Tetesi: Papa Francis akutana na Kiongozi wa Jesuits kujadili masuala ya LBGTQ

Tetesi: Papa Francis akutana na Kiongozi wa Jesuits kujadili masuala ya LBGTQ

Mbona tz inauga mkono hayo mambo kitambo..sema viongozi wetu unafiki mwingi..kumbuka barua iliyotolewa kipindi makonda akipambana na mashoga akatulia tuli..serikali yenyewe ilimkana ikasema huo ni msimamo wake wala sio msimamo wa serikali.

Ukishakubali kutia saini mikataba ya haki za binadamu jua vipengele ya hao LGBTQ viko ndani yake.

Nakwa nchi zetu njaa hizi za viongozi watembeza bakuri hawana kauli wao ni ndio mzee ilimaradi wapewe chochote kitu.

#MaendeleoHayanaChama
Wapasulieeeeeeee ukweliiiiiiii babaaaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wapeeeeeeee wapeeeeeeeee.
 
Hakuna mwanamke hapendi tu kuwa na mtoto eti kwa sababu hapendi kukutana na mwanaume, huo ni uongo they are psychologically affected ndio maana hawawezi kuinjoy mapenzi na jinsia nyingine.

Je umeshawahi ona mnyama yeyote be it paka, mbuzi, ng'ombe, njiwa wakipandana jinsia tofauti?
Kama sio basi ekewa hata kwa mwanadamu hilo swala in laaana don't entertain it

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Hapana sijaona ila nimesikia kuna wanyama wanafanya hivyo. Tusihukumu bure. Baba mtakatifu amefanya utafiti na kuona afanye mawasiliaono na wenzie ma jesuist.
 
Nitasikitika ila nitakubali hali hakuna jinsi.

Hapana hawapendi na hawakupenda kuwa hivyo. Hutanielewa mpaka uongee nao. Nilikaa na majirani NY mashoga nilijaribu kuongea nao na niliwaelewa kuwa hawajawahi kusikia hamu ya kuwa na mwanamme ila wana watoto ambao mmojawao alikubali kubeba mimba with artificial insemination mara mbili.
Mama/bibi unapotezaaa nguvu buree kuwaelezaaa, hawakuelewi kamweee, achana nao.
 
Nitasikitika ila nitakubali hali hakuna jinsi.

Hapana hawapendi na hawakupenda kuwa hivyo. Hutanielewa mpaka uongee nao. Nilikaa na majirani NY mashoga nilijaribu kuongea nao na niliwaelewa kuwa hawajawahi kusikia hamu ya kuwa na mwanamme ila wana watoto ambao mmojawao alikubali kubeba mimba with artificial insemination mara mbili.

Jinsi ipo.

Ni basi tu kushupaza shingo.

Wengi wa hawa watu wana psychological reasons za kuwa hivyo:

1. kulelewa na mzazi mmoja hasa kama baba hayupo au kama yupo basi ni baba legelege, kudekeza watoto inaumiza jamii
2. kuhujmiwa kijinsia mfano wa kiume wengi huweza kuwa wamelawitiwa walipokua wadogo, wakike wanaeza kuwa walibakwa
3. mateso makali kutoka kwa wazazi
4. watoto wa mtaani
5. watoto wa kishua walioanza kuangalia pornography toka wadogo wakakubuhu na kulewa uasherati (ndo maana huezi kukuta mmatumbi au mmasai wa ngorongoro anafanya haya mambo!!!!)

shule ya bweni haya mambo tumeyaona
wote waliokuwa wakishiriki walikua watoto wa kishua

watu wa kijijini walikua yanapiga kitabu na kuruka ukuta kuleta viepe!!

6. kuiga fashion kutoka ulaya
7. ni swala la kiroho pia

ukibisha its at your own loss!
 
Ungekua kweli una mahusiano mazuri na Mungu wako na umepata elimu ya dini usingetoa hoja za kishoga ambazo dini zinapinga na sio utaratibu tu wa zile African religion

Kama vpi leta facts za dini yoyete hapa nikupe shule uone jinsi gani ulivyo mweupe unageuzwageuzwa kama Bendera na hizo western propaganda

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Ile paragraph yako ya pili ilimaliza kila kitu, sasa sioni haja ya mie kuanza kuchimbua kitu ambacho kipo wazi na unakijua.

