Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana nikaweka maana ya shemale yaan katika watoto million 1 wanaozaliwa basi jua kuna shemale mmoja kati yao, yaan ana jinsia mbili ya kike na ya kiume na huyu katika tafasiri ya haraka haraka ana vinasaba vya ushoga, yaan ana umbo la kike ila sio mwanamkeTukiacha unafiki hizi kelele zisingekuwepo
Ushoga upo tangu zama za biblia,leo ni marudio tu.
Wazazi wangu hawakosei kuwa na msimamo walio nao,Umejibu vizuri, unahisi wazazi wako wanakosea kuwa na msimamo huo? Je ungependa kuwaona wakishiriki mapenzi ya jinsia moja?
Ni suala la muda tu mkuu. Rudi kwenye dini zetu za asili, u Kristo na u Islam ni dini zilizoletwa kumtawala mtu mweusiWakipitishi hii kitu mm naama ukatoriki yani nitakuwa mkristu ambae sina zehebu....
Huyu ndio wale watetezi wa haki za machoko
kuwa katika dini hii ni zaidi ya ushetaniPapa Francis Jana tarehe ku11.11.2022 alikutana na kufanya mazungumzo na Fr. James Martin, ambaye ni kiongozi kutoka jumuiya ya Jesuits.Mazungumzo hayo ya dakika arobaini na tano yaliangazia jamii ya mashoga (LBGTQ).
ikumbukwe kuwa mwezi May mwaka huu, papa Francis alinukuliwa akisema "God doesn't disown his child because they are LBGTQ"
Inashangaza kuona agenda hizi zikijadiliwa tena Vatican! Unaweza kuisoma habari hii kwa urefu katika tovuti ya Catholic news agency CNA.
Ama kweli, ukistaajabu ya Musa,je kanisa linaelekea kusapoti agenda hizi ovu?
======
Pope Francis received Father James Martin, SJ, in a private audience in the apostolic palace inside the Vatican on Friday.
In a tweet published after the encounter, Father Martin wrote he was “was deeply grateful to meet with Pope Francis in the Apostolic Palace this morning for 45 minutes.”
The conversation covered “the joys and hopes, the griefs and anxieties, of LGBTQ Catholics,” Martin added, writing: “It was a warm, inspiring and encouraging meeting that I’ll never forget.“
The Vatican does not customarily comment on papal meetings with individual priests or bishops.
Martin is the author of “Building a Bridge: How the Catholic Church and the LGBT Community Can Enter into a Relationship of Respect, Compassion, and Sensitivity” and frequently speaks on issues pertaining to homosexuality and Catholicism.
Pope Francis met with Father Martin in 2019 and expressed support for the American Jesuit’s ministry in a letter a year later, encouraging him to “continue this way.“
CNA
Kwa kifupi Papa amekutana na Kiongozi/Mkubwa wake.Papa Francis Jana tarehe 11.11.2022 alikutana na kufanya mazungumzo na Fr. James Martin, ambaye ni kiongozi kutoka jumuiya ya Jesuits.Mazungumzo hayo ya dakika arobaini na tano yaliangazia jamii ya mashoga (LBGTQ).
ikumbukwe kuwa mwezi May mwaka huu, papa Francis alinukuliwa akisema "God doesn't disown his child because they are LBGTQ"
Inashangaza kuona agenda hizi zikijadiliwa tena Vatican! Unaweza kuisoma habari hii kwa urefu katika tovuti ya Catholic news agency CNA.
Ama kweli, ukistaajabu ya Musa,je kanisa linaelekea kusapoti agenda hizi ovu?
======
Pope Francis received Father James Martin, SJ, in a private audience in the apostolic palace inside the Vatican on Friday.
In a tweet published after the encounter, Father Martin wrote he was “was deeply grateful to meet with Pope Francis in the Apostolic Palace this morning for 45 minutes.”
The conversation covered “the joys and hopes, the griefs and anxieties, of LGBTQ Catholics,” Martin added, writing: “It was a warm, inspiring and encouraging meeting that I’ll never forget.“
The Vatican does not customarily comment on papal meetings with individual priests or bishops.
Martin is the author of “Building a Bridge: How the Catholic Church and the LGBT Community Can Enter into a Relationship of Respect, Compassion, and Sensitivity” and frequently speaks on issues pertaining to homosexuality and Catholicism.
Pope Francis met with Father Martin in 2019 and expressed support for the American Jesuit’s ministry in a letter a year later, encouraging him to “continue this way.“
CNA
Kikubwa umekiri kuwa Dunia inaelekea huko. Baas imeisha hiyooooosasa mkuu dunia nzima haiezi kuwa sawa
ndo maana kuna waislamu na wakristo na wabudha na atheist
hawa wanaeza kubaliwa kama marekani au huko SA lakini jamii kamwe haiwezi kukubali asilimia 100 kwa hio resistance itakuwa forever
ndo maana hata uko ulaya bado kuna watu hawataki hayo mambo
all in all dunia inaelekea huko
everyone will choose their sides
may the best team win
Jinga sana wewe litoto ni hasara kwa Dunia ya wastaarabu.Kwani Ushoga ukiwa ruksa tatizo nn? Unajua kwann watu wanataka ushoga uwe ruksa na halali? Wahusika baadhi wakitaka kufunga ndoa bas iwe ni sawa,
Kwa sababu sio lazima mtu kuwa shoga kwaa usiyehusika au taka, ila wao wahusika na waliopo ndani ya jamii hiyo wawe huru kufanya mambo yao pasipo kuhofia macho ya jamii iliyo nje yao.
