Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, amefariki dunia leo April 21,2025 kwenye Jumatatu ya Pasaka akiwa na umri wa miaka 88 ambapo Vatican imethibitisha na kusema Papa amefariki kwenye makazi yake Vatican na taarifa zaidi kuhusu kifo chake zitatolewa.
Papa ambaye alizaliwa mwaka 1936 hivi karibuni amepitia changamoto ya upumuaji hadi kuhitaji mashine ya kusaidia kupumua na amekuwa akikabiliwa na matatizo ya kiafya ikiwemo maambukizi ya mapafu(nimonia) hadi kupelekea kulazwa kwa wiki kadhaa kabla ya baadaye afya yake kuimarika.
======================================
Pope Francis, the reforming head of the Catholic Church who sought to modernise the pastoral and public priorities of the Vatican, has died at the age of 88.
The Vatican announced the death of the Argentina-born Francis, a ground-breaking and progressive figure on Monday.
He was the first pope to be born or raised outside Europe in 12 centuries, the first from the Americas and the first Jesuit to hold the role.
View attachment 3310884
View attachment 3310870
Source: BBC
Ujahilia ulikuwepo tangu enzi na enziHahahaah eti nyundo huku unamuita mara 3 kwamba " zerominus10 zerominus10 zerominus10 umekufa kweli!?" asipoitika nyundo 3 zinatembea kichwani halafu ndo msiba unatangazwa.
Hebu tuliza wenge na munkari kidogoApumzike kwa amani mzee.
Kuna kijana mmoja hua anafanya utani mitandaoni anasema mungu anakupa ugonjwa ufe mapema urudi kwake halafu unamzunguka unaenda hospitali.
Inakuja swali, kwa nini viongozi wa dini wakiugua wanakimbilia hospitali wakati wanahubiri kwamba Mbinguni ni pazuri, pana kila kitu, Pombe, wanawake wazuri mabikra 72, misosi mizuri, bustani, hakuna magonjwa wala maumivu yoyote, ni raha mustarehe milele na milele lakini wakiugua hata mafua tu wanakimbilia hospitali, wanaogopa nini kufa wakaende kula raha huko mbinguni? Ama hawaamini wanachokihubiri? Dini ni utapeli kama utapeli mwingine Mungu hayupo.
EditKwahyo mkuu yule aliyekuwa amekaa kwenye kiti jana ni kakobe?.
Nenda kwa amani Papa Francis tutakukumbuka daima kwa kutuachia waraka mzuri ambao Africa huku wagalatia ingawa wanaupingaKiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, amefariki dunia leo April 21,2025 kwenye Jumatatu ya Pasaka akiwa na umri wa miaka 88 ambapo Vatican imethibitisha na kusema Papa amefariki kwenye makazi yake Vatican na taarifa zaidi kuhusu kifo chake zitatolewa.
Papa ambaye alizaliwa mwaka 1936 hivi karibuni amepitia changamoto ya upumuaji hadi kuhitaji mashine ya kusaidia kupumua na amekuwa akikabiliwa na matatizo ya kiafya ikiwemo maambukizi ya mapafu(nimonia) hadi kupelekea kulazwa kwa wiki kadhaa kabla ya baadaye afya yake kuimarika.
======================================
Pope Francis, the reforming head of the Catholic Church who sought to modernise the pastoral and public priorities of the Vatican, has died at the age of 88.
The Vatican announced the death of the Argentina-born Francis, a ground-breaking and progressive figure on Monday.
He was the first pope to be born or raised outside Europe in 12 centuries, the first from the Americas and the first Jesuit to hold the role.
View attachment 3310884
View attachment 3310870
Source: BBC
Uchafu wa makanisani na misikitiniKiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, amefariki dunia leo April 21,2025 kwenye Jumatatu ya Pasaka akiwa na umri wa miaka 88 ambapo Vatican imethibitisha na kusema Papa amefariki kwenye makazi yake Vatican na taarifa zaidi kuhusu kifo chake zitatolewa.
Papa ambaye alizaliwa mwaka 1936 hivi karibuni amepitia changamoto ya upumuaji hadi kuhitaji mashine ya kusaidia kupumua na amekuwa akikabiliwa na matatizo ya kiafya ikiwemo maambukizi ya mapafu(nimonia) hadi kupelekea kulazwa kwa wiki kadhaa kabla ya baadaye afya yake kuimarika.
======================================
Pope Francis, the reforming head of the Catholic Church who sought to modernise the pastoral and public priorities of the Vatican, has died at the age of 88.
The Vatican announced the death of the Argentina-born Francis, a ground-breaking and progressive figure on Monday.
He was the first pope to be born or raised outside Europe in 12 centuries, the first from the Americas and the first Jesuit to hold the role.
View attachment 3310884
View attachment 3310870
Source: BBC
Alishajifia kitambo walikuwa wanataka kutangaza siku ya Easter.Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, amefariki dunia leo April 21,2025 kwenye Jumatatu ya Pasaka akiwa na umri wa miaka 88 ambapo Vatican imethibitisha na kusema Papa amefariki kwenye makazi yake Vatican na taarifa zaidi kuhusu kifo chake zitatolewa.
Papa ambaye alizaliwa mwaka 1936 hivi karibuni amepitia changamoto ya upumuaji hadi kuhitaji mashine ya kusaidia kupumua na amekuwa akikabiliwa na matatizo ya kiafya ikiwemo maambukizi ya mapafu(nimonia) hadi kupelekea kulazwa kwa wiki kadhaa kabla ya baadaye afya yake kuimarika.
======================================
Pope Francis, the reforming head of the Catholic Church who sought to modernise the pastoral and public priorities of the Vatican, has died at the age of 88.
The Vatican announced the death of the Argentina-born Francis, a ground-breaking and progressive figure on Monday.
He was the first pope to be born or raised outside Europe in 12 centuries, the first from the Americas and the first Jesuit to hold the role.
View attachment 3310884
View attachment 3310870
Source: BBC
Kesho ntakuja ku reply comment yako nikiwa hai ili ujione ulivyo mpumbavu kama huyu Papa wakoleo usiku lazima ufe , aga mapema, Pope huwa na nguv za ajabu kwa kashifa hii unayoifanya. Ufe salama rafiki yangu
INATAKIWA TEC IANDIKE WARAKA WA KUDAI HAKI YA KUWA NA PAPA WA KUTOKA AFRIKA, NA SI KUJA KUTUVALIA MIWANI KAMA MAVAMPIRE HAPA.RIP Papa sasa ni wakati sahihi kumpata Papa Mweusi kutoka Africa
Huyu amedumu kwa miaka 13 si kidogo piaKwa nini hakunaga mapapa vijana ili kuhepusha kufa mapema kwa wazee.