Au uliandika pasipo kukusudia au uliandika ukiwa hujui nn unaandika? Unashangazaaaaaa.
 
Hapana sijaona ila nimesikia kuna wanyama wanafanya hivyo. Tusihukumu bure. Baba mtakatifu amefanya utafiti na kuona afanye mawasiliaono na wenzie ma jesuist.
Anakuwa mtakatifu hata akiwatetea mashoga!
 
Jinsi ipo.

Ni basi tu kushupaza shingo.

Wengi wa hawa watu wana psychological reasons za kuwa hivyo:

1. kulelewa na mzazi mmoja hasa kama baba hayupo au kama yupo basi ni baba legelege, kudekeza watoto inaumiza jamii
2. kuhujmiwa kijinsia mfano wa kiume wengi huweza kuwa wamelawitiwa walipokua wadogo, wakike wanaeza kuwa walibakwa
3. mateso makali kutoka kwa wazazi
4. watoto wa mtaani
5. watoto wa kishua walioanza kuangalia pornography toka wadogo wakakubuhu na kulewa uasherati (ndo maana huezi kukuta mmatumbi au mmasai wa ngorongoro anafanya haya mambo!!!!)
6. kuiga fashion kutoka ulaya
7. ni swala la kiroho pia

ukibisha its at your own loss!
Wengine wametokana na nje ya sababu hizo, japo hizo sababu ni commons.
 
Nitasikitika ila nitakubali hali hakuna jinsi.

Hapana hawapendi na hawakupenda kuwa hivyo. Hutanielewa mpaka uongee nao. Nilikaa na majirani NY mashoga nilijaribu kuongea nao na niliwaelewa kuwa hawajawahi kusikia hamu ya kuwa na mwanamme ila wana watoto ambao mmojawao alikubali kubeba mimba with artificial insemination mara mbili.
Hawawezi kupata hamu ya kuwa na mwanaume kwa sababu mwanaume ni binadamu (damu na nyama) atadindisha after sometime machine itakata moto tena yawezekana mwanamke hajafika kileleni ili ainjoi, so huwezi kulinganisha na watu wanaotumia vidole ambavyo havichoki kudinda, yaani by default kidole kimedinda forever, na saizi mnatumia mimashine inayotumia betei/umeme hii haziwezi choka, kwa sababu hizo mwanamke wa hivyo hawezi enjoi kuwa na mwanaume.

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Dyadyaaaaaaa nipo na hawa watu wanaohemkwa na kupovukwa mitandaoni, afu hawawezi kubadili chochote na uzuri wake sasa wanajua kila kitu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wanaishia kuliaaa na kufoka kwenye keyboard, uwiiiiiih

Afu nimekumic mnooooo didiiii ake.
Unajua wanajua kabisa haimpendezi Mungu na bado wanafanya!
 
Dyadyaaaaaaa nipo na hawa watu wanaohemkwa na kupovukwa mitandaoni, afu hawawezi kubadili chochote na uzuri wake sasa wanajua kila kitu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wanaishia kuliaaa na kufoka kwenye keyboard, uwiiiiiih

Afu nimekumic mnooooo didiiii ake.
😄😃 hii dunia sahivi watu tunalia na vingi ambavyo hatuna control navyo

Njoo pm usalimie 🤪
 
Wapasulieeeeeeee ukweliiiiiiii babaaaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wapeeeeeeee wapeeeeeeeee.
Ndio ukweli na hakuna pimbi yoyote atakaye gusa ma shoga akabaki salama..hao jama wanalindwa na nchi..vinginevyo viongozi wa nchi hii vitivyao vitapata moto.

Hapa tunachangamsha genge tu...pimbi yoyote anayejiamini na kujifanya kitukuu cha mtume au nabii fulani aende ajitokeze kukemea na kupambana na hao LGBTQ uone kama haja nyea ndoo maisha yake yote.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom