Papa Francis amtimua Askofu anayempinga kuhusu kuruhusu ndoa za jinsia moja, kutoa mimba na waliobadili jinsia

Sijamuelewa naona ananiumiza oblanganta na mm kani quote huy mzungu pori
Papa Francis anasema na kukuiri kuwa msimamo wa kanisa ni kutotambua mahusiano ya jinsia moja, ni dhambi, ila kuwahukumu si kazi ya kanisa
 
Hahahahahah, anasema msimamo wa kanisa ni kutotambua mahusiano ya jinsia moja, ni dhambi, ila kuwahukumu si kazi ya kanisa
Haya kaka ahsante, akae kimya sasa sio kila siku kuibuka na hizo story za hao malofa....ni kuwapa umaarufu tu yajione yapo sawa
 
Huyu papa naye utadhani mlei, kila Sasa kuropoka. Mbona akina Papa John Paul walikuwa wametulia?. Kuongea ongea ushoga kila saa.
 
Mpinga Kristo katika vazi la kondoo.
 
Huyu papa naye utadhani mlei, kila Sasa kuropoka. Mbona akina Papa John Paul walikuwa wametulia?. Kuongea ongea ushoga kila saa.
Hiyo ndo fahari ya Mpinga kristo, yeye habari za maovu na maasi kwa Mungu ndo raha yake.
 
bibisii ni wazushi.
hakuna chombo chochote cha Vatican kilicho report habari za papa kukubalina na mashoga..

na kwa hulka ya kanisa moja, takatifu, Katoliki na la mitume, siyo kujibizana na vyombo vya habari..
Hawana muda wa kujibu upuuzi na uzushi.
Uko sahihi kabisa. Kanisa Moja Katoliki la Mitume Lina taratibu zake.
 
Siku binadamu especially mwafrica akigundua kwamba hizi dini ni changa la macho hapo ndipo akili itakapomurudia na kupata maendeleo. Bible au quaran au vitabu vingi vya dini vimekuwa msaraba death / poverty trap kwa mtu mweusi.
 
Haya kaka ahsante, akae kimya sasa sio kila siku kuibuka na hizo story za hao malofa....ni kuwapa umaarufu tu yajione yapo sawa
Anachofanya Papa Francis ni kuibua academic debate amabyo haina bearing yoyote na theolojia ya kanisa Katoliki
 
Duh! Kweli watu mnashida kwelikweli. Yaani ukitaka kujua kauli ya serikali ya Tanzania unaenda kusoma gazeti la Rwanda au Uganda au unaenda kwenye tovuti ya Ikulu au vyombo vya habari vya serikali kama TBC, Daily News na HabariLeo? Kwa nini kauli za Papa Francis usiende kwenye tovuti ya Vatican News, Catholic News Agency (CNA), EWTN au Catholic National Register na badala yake uende BBC? Bure kabisa of the highest standard!
 
Sorry for you. That beast has since fallen.
 

View: https://www.instagram.com/p/C1AHCA1IvVs/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==
 
Semaaa wewee.
 
Huyu papa huyu, muda moshi mweupe ufike sasa....
Umesikia alichosema leo? Nakuambiaa Eve utafurahishwaaa safariii hii hadi usemee tena.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haya kaka ahsante, akae kimya sasa sio kila siku kuibuka na hizo story za hao malofa....ni kuwapa umaarufu tu yajione yapo sawa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na utafurahishwaa sanaa safariii hiii.
kaa kwa kutuliaaa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…