Tetesi: Papa Francis akutana na Kiongozi wa Jesuits kujadili masuala ya LBGTQ

Huyu ndio wale watetezi wa haki za machoko

mkuu hawa jamaa wako kila mahali

hii ligi pendwa ya EPL watu wengi wanaiangalia lakini imejaa huo uchoko

tukianza kuikataa hio tutakuwa tumepiga hatua

hio bendera ya upinde wa mvua ndio alama ya hawa watu,

unapoiona popote ujue jamaa wapo tele!!

skysports-jordan-henderson_5208095.jpg
manchester-citys-kevin-de-bruyne-wears-an-armband-in-support-of-the-stonewall-rainbow-laces-ca...jpg
tottenham-hotspurs-captain-harry-kane-wears-a-rainbow-captains-armband-during-the-premier-leag...jpg
skysports-west-ham-maguire_5196253.jpg
625951730.jpg
2ghag71.jpg
 
Hiyo oagraph ya pili inayoongelea dini ya kweli umeielewa vp? Unaona mashoga hata kuelewa minor thing tu ni tatizo.

Je nafsi yako unaona inakushuhudia kupandwa na mwanaume mwenzio au kusagana ?

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebuuu tulia kwanzaaaaa, mbna ghafla sanaaaaa?

Ktk kitu ambacho nimebarikiwa, bas n akili, ufahamu, uelewa na uchanganuzi wa mambo kwa uyakinifu.

Huko kwenye Dini huna cha kuniambia, tena ukae kimyaaa,

Hebu lia ndani ya JF ukichoka log out ukafute chozi mtaan na uone uhalisia wa hicho unacho kinenea

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mnahangaika sana na Ukatoliki.Kimsingi misingi mikubwa ya Imani na ustaarabu inasimamiwa na kanisa Katoliki.Nyie mnajaribu kudanganya watu ili mpate kuwin watu wasiojielewa

mkuu kusema ukweli ukatoliki una historia isiyo nzuri toka miaka ya kale

linapkuja hili swala la mahusiano ya jinsia moja basi wao pia wana ukakasi mkubwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebuuu tulia kwanzaaaaa, mbna ghafla sanaaaaa?

Ktk kitu ambacho nimebarikiwa, bas n akili, ufahamu, uelewa na uchanganuzi wa mambo kwa uyakinifu.

Huko kwenye Dini huna cha kuniambia, tena ukae kimyaaa,

Hebu lia ndani ya JF ukichoka log out ukafute chozi mtaan na uone uhalisia wa hicho unacho kinenea

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha ukorofi dogo
 
mkuu hawa jamaa wako kila mahali

hii ligi pendwa ya EPL watu wengi wanaiangalia lakini imejaa huo uchoko

tukianza kuikataa hio tutakuwa tumepiga hatua

hio bendera ya upinde wa mvua ndio alama ya hawa watu,

unapoiona popote ujue jamaa wapo tele!!

View attachment 2414460View attachment 2414461View attachment 2414462View attachment 2414463View attachment 2414464View attachment 2414465
Ukiwakwepa huku unawakuta kwenye movie zao! Yaani kuna wakati nawakubali Sana Russia na North Korea kwa kupinga Ushoga
 
Mnahangaika sana na Ukatoliki.Kimsingi misingi mikubwa ya Imani na ustaarabu inasimamiwa na kanisa Katoliki.Nyie mnajaribu kudanganya watu ili mpate kuwin watu wasiojielewa
Huu upuuzi sijui utaisha lini kwahiyo wakiruhusu ushoga nawewe utaukubali kwakuwa VATICAN SAYS SO?
 
Muda sio mrefu hii kitu itakuwa sheria kwenye kusaidiwa, huungi mkono kutinduana, hupati hela za maendeleo wala za afya, kama naiona Tanzania tunavyopenda misaada, tuhimize viongozi wetu tuache kuzungusha mabakuli.
Mbona tz inauga mkono hayo mambo kitambo..sema viongozi wetu unafiki mwingi..kumbuka barua iliyotolewa kipindi makonda akipambana na mashoga akatulia tuli..serikali yenyewe ilimkana ikasema huo ni msimamo wake wala sio msimamo wa serikali.

Ukishakubali kutia saini mikataba ya haki za binadamu jua vipengele ya hao LGBTQ viko ndani yake.

