inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Benedict alikua muumini kweli,Ila lile dubwasha siyo dubwasha la dini ni corporateDuh, kumb ndicho kilichosababisha Benedict atoke Vatican?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Benedict alikua muumini kweli,Ila lile dubwasha siyo dubwasha la dini ni corporateDuh, kumb ndicho kilichosababisha Benedict atoke Vatican?
Hakuna mwanamke hapendi tu kuwa na mtoto eti kwa sababu hapendi kukutana na mwanaume, huo ni uongo they are psychologically affected ndio maana hawawezi kuinjoy mapenzi na jinsia nyingine.Ni sababu hawataki kukutana na mwanamme ila wanapenda wawe na watoto nawarithi wa walichovuna. Wangependa kupata mtoto kamahapa nchini kuna utaratibu wa sperms donation kama nchi zilizoendelea. Hapa hatuna hiyo huduma.
Hata mie nn?? Naandika ukweli I don't t care unaumiza au laaah, ila ukweli nauweka wazi.Mkuu cocastic, umemiangusha sana leo! Kumbe hata wewe...!
Anapelekewa motoNawewe ni mmoja wao? Mbona mnashupalia Sana hizi agenda?
the Netherlands, England, Belgium, Denmark, France, Germany, Norway, Sweden, Switzerland and Wales – will participate in a season-long “OneLove” campaign promoting inclusion and opposing discrimination.Ufafanuzi zaidi wa hizo nchi zinazotaka kuvua nguo kombe la dunia?
Kwann na nyie msiokuwa wamoja wao, mnakataa sana agenda hizi?Nawewe ni mmoja wao? Mbona mnashupalia Sana hizi agenda?
Tenaaaa mtetezi haswaaaaaaaaa,Huyu ndio wale watetezi wa haki za machoko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe ukweli mnaujuaaaa, misaada mnapenda na masharti mnayajua,Cha ajabu, hata viongozi wetu wanapata kigugumizi kusema msimamo wa taifa letu!wanahofia misaada itakosekana
Kwahili la movement za mashoga hakuna taasisi isiyo salama wala usijidanganye..unadhani hata kanisa katoliki wakati linaanza lilikua hivi..mdogo mdogo utawala wa giza unaendelea kuchukua nafasi hakuna cha kurwani wala nani hapo ni kila mtu kwa nafsi yake kusimama imara.Zaka hazitolewi na wazungu zinatolewa na matajir waislamu au waarabu ambao tunajua wazi si waumin wa ushoga mfano Qatar ,iran Oman na ushoga wapi na wapi,pia zaka kutoa ni hiyar yako haulazimishwi na mtu kwahiyo hilo baraa lao litaishia huko huko kwenye dini ya wazungu ya kujitungia sheria kutokana na mavadiliko ya dunia sio uislam kila siku sheria ipo vile vile hata Kama umeona shee kakengeuka bac hayo ni matamanio yake tu Ila hawez kubadilisha andiko lolote kwenye Quran ili iendane na anavyotaka yeye Kama inavyofanyika upande wa pili .hii ndio faida ya uislamu shehe na mtoto wa miaka Saba wote elimu sawa hakuna daraja sababu mungu wa wote na binadam wote Wana haki ya kumjua mungu wao sawa sio huyu ana elimu fulani huyu hana, ili uipate elimu ya juu bc kuna vigezo kibao vya kusoma huku juhudi zako na hakuna kilichobadilika na kitakachobadilika mpaka mwisho wa dunia maana ukitoa ile nucta tu kwenye msaafu bc itajulikana Sasa shekhe hata akinunuliwa kusapoti ushoga atabaki yeye na lana zake sio maandiko .Sasa utachagua kumfata shekh au kufata maandiko huu ndio uzur ya uislam .NB hakuna binadamu mkamilifu mda wowote anabadilika kutokana na matamanio ya moyo wake awe shekh au papa kwahiyo maandiko hayabadiliki ndio ya kuyafuata. Nadhan umenielewa mkuu
Hiyo oagraph ya pili inayoongelea dini ya kweli umeielewa vp? Unaona mashoga hata kuelewa minor thing tu ni tatizo.Paragraph ya pili ndo umemaliza kila kitu, kumbe sometimes huwa uko timamuuu eeeh? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daaaah!! Nashindwa hata kutukama mana matus ni dhambiNi suala la muda makanisa kuhalalisha suala hili. Haya ndiyo majanga kwenye dini kuleta siasa kumridhisha kila mtu na inahitaji unafiki wa hali ya juu.
View attachment 2414235
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka km mwehuuuuuu hapaaaa.Muda sio mrefu hii kitu itakuwa sheria kwenye kusaidiwa, huungi mkono kutinduana, hupati hela za maendeleo wala za afya, kama naiona Tanzania tunavyopenda misaada, tuhimize viongozi wetu tuache kuzungusha mabakuli.