Tetesi: Papa Francis akutana na Kiongozi wa Jesuits kujadili masuala ya LBGTQ

Tetesi: Papa Francis akutana na Kiongozi wa Jesuits kujadili masuala ya LBGTQ

mkuu mi nadhani kizazi hiki cha nyoka kishaharibika

siku hizi hakuna tofauti ya mwanaume na mwanamke

angalia wasanii wa siku hzi wa kiume wanavaa hereni na kusuka na wanaimba kwa kinyonge sana kama wanakufa asee!! wengine hadi wanavaa sketi sio majuu sio bongo

kazi ipo kweli kweli
Acha kabisa, Hali ni mbaya FaizaFoxy njoo kuna watu wanahitaji msaada wako wa mawazo
 
ukristo nidini yakujitoa ufahamu ndio utakapo iweza ina mambo yaajabu na kuchukiza kwelikweli
 
mkuu hichi unachosema kina ukweli

maana kiufupi walioathirika na hii tabia wengi ni wanaume japo wa kike nao apo

ila

DONT THROW THE BABY WITH THE BATH WATER

Panapohitaji kukemewa basi kukemea kuwepo

kwenye mamba na kenge wamo ila mamba watabaki kuwa mamba

changamoto kubwa ni huwa hawa jamaa wa lgbtq+ wanataka kila mtu ajue wanachofanya
sasa human nature ni kukataa kutawaliwa ndo maana watu wanapinga
ila wangefanya mambo yao wenyewe bila kulazimisha kwa kila mtu isingeleta mtafaruku
Kwani Ushoga ukiwa ruksa tatizo nn? Unajua kwann watu wanataka ushoga uwe ruksa na halali? Wahusika baadhi wakitaka kufunga ndoa bas iwe ni sawa,

Kwa sababu sio lazima mtu kuwa shoga kwaa usiyehusika au taka, ila wao wahusika na waliopo ndani ya jamii hiyo wawe huru kufanya mambo yao pasipo kuhofia macho ya jamii iliyo nje yao.

Naomba usomeeee kwa makini na ueleweee.
 
Mkuu wazazi wako wamekufundisha hivyo? Natamani kujua kabila lako /ukoo wako wana msimamo kama wako?
 
Ama kweli, ukistaajabu ya Musa,je kanisa linaelekea kusapoti agenda hizi ovu?
Shemale

Shemale is a term most commonly used in the pornography industry to describe trans women or other people with male genitalia and female secondary sex characteristics acquired via hormones or surgery.

Tatizo lilianzia hapo mkuu,
 
Tukiacha unafiki hizi kelele zisingekuwepo

Ushoga upo tangu zama za biblia,leo ni marudio tu.
 
Zaka hazitolewi na wazungu zinatolewa na matajir waislamu au waarabu ambao tunajua wazi si waumin wa ushoga mfano Qatar ,iran Oman na ushoga wapi na wapi,pia zaka kutoa ni hiyar yako haulazimishwi na mtu kwahiyo hilo baraa lao litaishia huko huko kwenye dini ya wazungu ya kujitungia sheria kutokana na mavadiliko ya dunia sio uislam kila siku sheria ipo vile vile hata Kama umeona shee kakengeuka bac hayo ni matamanio yake tu Ila hawez kubadilisha andiko lolote kwenye Quran ili iendane na anavyotaka yeye Kama inavyofanyika upande wa pili .hii ndio faida ya uislamu shehe na mtoto wa miaka Saba wote elimu sawa hakuna daraja sababu mungu wa wote na binadam wote Wana haki ya kumjua mungu wao sawa sio huyu ana elimu fulani huyu hana, ili uipate elimu ya juu bc kuna vigezo kibao vya kusoma huku juhudi zako na hakuna kilichobadilika na kitakachobadilika mpaka mwisho wa dunia maana ukitoa ile nucta tu kwenye msaafu bc itajulikana Sasa shekhe hata akinunuliwa kusapoti ushoga atabaki yeye na lana zake sio maandiko .Sasa utachagua kumfata shekh au kufata maandiko huu ndio uzur ya uislam .NB hakuna binadamu mkamilifu mda wowote anabadilika kutokana na matamanio ya moyo wake awe shekh au papa kwahiyo maandiko hayabadiliki ndio ya kuyafuata. Nadhan umenielewa mkuu
swadaqka!! mungu akuzidishie
 
Mkuu wazazi wako wamekufundisha hivyo? Natamani kujua kabila lako /ukoo wako wana msimamo kama wako?
Wazazi wangu hawajanifundisha hivi,

kuhusu kujua kabila langu sio suala la msingi hapa,

ukoo wangu hawana msimamo km wangu, kwa sababu tuna tofautiana mtazamo na fikra. Na mie msimamo wangu hautoki ndani ya ukoo wangu, mie n mie, wao n wao.

Nafikiri nimekujibu ipasavyo
 
Sasa wapitishe mara ngapi mkuu kwan hii kauli ya "God doesn't disown his child because they are LBGTQ" unaitafsiri vipi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijui kwann nimecheka sanaaa.
 
Kwani Ushoga ukiwa ruksa tatizo nn? Unajua kwann watu wanataka ushoga uwe ruksa na halali? Wahusika baadhi wakitaka kufunga ndoa bas iwe ni sawa,

Kwa sababu sio lazima mtu kuwa shoga kwaa usiyehusika au taka, ila wao wahusika na waliopo ndani ya jamii hiyo wawe huru kufanya mambo yao pasipo kuhofia macho ya jamii iliyo nje yao.

Naomba usomeeee kwa makini na ueleweee.

sasa mkuu dunia nzima haiezi kuwa sawa

ndo maana kuna waislamu na wakristo na wabudha na atheist

hawa wanaeza kubaliwa kama marekani au huko SA lakini jamii kamwe haiwezi kukubali asilimia 100 kwa hio resistance itakuwa forever

ndo maana hata uko ulaya bado kuna watu hawataki hayo mambo

all in all dunia inaelekea huko

everyone will choose their sides

may the best team win
 
Wazazi wangu hawajanifundisha hivi,

kuhusu kujua kabila langu sio suala la msingi hapa,

ukoo wangu hawana msimamo km wangu, kwa sababu tuna tofautiana mtazamo na fikra. Na mie msimamo wangu hautoki ndani ya ukoo wangu, mie n mie, wao n wao.

Nafikiri nimekujibu ipasavyo
Umejibu vizuri, unahisi wazazi wako wanakosea kuwa na msimamo huo? Je ungependa kuwaona wakishiriki mapenzi ya jinsia moja?
 
Back
Top Bottom