Tetesi: Papa Francis akutana na Kiongozi wa Jesuits kujadili masuala ya LBGTQ

Kwa hiyo pope nae ni wale.wale ama

Haya mambo tuanayasikia sana na wazee wengi walijitokeza na kusema walipokuwa wadogo walilawitiwa na fulani na fulani kwenye makanisa

Wana mambo mengi sana hawa na wanataka watu wafuate ingawa kuna wazungu wengi hawataki ila wanaogopa kufungua midomo kwani ni suala la serikali na sheria zao na wamekubali
 
Anatafuta kuwapendeza washirika wake bila kuwa na misimamo!
 
Ukiona mtu kama Kardinali Pengo, anajiweka pembeni ujue kuna jambo, vivyo hivyo kwa Papa Benedict XVI
 
Wakipitishi hii kitu mm naama ukatoriki yani nitakuwa mkristu ambae sina zehebu....
Papa mwenyewe anashughurikiwa sasa anaweza kuona tatizo ?, Tatizo watu wanachojisahau papa ni mtu wa kawaida Kama Mimi na wewe tofauti madaraka kwahiyo si wakufuta kila kitu anachopenda maana nae binadamu ana matamanio yake cha muhimu kufata maandiko Ila sikuhiz watu wanamfata mtu sio maandiko.
 
Mkuu hii kitu ipo dunia nzima inashika kasi

Ndo maana unaona World Cup nchi kama 9 za ulaya zimejipanga 'kuvua nguo' pale Qatar

Hata ligi zao hizi wanachochea hayo mambo sana. Na hayo mambo sasa hivi wanaume wanayapenda sana maana pepo mchafu kaachiliwa kumtafuna kila atakayekubali.

BEWARE WHEN YOU SEE THIS:



Wenyewe wanakuambia ONELOVE

gharika is soon coming!!!
 
Utafataga maandiko yanasema padri asioe aishi bila kugegeda lakini wanagegeda na kulawiti Sasa mabadiliko nilazima na heko kwa padri Luther king senior
 
Wakipitishi hii kitu mm naama ukatoriki yani nitakuwa mkristu ambae sina zehebu....
Mnachoshindwa kujua ni kwamba papa ni binadamu na anaongoza taasis ya binadamu ambao wana tenda dhamb. Wana mastabate wanaangalia porn wana hisia .. ila kanisa litaendelea kuwa holy milele.. na yeye kukubal ushoga haibadili mafundisho ya bible yanayokemea ushoga..
 
mkuu una ushahidi kwamba anashughulikiwa? Tuhuma nzito Sana hii
 
Msimamo wako?
 
huwa najiuliza hawa mashoga wana kusumbuaj mtu hawajakutongoza wala hawajakuzoea , Mamb ya zinaa yanafanywa ktk privacy zao , unampangiaj mtu nn cha kufanya akiwa faragha ? ni swala la muda ila wote dunian tutakuja jishangaa sana baadae kama hapo awali tulipokuwa tunawapinga watoto albino na kuwaua vilema , ila leo tumestaarabika na tunaish nao ni swala la muda , mtu yoyote ukimuhoj kwann unawapinga mashoga hana point mbali na kuzungumzia mvua sijui majanga ya kidunia vitu ambavyo havina uhusiano wowote , dhana hiz hiz walitumia wazee zaman dhidi ya albino na vilema , ila majanga ni natural disaster hazihusian na mashoga wala albino
 
Mkuu huoni kauli anazotoa Papa zina utata? Hakemei kabisa vitendo hivyo
unakemeaj privacy ya mtu , yaan mpo chumban halaf unamwambia mtu iweke mbele tu nyuma hapana , huu ni UKICHAA , haya ni maweng yetu ya sasa hv yataisha tu baada ya ujinga wetu kifika kikomo , kituko nyiny wapingaj ndo mashoga wakubwa , wafuga ndevu ndo mashoga wafia dini wengi mashoga , BINAFS SIWEZ MPANGIA MTU CHA KUFANYA AKIWA PRIVACY YAKE HUKO KIKUBWA HAWAFANY HADHARAN
 
Hivi wazazi wako wangekuwa hivyo ungezaliwa?
 
Wee msenge nn, yaani unaafiki mwanaume kuinamishwa apumliwe, wee punga kabisa yaani, so privacy gani unayoiongelea hapa, kwamba na akili zetu hizi na sie tukubali upumbavu huo au unafikiri kila cha mzungu ni chema kwetu waafrica?

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Dunia imefikia hatua mbaya sana ya kueneza ushoga. Waumini wa dini zote inabidi wajiandae kisaikologia kwa habari ambazo haitapendeza kusikia kwa viongozi wao wa dini. Hawa mawakala wa shetani wanatumia nguvu kubwa sana kueneza ushoga mojawapo ni pamoja na kuwapandikiza watu ktk tasisi nyeti zikiwemo dini ili badaye wawe viongozi na kuunga mkono kampeni zao. Kwa hiyo ndugu zangu naamini hakuna tasisi ya dini iliyosalama ni suala la muda tu. Muhimu ni namna ipi tutawaweza kukabiliana na hilo wimbi. Tuombe sana Mungu atusaidie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…