, waliotengwa, uharibifu wa uchumi na kijamii vinajieleza vyenyewe.

Papa amerudia kutoa wito wa kukomesha mzozo huo tangu Urusi ilipoivamia Ukraine Februari 24, 2022, hata kufikia hatua ya kuonesha nia ya kufanya safari za kwenda Kiev na Moscow, safari ambazo hadi sasa bado hazijafanyika.

Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki duniani amewatolea wito viongozi wote wa mataifa yenye nguvu duniani kufanya juhudi madhubuti kuhakikisha kwamba mzozo huo unamalizika na kufikia makubaliano ya kusitisha mapigano na kuanza kwa mazungumzo ya amani.
 
Mbona hatukusikia wakilalamika wakati US alipoivamia Iraq, Syria na Libya?

Yeye anatakiwa kuangaika na ma padri wake ambao ni mashoga.
Kuhusu Syria
IMG_20230222_204459.jpg

"He also called on the international community to provide “decisive and renewed” commitment to rebuilding the nation, so that “once the weapons have been laid down, the social fabric can be mended and reconstruction and economic recovery can begin."

Iraq
IMG_20230222_203947.jpg

Libya alisema "I urge international bodies and those who have political and military responsibilities to recommence with conviction and resolve the search for a path towards an end to the violence, leading to peace, stability and unity in the country."

Uko kote kanisa lilizungumza hukusikia labda ulikuwa unaosha vyombo. Na si lazima lizungumze kila sehemu.
 
Attachments

  • IMG_20230222_204459.jpg
    IMG_20230222_204459.jpg
    363 KB · Views: 7
Mbona hatukusikia wakilalamika wakati US alipoivamia Iraq, Syria na Libya?

Yeye anatakiwa kuangaika na ma padri wake ambao ni mashoga.
Asilimia tisini ya mashoga ni mashehe,tano ni waislam tano iliyobaki ndiyo wakristo waliolelewa na mzazi mmoja muislamu kati ya wakaenda kusomea upadri.
Tufanye tu huu uwe mjadala wa kidini
 
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis amerejea wito wake wa kutaka kusitishwa kile alichokiita vita vya "kipuuzi na kikatili" nchini Ukraine.

View attachment 2526676

Wito huo ameutoa Jumatano mjini Vatican, katika hadhara yake ya kila juma, ikiwa ni kipindi kifupi kabla ya kutimia mwaka mmoja tangu uvamizi wa Urusi.

Papa mwenye umri wa miaka 86 amesema idadi ya vifo, wanaojeruhiwa, wakimbizi, waliotengwa, uharibifu wa uchumi na kijamii vinajieleza vyenyewe.

Papa amerudia kutoa wito wa kukomesha mzozo huo tangu Urusi ilipoivamia Ukraine Februari 24, 2022, hata kufikia hatua ya kuonesha nia ya kufanya safari za kwenda Kiev na Moscow, safari ambazo hadi sasa bado hazijafanyika.

Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki duniani amewatolea wito viongozi wote wa mataifa yenye nguvu duniani kufanya juhudi madhubuti kuhakikisha kwamba mzozo huo unamalizika na kufikia makubaliano ya kusitisha mapigano na kuanza kwa mazungumzo ya amani.
Yy mbona anahamasisha ugasho tena ni upumbavu na ujinga wa hali ya juu kabisaa

Embu atuache kwanza tumalize kuwapiga hawa magasho
 
Akihamasisha ushoga anawalazimisha na kuua watu?? Unaandika tu kama headless chicken.

Papa nae hopeless
 
acheni vita ya kipuuzi na kikatili
Msimuwekee Mzee Wa watu maneno kinywani kwa vipande vya video. Toa full speech.
Halafu anasingiziwa maneno mengi Sana.
Tukumbushane Kwa nini marehemu alikataa Joe biden asihudhurie mazishi yake?
 
Wewe kichwa chako kimejaa ujinga, kila kitu ni lazima ujifiche kwenye ushoga tu.
Sasa mtu anasapoti ushoga alafu unategemea awe na akili?
 
Msimuwekee Mzee Wa watu maneno kinywani kwa vipande vya video. Toa full speech.
Halafu anasingiziwa maneno mengi Sana.
Tukumbushane Kwa nini marehemu alikataa Joe biden asihudhurie mazishi yake?
Marehemu yupi Mkuu, hebu tufumbue macho na sisi wengine tupate kufahamu

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom