Hao jamaa inakuwa ni kama mligombana.Kwa hio ukizimia tu watu wanakufukia chini haraka sana?
Yaan kazimia wao fasta fasta wanaenda kumchimbia kaburi wamzike?Hao jamaa inakuwa ni kama mligombana.
Zamani kidogo 2004 Kariakoo pale niliishi karibu na mzee mmoja wa kihindi alifariki saa mbili usiku saa nne usiku huo huo pale Kisutu wakamalizana nae saa tano watu wakawa wanakunywa uji wa msiba wake.
RIPKiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, amefariki dunia leo April 21,2025 kwenye Jumatatu ya Pasaka akiwa na umri wa miaka 88 ambapo Vatican imethibitisha na kusema Papa amefariki kwenye makazi yake Vatican na taarifa zaidi kuhusu kifo chake zitatolewa.
Papa ambaye alizaliwa mwaka 1936 hivi karibuni amepitia changamoto ya upumuaji hadi kuhitaji mashine ya kusaidia kupumua na amekuwa akikabiliwa na matatizo ya kiafya ikiwemo maambukizi ya mapafu(nimonia) hadi kupelekea kulazwa kwa wiki kadhaa kabla ya baadaye afya yake kuimarika.
======================================
Pope Francis, the reforming head of the Catholic Church who sought to modernise the pastoral and public priorities of the Vatican, has died at the age of 88.
The Vatican announced the death of the Argentina-born Francis, a ground-breaking and progressive figure on Monday.
He was the first pope to be born or raised outside Europe in 12 centuries, the first from the Americas and the first Jesuit to hold the role.
View attachment 3310884
View attachment 3310870
Source: BBC
Kuna wenzetu wanazikwa wakiwa half deadYaan kazimia wao fasta fasta wanaenda kumchimbia kaburi wamzike?
Wakina nani hao? Yaan mtu hata saa 1 halijapita tayari washamfukia chini kweli?Kuna wenzetu wanazikwa wakiwa half dead
Wale watoto wa EsauWakina nani hao? Yaan mtu hata saa 1 halijapita tayari washamfukia chini kweli?
Ishmael?Wale watoto wa Esau
Unafikiri kanisa halijwahi kuwa na papa mweusi!?RIP Papa sasa ni wakati sahihi kumpata Papa Mweusi kutoka Africa
Hao haoIshmael?
Hongera mkuuAlinipa kipaimara apumzike kwa amani Papa Francis
Waislamu hamna akili kwani kuna papa duniani aliye na uzima wa milele ...ukisha kuwa tu mtu wa madhehebu jua tu umelaanika..Huyu hajapata uzima wa milele?
Si imeandikwa mshahara wa dhambi ni mauti?
And he will go there wether he likes it or notHe fought so hard not to go to Heaven.
Dunia tamu bwana!!
Ameumaliza mwendo, hata na hivyo mema ya Dunia hii ameyafaidi vilivyoHongera mkuu
AminaLeo hii pia amefariki bibi yangu (shangazi wa baba yangu) ambae ni sister aliekuwa akihudumu huko Musoma. Amefariki siku moja na papa.
Walazwe pema peponi.