Naomba usomeeee kwa makini na ueleweee.
Hali ni mbayaYaani Mungu atusaidie kwa kweli, unaambiwa Ukiwaping ndio unajua kazi ya serikali na vyombo vyake. Ndugu mmoja alijaribu Serikali ikasema huo ni msimamo wake binafsi.
Kupanick na kufoka kwenye keyboard ndo zenu nshawazoeaaa, wanafiki wakubwa nyie, Dunia ipi hiyo ya ustaarabu? Hii iliyojaza waovu kila kona?Jinga sana wewe litoto ni hasara kwa Dunia ya wastaarabu.
Yani umezidiwa akili hata na mbwa,Mbuzi,kundoo NK.
Hao wote hawajawahi kuamua kufanya ujinga kama mnao tetea humu.
Father James Martin hana cheo chochote hapa Jesuit bali ni maarufu kwa vitabu vyake tu viwili vitatu...Papa Francis Jana tarehe 11.11.2022 alikutana na kufanya mazungumzo na Fr. James Martin, ambaye ni kiongozi kutoka jumuiya ya Jesuits.Mazungumzo hayo ya dakika arobaini na tano yaliangazia jamii ya mashoga (LBGTQ).
ikumbukwe kuwa mwezi May mwaka huu, papa Francis alinukuliwa akisema "God doesn't disown his child because they are LBGTQ"
Inashangaza kuona agenda hizi zikijadiliwa tena Vatican! Unaweza kuisoma habari hii kwa urefu katika tovuti ya Catholic news agency CNA.
Ama kweli, ukistaajabu ya Musa,je kanisa linaelekea kusapoti agenda hizi ovu?
======
Pope Francis received Father James Martin, SJ, in a private audience in the apostolic palace inside the Vatican on Friday.
In a tweet published after the encounter, Father Martin wrote he was “was deeply grateful to meet with Pope Francis in the Apostolic Palace this morning for 45 minutes.”
The conversation covered “the joys and hopes, the griefs and anxieties, of LGBTQ Catholics,” Martin added, writing: “It was a warm, inspiring and encouraging meeting that I’ll never forget.“
The Vatican does not customarily comment on papal meetings with individual priests or bishops.
Martin is the author of “Building a Bridge: How the Catholic Church and the LGBT Community Can Enter into a Relationship of Respect, Compassion, and Sensitivity” and frequently speaks on issues pertaining to homosexuality and Catholicism.
Pope Francis met with Father Martin in 2019 and expressed support for the American Jesuit’s ministry in a letter a year later, encouraging him to “continue this way.“
CNA
Waroma huo Ni utamaduni waoPapa Francis Jana tarehe 11.11.2022 alikutana na kufanya mazungumzo na Fr. James Martin, ambaye ni kiongozi kutoka jumuiya ya Jesuits.Mazungumzo hayo ya dakika arobaini na tano yaliangazia jamii ya mashoga (LBGTQ).
ikumbukwe kuwa mwezi May mwaka huu, papa Francis alinukuliwa akisema "God doesn't disown his child because they are LBGTQ"
Inashangaza kuona agenda hizi zikijadiliwa tena Vatican! Unaweza kuisoma habari hii kwa urefu katika tovuti ya Catholic news agency CNA.
Ama kweli, ukistaajabu ya Musa,je kanisa linaelekea kusapoti agenda hizi ovu?
======
Pope Francis received Father James Martin, SJ, in a private audience in the apostolic palace inside the Vatican on Friday.
In a tweet published after the encounter, Father Martin wrote he was “was deeply grateful to meet with Pope Francis in the Apostolic Palace this morning for 45 minutes.”
The conversation covered “the joys and hopes, the griefs and anxieties, of LGBTQ Catholics,” Martin added, writing: “It was a warm, inspiring and encouraging meeting that I’ll never forget.“
The Vatican does not customarily comment on papal meetings with individual priests or bishops.
Martin is the author of “Building a Bridge: How the Catholic Church and the LGBT Community Can Enter into a Relationship of Respect, Compassion, and Sensitivity” and frequently speaks on issues pertaining to homosexuality and Catholicism.
Pope Francis met with Father Martin in 2019 and expressed support for the American Jesuit’s ministry in a letter a year later, encouraging him to “continue this way.“
CNA
Kwahiyo leo mbuzi na mbwa wamekua mfano mzuri..mbona wewe hujawahi lala na mavi au panda nduguzo wa damu kama wafanyavyo mbuzi na mbwa..mana hao hata kambwa dume kakibarehe hata mamake kana mtia mimba..vipi na hapo tuchukue hayo pia.Jinga sana wewe litoto ni hasara kwa Dunia ya wastaarabu.
Yani umezidiwa akili hata na mbwa,Mbuzi,kundoo NK.
Hao wote hawajawahi kuamua kufanya ujinga kama mnao tetea humu.
Yaaah si ndio Wana influence Feminism na Haki sawa kwa wote ila Sasa mmeanza kujua haki sawa waliyokuwa wanaisema ni ipiKwamba hataki kuona watu wanarudi na marinda yao
Akikujibu nitag, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo leo mbuzi na mbwa wamekua mfano mzuri..mbona wewe hujawahi lala na mavi au panda nduguzo wa damu kama wafanyavyo mbuzi na mbwa..mana hao hata kambwa dume kakibarehe hata mamake kana mtia mimba..vipi na hapo tuchukue hayo pia.
#MaendeleoHayanaChama