LAMBOFGOD
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 1,561
- 1,319
Juzi nilikua nasoma, jamaa wana mkakati na issue za cutoon, wanafight sana ziwe na maudhui ya upinde, yaani akina Tony na Jerry viwe kila mmoja kina wenzake wa kupumulia, so utajua upcoming generation inagrow up tayari ishakua distracted mentally kuzoea mambo ya ushoga na kuyaona ni kawaida sanaMkuu watoto wetu, wanakutana na movie zao na mazingira ya kukubali vitendo hivyo. Huwa sielewi inakuwaje shule za chekechea zinatumia rangi za [emoji304] ambazo zinatumiwa pia na Hawa mahasidi.
Mungu akisaidie kizazi chetu
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app