Nakwa nchi zetu njaa hizi za viongozi watembeza bakuri hawana kauli wao ni ndio mzee ilimaradi wapewe chochote kitu.

#MaendeleoHayanaChama
 
hata katuni za watoto wamejaa tele, kazi kweli kweli
Mungu atusaidie, viongozi wa kiafrika hawafikirii future yetu, hawawazi kabisa kueneza values za Muafrika duniani. Wamefocus kula pesa za wananchi
 
Serikali zote duniani under USA democracy influence zinatakuwa kutambua na kuwalinda jamaa wa upinde kwa namna yoyote ile, na kinachokuja kutoka hivi karibuni haya madhehebu yatakua yanarenew vile vibali vyao, na sharti mojawapo la kupewa kile kibali ni kuukubali ushoga ndani ya jumuiya zao, sasa je kuna wachungaji/mapdre/mashekhe n.k wenye ujasiri wa kukata hizo mambo ili wakose sadaka na zaka, huku wakipewa back up ya fedha nyingi katika kuwasupport upunga?

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
watoe mashehe kwenye ujinga wenu mnao jadiliana makanisani shenzi!
 
Mbona tz inauga mkono hayo mambo kitambo..sema viongozi wetu unafiki mwingi..kumbuka barua iliyotolewa kipindi makonda akipambana na mashoga akatulia tuli..serikali yenyewe ilimkana ikasema huo ni msimamo wake wala sio msimamo wa serikali.

Ukishakubali kutia saini mikataba ya haki za binadamu jua vipengele ya hao LGBTQ viko ndani yake.

Nakwa nchi zetu njaa hizi za viongozi watembeza bakuri hawana kauli wao ni ndio mzee ilimaradi wapewe chochote kitu.

#MaendeleoHayanaChama
Viongozi wetu ni corrupt,
 
Vipi mwanao wa kiume uliyebeba mimba miezi 9 unategemea akuletee wajukuu ukakuta ninampumulia utajisikiaje

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Nitasikitika ila nitakubali hali hakuna jinsi.
Kwahiyo wangependa na hao watoto waliowaadopt wawe mashoga?H
Hapana hawapendi na hawakupenda kuwa hivyo. Hutanielewa mpaka uongee nao. Nilikaa na majirani NY mashoga nilijaribu kuongea nao na niliwaelewa kuwa hawajawahi kusikia hamu ya kuwa na mwanamme ila wana watoto ambao mmojawao alikubali kubeba mimba with artificial insemination mara mbili.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebuuu tulia kwanzaaaaa, mbna ghafla sanaaaaa?

Ktk kitu ambacho nimebarikiwa, bas n akili, ufahamu, uelewa na uchanganuzi wa mambo kwa uyakinifu.

Huko kwenye Dini huna cha kuniambia, tena ukae kimyaaa,

Hebu lia ndani ya JF ukichoka log out ukafute chozi mtaan na uone uhalisia wa hicho unacho kinenea

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ungekua kweli una mahusiano mazuri na Mungu wako na umepata elimu ya dini usingetoa hoja za kishoga ambazo dini zinapinga na sio utaratibu tu wa zile African religion

Kama vpi leta facts za dini yoyete hapa nikupe shule uone jinsi gani ulivyo mweupe unageuzwageuzwa kama Bendera na hizo western propaganda

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Acha ukorofi dogo
Dyadyaaaaaaa nipo na hawa watu wanaohemkwa na kupovukwa mitandaoni, afu hawawezi kubadili chochote na uzuri wake sasa wanajua kila kitu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wanaishia kuliaaa na kufoka kwenye keyboard, uwiiiiiih

Afu nimekumic mnooooo didiiii ake.
 
Nitasikitika ila nitakubali hali hakuna jinsi.

Hapana hawapendi na hawakupenda kuwa hivyo. Hutanielewa mpaka uongee nao. Nilikaa na majirani NY mashoga nilijaribu kuongea nao na niliwaelewa kuwa hawajawahi kusikia hamu ya kuwa na mwanamme ila wana watoto ambao mmojawao alikubali kubeba mimba with artificial insemination mara mbili.
Vipi wewe binafsi msimamo wako kuhusu masuala haya?
 
Back
Top Bottom