Tupo pamoja Mkatoliki mwenzangu. Mimi hata ile sala ya kuombea amani iliyotoka mwaka jana niligoma kuisali, nilikaa kimya. Maana sikuiona ijitolewa na kusaliwa kwa ajili ya Iraq, Libya, n.k. Acha tu Urusi, na washirika wake China, Iran, Korea Kaskazini, n.k. zitamalaki zaidi, ili dunia iwe sehemu salama ya kuishi.