Jackson QUECA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2024
- 245
- 632
ππ Nilikuwa natafuta comment Yako Mkuu.R.i.P Classmate....π₯
Imekua ghafla sana yani...πΆ
Papai jeusi kutoka afrikaRIP Papa sasa ni wakati sahihi kumpata Papa Mweusi kutoka Africa
Nilikua natafuta comment hii die too soonR.i.P Classmate....π₯
Imekua ghafla sana yani...πΆ
Kiongozi unajua shida inaanzia hapo unapochukua wewe jukumu la kufunga hesabu,nilipo-bold...Haiwezekani ukaenda kituo cha polisi ukaombe kibiriti ili uvute bangi. Hakuna binadamu anaweza kuwatumikia mabwana wawili wenye kukinzana, ukiwa kwenye njia ya kumtumikia Mungu basi jitahidi kwa kadri uwezavyo umtumikie Yeye, kwani kinyume chake utajikuta unamtumikia shetani.
Njia za kuokoka zipo wazi na njia za upetevu zipo wazi na ni jukumu la watumishi wa Mungu kuwaonyesha binadamu njia zilizonyooka ili mtu akizifuata atapata uzima wa milele.
Papa anachaguliwaje?Mara eeh kardinali Protase Rugambwa kachaguliwa kuwa Papa
Imani ya kweli ipo na imani za kitapeli zipo.Vitu vya kushangaza sana mkuu. Ukiachilia kukataa kwenda kula raha na starehe huko Mbinguni, bado ni mtu mzima wa miaka 88 bado alikua anaogopa kufa. Anaogopa kwenda kuonana na Yesu, kuonana na Musa,Elia, Daudi, Yusuph, Ibrahim baba wa imani.
Hizi dini ni utapeli kama utapeli mwingine.
Kadinali Laurean Rugambwa ndio alikuwa kadinali wa kwanza muafrika. Usishangae papa wa kwanza muafrika akatoka Tanzania wale wanaoamini mambo ya nyota.Papa anachaguliwaje?
Ni hivi makardinali wote duniani walio chini ya umri wa miaka themanini wataenda Roma(au vatikani sijui niseme) ambapo watakuwa na mkutano unaitwa konklave. Kwenye huo mkutano watapiga kura kumchagua baba mtakatifu ajaye. Baba mtakatifu akipatikana utaona moshi mweupe kutoka kwenye chimney(sijui neno la kiswahili).
Kwa Tanzania kardinali Protase Rugambwa ataenda kujiunga na makadinali wenzake. Kadinali Polycarp Pengo hataenda kwa kuwa mwaka jana nafikiri alitimiza miaka themanini. Hata hivyo kadinali Polycarp Pengo alishiriki konklave ya mwaka 2005 iliyomchagua Papa Benedikto XVI na konklave ya mwaka 2013 iliyomchagua Papa Fransisko.
Mbali na Polycarp Pengo kadinali Laurean Rugambwa alishiriki kwenye konklave iliyomchagua Papa Yohane Paulo II.
Sisi sote ni watendao dhambi hayupo kati yetu asiyetenda dhambi, lakini viongozi wa dini khususan wale wenye mamlaka katika jamii zao wawe mstari wa mbele katika kukemea maovu. Ikiwa mtu amekwiba basi aende kwa kiongozi wa dini atafute ushauri wa yeye kupata riziki yake kihalali na si kufanya dhuluma ya kumuibia mwenzake, ikiwa mtu mzinifu pia aende kwa kiongozi wa kiimani ili ampe nasaha za kuweza kuacha uzinifu, kwa mtu shoga hali kadhalika anatakiwa aende kwa kiongozi wa kiimani ili amuombee na kumnasihi ili aacha tabia hiyo yenye kumchukiza Mungu, ikiwa kiongozi wa kiimani utabariki hicho kitendo ili mtendaji awe karibu na wewe hivyo ni kuonyesha kwamba jambo hilo halina madhara na huenda watu wengine wakashawishika na kulitenda kwani litapata baraka na kiongozi mkubwa wa imani yao na machukivu ya Mungu yatakuwa kwa mtendaji na mwenye kulibariki pia.Kiongozi unajua shida inaanzia hapo unapochukua wewe jukumu la kufunga hesabu,nilipo-bold...
