inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Yeah,hutomsikia kusemaYou can't fight the system, Yule mzee atakufa na Siri zake!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah,hutomsikia kusemaYou can't fight the system, Yule mzee atakufa na Siri zake!
na uanzie nyumbani kwenu sawae?Ushoga kuwa Ruksa,
Huo ndo msimamo wangu.
Acha kabisa, Hali ni mbaya FaizaFoxy njoo kuna watu wanahitaji msaada wako wa mawazomkuu mi nadhani kizazi hiki cha nyoka kishaharibika
siku hizi hakuna tofauti ya mwanaume na mwanamke
angalia wasanii wa siku hzi wa kiume wanavaa hereni na kusuka na wanaimba kwa kinyonge sana kama wanakufa asee!! wengine hadi wanavaa sketi sio majuu sio bongo
kazi ipo kweli kweli
Kwani Ushoga ukiwa ruksa tatizo nn? Unajua kwann watu wanataka ushoga uwe ruksa na halali? Wahusika baadhi wakitaka kufunga ndoa bas iwe ni sawa,mkuu hichi unachosema kina ukweli
maana kiufupi walioathirika na hii tabia wengi ni wanaume japo wa kike nao apo
ila
DONT THROW THE BABY WITH THE BATH WATER
Panapohitaji kukemewa basi kukemea kuwepo
kwenye mamba na kenge wamo ila mamba watabaki kuwa mamba
changamoto kubwa ni huwa hawa jamaa wa lgbtq+ wanataka kila mtu ajue wanachofanya
sasa human nature ni kukataa kutawaliwa ndo maana watu wanapinga
ila wangefanya mambo yao wenyewe bila kulazimisha kwa kila mtu isingeleta mtafaruku
Ni sawaaa tyuuuh wala hakuna tatizo.na uanzie nyumbani kwenu sawae?
hahahaha sawaNi sawaaa tyuuuh wala hakuna tatizo.
Mkuu wazazi wako wamekufundisha hivyo? Natamani kujua kabila lako /ukoo wako wana msimamo kama wako?Kwani Ushoga ukiwa ruksa tatizo nn? Unajua kwann watu wanataka ushoga uwe ruksa na halali? Wahusika baadhi wakitaka kufunga ndoa bas iwe ni sawa,
Kwa sababu sio lazima mtu kuwa shoga kwaa usiyehusika au taka, ila wao wahusika na waliopo ndani ya jamii hiyo wawe huru kufanya mambo yao pasipo kuhofia macho ya jamii iliyo nje yao.
Naomba usomeeee kwa makini na ueleweee.
ShemaleAma kweli, ukistaajabu ya Musa,je kanisa linaelekea kusapoti agenda hizi ovu?
Tukiacha unafiki hizi kelele zisingekuwepoShemale
Shemale is a term most commonly used in the pornography industry to describe trans women or other people with male genitalia and female secondary sex characteristics acquired via hormones or surgery.
Tatizo lilianzia hapo mkuu,
Sasa wapitishe mara ngapi mkuu kwan hii kauli ya "God doesn't disown his child because they are LBGTQ" unaitafsiri vipi🤣🤣🤣Wakipitishi hii kitu mm naama ukatoriki yani nitakuwa mkristu ambae sina zehebu....
swadaqka!! mungu akuzidishieZaka hazitolewi na wazungu zinatolewa na matajir waislamu au waarabu ambao tunajua wazi si waumin wa ushoga mfano Qatar ,iran Oman na ushoga wapi na wapi,pia zaka kutoa ni hiyar yako haulazimishwi na mtu kwahiyo hilo baraa lao litaishia huko huko kwenye dini ya wazungu ya kujitungia sheria kutokana na mavadiliko ya dunia sio uislam kila siku sheria ipo vile vile hata Kama umeona shee kakengeuka bac hayo ni matamanio yake tu Ila hawez kubadilisha andiko lolote kwenye Quran ili iendane na anavyotaka yeye Kama inavyofanyika upande wa pili .hii ndio faida ya uislamu shehe na mtoto wa miaka Saba wote elimu sawa hakuna daraja sababu mungu wa wote na binadam wote Wana haki ya kumjua mungu wao sawa sio huyu ana elimu fulani huyu hana, ili uipate elimu ya juu bc kuna vigezo kibao vya kusoma huku juhudi zako na hakuna kilichobadilika na kitakachobadilika mpaka mwisho wa dunia maana ukitoa ile nucta tu kwenye msaafu bc itajulikana Sasa shekhe hata akinunuliwa kusapoti ushoga atabaki yeye na lana zake sio maandiko .Sasa utachagua kumfata shekh au kufata maandiko huu ndio uzur ya uislam .NB hakuna binadamu mkamilifu mda wowote anabadilika kutokana na matamanio ya moyo wake awe shekh au papa kwahiyo maandiko hayabadiliki ndio ya kuyafuata. Nadhan umenielewa mkuu
Wazazi wangu hawajanifundisha hivi,Mkuu wazazi wako wamekufundisha hivyo? Natamani kujua kabila lako /ukoo wako wana msimamo kama wako?
Poaaaah poaaaaahO
hahahaha sawa
Wakipitishi hii kitu mm naama ukatoriki yani nitakuwa mkristu ambae sina zehebu....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijui kwann nimecheka sanaaa.Sasa wapitishe mara ngapi mkuu kwan hii kauli ya "God doesn't disown his child because they are LBGTQ" unaitafsiri vipi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani Ushoga ukiwa ruksa tatizo nn? Unajua kwann watu wanataka ushoga uwe ruksa na halali? Wahusika baadhi wakitaka kufunga ndoa bas iwe ni sawa,
Kwa sababu sio lazima mtu kuwa shoga kwaa usiyehusika au taka, ila wao wahusika na waliopo ndani ya jamii hiyo wawe huru kufanya mambo yao pasipo kuhofia macho ya jamii iliyo nje yao.
Naomba usomeeee kwa makini na ueleweee.
Umejibu vizuri, unahisi wazazi wako wanakosea kuwa na msimamo huo? Je ungependa kuwaona wakishiriki mapenzi ya jinsia moja?Wazazi wangu hawajanifundisha hivi,
kuhusu kujua kabila langu sio suala la msingi hapa,
ukoo wangu hawana msimamo km wangu, kwa sababu tuna tofautiana mtazamo na fikra. Na mie msimamo wangu hautoki ndani ya ukoo wangu, mie n mie, wao n wao.
Nafikiri nimekujibu ipasavyo