mushora
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 376
- 909
Pope Benedict XVIMarehemu yupi Mkuu, hebu tufumbue macho na sisi wengine tupate kufahamu
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pope Benedict XVIMarehemu yupi Mkuu, hebu tufumbue macho na sisi wengine tupate kufahamu
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Baba yako akisema kitu ndio sheria , ushawah kumuulza baba ako warakaHatujaona walaka wa kanisa kuhusu kukubali ushoga, au umesimuliwa
Hivi ni kwann mtu akiponda ushoga huwa unapanic sana au na ww ni wanachama?Wewe kichwa chako kimejaa ujinga, kila kitu ni lazima ujifiche kwenye ushoga tu.
Kwan nani alosema kama kanisa ndio limekubali USHOGAHatujaona walaka wa kanisa kuhusu kukubali ushoga, au umesimuliwa
Mbona mnapanic na ukweliWewe kichwa chako kimejaa ujinga, kila kitu ni lazima ujifiche kwenye ushoga tu.
Wajukuu awatoe wapi mkuu. Anakufa kama kuku, bora kuku anaacha vifaranga. Labda kama alizaa huko pembeni.Papa amechoka sana, ni vyema akalea wajukuu
Sasa mm na ww anaotetea ugasho nani ni headless chicken?Akihamasisha ushoga anawalazimisha na kuua watu?? Unaandika tu kama headless chicken.
Una uhakika au unasema tu. Huyu pope kakemea vita vyote mpaka vya Afghanistan walikemea mpaka vya iraqMbona hatukusikia wakilalamika wakati US alipoivamia Iraq, Syria na Libya?
Yeye anatakiwa kuangaika na ma padri wake ambao ni mashoga.
Kwani ushoga wanafanyia wapi ?Hivi ni kwann mtu akiponda ushoga huwa unapanic sana au na ww ni wanachama?
Hawa mapapa na viongozi wa dini wote duniani wamekuwa mateka wa wafalme.Hawana uwezo wa kumkemea mtawala.Hili kemeo lake kwa Urusi amelipeleka pasipostahiki aanzie. Angeishutumu Marekani na kuikemea ziara ya Biden kule Ukraine ingeonekana anafanya kwa akili zake.Awaambie na marekani waache kupeleka silaha ukraine
Acha ujinga we mwanamke, mda mwingine tumia akili yako umezoea mkuyenge huko nyuma hadi unafikiri wote humu ni kama wewe.Shoga hawezi kuwa mshauri mzuri.
Mashoga ndivyo walivyo, ni wa kuvumiliwa make anataka kuaminisha jamii kwamba ni kitu cha kawaida na anakifanya ndo maana kila mda mdomoni mwake hilo ndo msamiati, naona aibu hata kulitaja hilo nenoWewe kichwa chako kimejaa ujinga, kila kitu ni lazima ujifiche kwenye ushoga tu.
Kwa sababu umekuwa haribu.Kwani ushoga wanafanyia wapi ?
Kwa sasa ltaly,inaisaidia Uikraine au la?Kuhusu Syria View attachment 2526789
"He also called on the international community to provide “decisive and renewed” commitment to rebuilding the nation, so that “once the weapons have been laid down, the social fabric can be mended and reconstruction and economic recovery can begin."
IraqView attachment 2526783
Libya alisema "I urge international bodies and those who have political and military responsibilities to recommence with conviction and resolve the search for a path towards an end to the violence, leading to peace, stability and unity in the country."
Uko kote kanisa lilizungumza hukusikia labda ulikuwa unaosha vyombo. Na si lazima lizungumze kila sehemu.
Nani kakwambia US hawezi kukopesheka 😂. You are not serious my friend. Sasa Papa kasema vita unataka pia atoe ufafanuzi kuhusu uchumi wa Urusi, kwanini Papa atolee maelezo uchumi wa nchi yenye GDP level za jimbo la California?Itaria imekubari kupeleka Ndege Vita endapo wenzake watafanya hivyo, lakini risasi na vifaru katuma.
Ukitaka kuua nyoka anzia miguuni mwako. Taifa lake linapeleka siraha Ukraine kuchochea Moto wa Vita.
Amekosa heshima kumwita Putin Mpuuzi ilitakiwa afunge safari kwenda Moscow wayajenge. Sio kumwita mbabe Putin Mpuuzi ktk Media za Dunia Jambo litakalosababisha Putin kumdharau na kushindwa kusimamisha Vita.
Papa anajua wazi kuwa Hata Nato na Marekani wao hawamuwezi ktk Uwanja wa mapigano, hivyo alitakiwa awe mpole. Mfano Uchumi wa Ulaya umeporomoka ktk viwango vya kutisha zaidi 18% na Urusi 2.8% Wastani. Hata USA ana Madeni makubwa Sana hafai kukopesheka tena.
Hapa inabidi Migogoro hii ikae mezani MAMBO yakae sawa.
Kwani kuna uhusiano gani wa Saudi Arabia kuishambulia Yemen kwenye Uislamu? Miaka mingapi imepita Saudi Arabia inaua watu wa Yemen, Uislamu unahusika kisa Mecca na Madina zipo Saudi?Kwa sasa ltaly,inaisaidia Uikraine au la?