Unataka Watumishi wa Mungu wawaonyeshe wapotevu gani njia kama siyo wezi wazinzi makahaba mashoga etc?na kuna namna nyengine ya kuwaonyesha njia tofauti na kuwasubiri maeneo husika (Makanisani au Misikitini) ili kuwahubiria waachane na hizo dhambi?sasa mbona utake waitwe tu wezi wazinzi wasengenyaji lakini siyo mashoga?tatizo huwezi ukalitatua kama hujalikubali,kosa (kwa mujibu wenu) alilolifanya Papa,yaani mlitaka na yeye awalaani wakati hiyo siyo kazi yake yeye alitakiwa awashawishi kwa maneno matamu ili waingie Kanisani awahubirie hiyo dhambi waiache.
Hivi kuubariki ushoga, ndo waja mna nongwa kiasi hiki? Sasa anae kuja ndo ana halalisha kabisaa.Tunamshukuru Mungu kwa kifo chake maana aliku ni fitina hapa duniani, Adhabu kali ya moto iwe juu yake mzee wa kubariki ushoga
Rugambwa haweza halalisha amelelewa na mama mswahili ambye alikuwa mzuri kama wewe. Wewe unaweza fundisha mtoto wako ahalalishe vitu kama hivyo?Hivi kuubariki ushoga, ndo waja mna nongwa kiasi hiki? Sasa anae kuja ndo ana halalisha kabisaa.
Sijui itakuajee, lol
Subiri anae kuja, ndo atawafurahisha zaidi, yaan mtawehuka hatariii.Kwakweli papa alikua anazingua anajifanya yupo kati, habariki wala hapingi alikua analeta ukakasi sana...... Alale salama
Nasemaje, yajayo yanafurahishaaa.Rugambwa haweza halalisha amelelewa na mama mswahili ambye alikuwa mzuri kama wewe. Wewe unaweza fundisha mtoto wako ahalalishe vitu kama hivyo?
Papa anachaguliwaje?
Ni hivi makardinali wote duniani walio chini ya umri wa miaka themanini wataenda Roma(au vatikani sijui niseme) ambapo watakuwa na mkutano unaitwa konklave. Kwenye huo mkutano watapiga kura kumchagua baba mtakatifu ajaye. Baba mtakatifu akipatikana utaona moshi mweupe kutoka kwenye chimney(sijui neno la kiswahili).
Kwa Tanzania kardinali Protase Rugambwa ataenda kujiunga na makadinali wenzake. Kadinali Polycarp Pengo hataenda kwa kuwa mwaka jana nafikiri alitimiza miaka themanini. Hata hivyo kadinali Polycarp Pengo alishiriki konklave ya mwaka 2005 iliyomchagua Papa Benedikto XVI na konklave ya mwaka 2013 iliyomchagua Papa Fransisko.
Mbali na Polycarp Pengo kadinali Laurean Rugambwa alishiriki kwenye konklave iliyomchagua Papa Yohane Paulo II.
Ah mi sio Kadinali wala nini ila naamini kwa koneksheni zilizopo humu mkinipigia promo mbona nafasi naichukua ile asubuhi na mapema..?Kama wewe ni Kardinali, kila la kheri muadhama katika harakati zako, ila sisi wa humu ndani hatuingii kwenye conclave. Kwanini uombe support humu
Hapana usiseme hivyo, kitu ambacho mtu kuona mtoto wako wa kiume wa kumzaa umemlea na kumsomesha halafu anajimithili jinsia ya kike, kwa kweli inatia uchungu sana. Sidhani kama kuna mzazi analifurahia hili.Hivi kuubariki ushoga, ndo waja mna nongwa kiasi hiki? Sasa anae kuja ndo ana halalisha kabisaa.
Sijui itakuajee, lol
Si tutaonaNasemaje, yajayo yanafurahishaaa.