Papa Francis aitaka Urusi kuacha vita vya kipuuzi na kikatili

Papa Francis aitaka Urusi kuacha vita vya kipuuzi na kikatili

Saanze na hii vita kwanza
FB_IMG_1677699457239.jpg
 
Sisi wakatoliki tunakuheshimu sana baba mtakatifu,tuachie tumalizane na hawa mashoga kwanza THEN sisi warusi wa Usangu tutakuja kutubu

Tupo pamoja Mkatoliki mwenzangu. Mimi hata ile sala ya kuombea amani iliyotoka mwaka jana niligoma kuisali, nilikaa kimya. Maana sikuiona ijitolewa na kusaliwa kwa ajili ya Iraq, Libya, n.k. Acha tu Urusi, na washirika wake China, Iran, Korea Kaskazini, n.k. zitamalaki zaidi, ili dunia iwe sehemu salama ya kuishi.

Tumsifu Yesu Kristo.....!
 
Back
Top Bottom